shikamkono01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2016
- 685
- 2,055
- Thread starter
- #341
Jeshi!Nimeshanunua viwanja sehemu mbalimbali, kwa umakini wangu sijawahi kupigwa, ispokuwa boko basihaya, ndipo kidogo waliniletea ushoga, baada ya kuona polisi wananiletea mbovu, nikawasilisha Takukuru, hawa ndio waliniokoa, weka ndani wezi sugu na kichapo juu, mpaka wakasarenda, wakalainika, mbaya walishatengeneza Hati, lakini wakachemsha watakubali yaishe, masuala ya ardhi ukilainika kidogo tu, umekwisha mazima.