Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Mkuu hii kitu ya kuogopwa ni kweli, haswa kwa wasiotujua kabisa.

Japo Wanaonijua wananikubali sana, mimi ni mtu mmoja fair sana ila isivukwe
mipaka.


Kwenye kuogopwa mimi pia nikikutana na mtu asiyenijua kabisa hua nahisi kama aniogopa vile ila sina uhakika, wengine wananiulizaga "Wewe ni Askari".


Japo Sometimes hua natengeneza mazingira ya kuogopwa mimi mwenyewe, mfano nikiwaga Arusha hizi ndio code zangu, wadudu wa stand hua hawanisumbui.
Ila ndiyo siwezi kukaa kwenye vijiwe vya draft, pooltables, bar, masokoni, Sijawahi hudhuria sherehe yeyote, hua naruka.

Muziki mkubwa sana hua unanipa kipanda uso, halafu hua siwi comfortable nikizungukwa na wengi, Energy inakua drowned.

Nilipokua shuleni sikua mzuri sana kwenye kazi za vikundi kuliko zile za kufanya binafsi nikiwa pekee yangu.

Nimeshawahi kukaa shambani miezi mitatu pekee yangu, mimi ni kazi, Zoezi, Meditation na vitabu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…