Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alooh kweli mzee, ma Ranger wana mkwanja yani hela sio ya wasiwasi kabisa. Ishu ya Riziki ni Mungu tu mzee kwa sababu ndani ya muda mchache unaweza kufunguliwa koki ya hela usielewe hata imekuwa kuwaje yani.Kazi za porini ni krimu sana.huwez kukuta gameranger ana stress km hawa polisi wa bongo..kuna dogo alikuwa anabaniwa sana na T.O anapewa kaz zile mbovu wazungu waliochoka.kuna siku akapewa huyo dingi ampeleke town sokoni.mzungu akataka duka la mawe ya tanzanite.hata dogo hakudhani huyu dingi mchovu anaeza kununua jiwe hata la laki.ila huwez amin yule mzungu alinunua jiwe la dola elf50.dola elf50 dogo akapewa 20% yake hapo.nikaamini rizki ya mtu hata binadam wote duniani wakija hawawez kuizuia we kuipata.
Ni uoga na kukosa ma mentor. Kwenye ulimwengu wa biashara lazima ukutane na gurus ili wakupe tips unaishije sokoni inasaidia sana kuliko kuingia kichwa kichwa.Safi sana!
mimi pia nilishaacha kazi ya mshahara uliokaribiana na huo wako, nikiwa na mtaji wa 5m tu! Nilianza biashara yangu na kutengeneza pesa ndefu zaidi ya ule mshahara. (Japo sijuwi wewe uliifanyia nini hyo 48) wapo watu wana ma miaka kazini, wanashindwa kujiajiri kwa kuona kwamba walichonacho hakitoshi kujiajiri, wanaishia kuwa..
Ukifikia hatua ya kufikiri namna hii ujue umepiga hatua. Kuna watu wao toka akilini mwao hawajawahi kuona kama kuna sababu yoyote ya kujiajiri hali ya kuwa ana ajira (ameajiriwa)Ni uoga na kukosa ma mentor. Kwenye ulimwengu wa biashara lazma ukutane na gurus ili wakupe tips unaishije sokoni inasaidia sana kuliko kuingia kichwa kichwa.
Mfano mie naweza kua na uoga kufanya biashara ila nikakaa na mtu kama wewe ambaye umefanikiwa kwenye biashara fulani ukatoboa. Ni ngumu kufeli kama ntakuzingatia maana na misuko suko yote unakuwa ushanifungukia.
Mimi natamani sana kujiajiri mkuu ila idea zangu ni za gharama siwezi kuzimudu ndio maana naendelea kuganga njaa. Ndio maana natamani nipate mentor ambaye walau naweza msikiliza nikapata kitu cha kuanza nacho kabla sijayatekeleza yale nayoyaota mimi binafsi.Ukifikia hatua ya kufikiri namna hii ujue umepiga hatua. Kuna watu wao toka akilini mwao hawajawahi kuona kama kuna sababu yoyote ya kujiajiri hali ya kuwa ana ajira (ameajiriwa)
Inspiring story naamini ulipata maono mazuri ya nini chakufanya kwa faida ya maisha yako ya sasa na baadae. keep rolling up!!Hello
Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu.
Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB.
Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina wazazi wote ila hawakuwa na msaada kwangu). Nikajikuta nimekimbilia ajira ya TANAPA kama Askari wa wanyama (game ranger) kwa kutumia cheti cha JKT mujibu wa sheria.
Nikapangiwa kazi Kambi moja iko Porini kwenye hifadhi ya Serengeti karibu na uwanja wa ndege ambao unatumika kuleta watalii, sometimes hata wafanyakazi wa hotel zile nzuri nzuri za maporini huutumia kupanda ndege.
Sasa tulikuwa na shift ya mwezi kwenda kulinda hoteli zilizopo kwenye ile hidadhi.
Sasa nilipangiwa Four seasons hotel (Bilila) ikawa kazi kubwa ni kuchukua SMG yangu na kuwapa escort matajiri Wazungu kwenda kufanya sherehe zao maporini. Mara nyingi zilikuwa Sherehe za hharusi. Wengine walifungia hharusi angani ndani ya balloon wengine chini tu.
Sasa nilikuwa nawavizia saa 12 kasoro jioni nawapa taarifa kuwa muda umeisha wajiandae kurudi hotelini.
Ikitimia saa 12 kamili nawaambia time is over chukua chako twende.
Basi hapo napewa dolari nawapa time wamalizie sherehe zao za ulevi .
Sasa mkirudi hotelini wale Wazungu ni kama niliwatupia uchawi hivi kumbe ni neema tu za Mungu. Wakiniona wananipa much respect na kufinyiwa midola.
Nilikuwa nikimaliza 30 days ile posho yangu ya laki 6 naiona chamoto tu na karibu yote nilikuwa nawarushia ndugu na marafiki.
Nilikuwa natoka na milioni zaidi ya kumi kwa mwezi game likikubali.
Sasa nikawa na pesa nyingi, sina mke, sina mtoto, account ya ziada (ya siri ikawa ina milioni 48 ) ndani ya miaka 2.
Nikaacha kazi.
Hii ilikuwa kati ya 2013-2015.
Ni upumbavu sana ulichoandika kwanza punguza bangi itakuharibia maisha haiwezekani taasisi ikuamini ukatekeleze sheria kisha wewe uivunje kwa maslahi yako binafsi alafu uje ujitape mbele ya umma?? Eti nilikuwa nauwa tembo na faru kwa siri na kuuzia majangili alafu unategemea uendelee kuwa salama kisa unatumia ID fake hapana?? Unakesi ya kujibu mpaka hapa wewe ni mtuhumiwa!! Huwezi sema kuwa ulihusika kuchoma soko la kariakoo halafu jamii ikae Kimya wakati umesababisha hasara na maafa kwa vizazi vijavyo!!!!!!! Endelea kujitafakariHello
Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu.
Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB.
Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina wazazi wote ila hawakuwa na msaada kwangu). Nikajikuta nimekimbilia ajira ya TANAPA kama Askari wa wanyama (game ranger) kwa kutumia cheti cha JKT mujibu wa sheria.
Nikapangiwa kazi Kambi moja iko Porini kwenye hifadhi ya Serengeti karibu na uwanja wa ndege ambao unatumika kuleta watalii, sometimes hata wafanyakazi wa hotel zile nzuri nzuri za maporini huutumia kupanda ndege.
Sasa tulikuwa na shift ya mwezi kwenda kulinda hoteli zilizopo kwenye ile hidadhi.
Sasa nilipangiwa Four seasons hotel (Bilila) ikawa kazi kubwa ni kuchukua SMG yangu na kuwapa escort matajiri Wazungu kwenda kufanya sherehe zao maporini. Mara nyingi zilikuwa Sherehe za hharusi. Wengine walifungia hharusi angani ndani ya balloon wengine chini tu.
Sasa nilikuwa nawavizia saa 12 kasoro jioni nawapa taarifa kuwa muda umeisha wajiandae kurudi hotelini.
Ikitimia saa 12 kamili nawaambia time is over chukua chako twende.
Basi hapo napewa dolari nawapa time wamalizie sherehe zao za ulevi .
Sasa mkirudi hotelini wale Wazungu ni kama niliwatupia uchawi hivi kumbe ni neema tu za Mungu. Wakiniona wananipa much respect na kufinyiwa midola.
Nilikuwa nikimaliza 30 days ile posho yangu ya laki 6 naiona chamoto tu na karibu yote nilikuwa nawarushia ndugu na marafiki.
Nilikuwa natoka na milioni zaidi ya kumi kwa mwezi game likikubali.
Sasa nikawa na pesa nyingi, sina mke, sina mtoto, account ya ziada (ya siri ikawa ina milioni 48 ) ndani ya miaka 2.
Nikaacha kazi.
Hii ilikuwa kati ya 2013-2015.
Hatua ya kwanza ni malengo (tena uwe na msimamo mkali) haijalishi umelenga mbal au karibu, utafika tu mkuuMimi natamani sana kujiajiri mkuu ila idea zangu ni za gharama siwezi kuzimudu ndio maana naendelea kuganga njaa. Ndio maana natamani nipate mentor ambaye walau naweza msikiliza nikapata kitu cha kuanza nacho kabla sijayatekeleza yale nayoyaota mimi binafsi.
Natambua hali itakuwa mbaya sana kwa watoto wangu kama ntaendelea kushikamana na huu mfumo uliopo.
Punguza hasira brazaNi upumbavu sana ulichoandika kwanza punguza bangi itakuharibia maisha haiwezekani taasisi ikuamini ukatekeleze sheria kisha wewe uivunje kwa maslahi yako binafsi alafu uje ujitape mbele ya umma?? Eti nilikuwa nauwa tembo na faru kwa siri na kuuzia majangili alafu unategemea uendelee kuwa salama kisa unatumia ID fake hapana?? Unakesi ya kujibu mpaka hapa wewe ni mtuhumiwa!! Huwezi sema kuwa ulihusika kuchoma soko la kariakoo halafu jamii ikae Kimya wakati umesababisha hasara na maafa kwa vizazi vijavyo!!!!!!! Endelea kujitafakari
Kuna jambo lingine unaweza kujidanganya lakini sio kweli yaani hata kama una uhuru wa kujieleza kisha uje hapa useme blaa blaa mara una. Connection na Al shababu mara umetumiwa pesa na Islamic State uwatafutie watu wawaaajiri alafu utegemee haki yako ya kujieleza iendelee kuheshimiwa na wewe uendelee kuwa huru???? Ndio maana wazee wanasema vinaja siku hizi wanakwenda vyuoni kusomea UJINGA mara eti jitu zima na degree yake linatapeliwa sijui. Qnet, Kalindaa unasema Goshhh
Uko wapi?Mimi natamani sana kujiajiri mkuu ila idea zangu ni za gharama siwezi kuzimudu ndio maana naendelea kuganga njaa. Ndio maana natamani nipate mentor ambaye walau naweza msikiliza nikapata kitu cha kuanza nacho kabla sijayatekeleza yale nayoyaota mimi binafsi.
Natambua hali itakuwa mbaya sana kwa watoto wangu kama ntaendelea kushikamana na huu mfumo uliopo.
Niko mjini Dar es Salaam.Uko wapi?
Hakuwakwibia wadhungu kweli huyu, sio kwa haraka hiyo ya kutaka mafanikio 🥱Kwanini sasa uliacha?
Kuna mchoro(A to Z) wa goli la chips ninao na location imenyooka ukichanganya vizuri umekosa sana per dai ni laki as profit.Niko mjini Dar es Salaam.
Na vipi mafanikio yako, asisahau kujibu swali hilo tasafali🚶Uko wapi?
Ana plana yake na strategy zake so hii dunia Ni tajiri mno hatufanani how to hunt, everybody has got his own way of hunting and surviving in this jungle.Huna akili,mi 48 ukaona ni nyingi,bakhresa bado anauza chapati na tui la nazi
Ni kitu nidhamu tu, nidhamu ikiwemo, fweza sii chochote sii lolote😄Tatizo watu wanamponda Sandali Ali bila wao kukumbuka walipobahatisha kiasi kikubwa kwa mara ya kwanza walifanya nini [emoji848]
Pesa hainaga uenyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app