Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Ana plana yake na strategy zake so hii dunia Ni tajiri mno hatufanani how to hunt, everybody has got his own way of hunting and surviving in this jungle.
So sio strategy zako za maisha adapt inabidi uwe na strategy ambazo zinaendana na your personality that's how you can win the game in long run.

Ngoja nikupe mfano kidogo wa hunting strategies za different predators katika dunia hii.

Simba wa afrika ama Serengeti anawinda kwa nguvu yaani Ile stalking yake Ni massively anakimbizana na prey wake na wanawinda kwa umoja.
American lion/ American lion aka puma anakaa juu ya mti then swala ama deer akikaribia kabisa na target yake anajiachia Ile heavy ambush ana stalk vigorously na ikitokea hajakamata prey baada ya kumkimbiza kidogo anakubali kushindwa anarudi Tena kutega.
Mamba anasubiria majini kwa uvumilivu mkubwa anajua muda wake utafika jamaa watakuja yeye atajichukulia chakula chake.

Mako fish the fastest water planet animal anaogolea kwa chini ya intended hunted prey so akishakuwa usawa wake ana jump vertically vigorously na kumkamata ,kumbuka anakimbia kuliko wote Ila sio kuwa anakimbia kizembe bado ananyatia.

Hata cheetah is the fastest land animal in our planet but ana winda kwa ama ana stalk stealthily na sio kuwa anakimbizana tu.
Sasa bana akimkaribia anayemtaka na kumbuka wapo wengi sema anachagua mmoja na kustiki naye huyohuyo tu hahami Wala kufanya tamaa ya kila mnyama kumkatamata Mana anajua kuwa if you want to be the jack of all then you'll be the master of none. So anakimbia kwa spidi Kali mno yaani mno nadhani Ni Kama 90kph Ila Sasa nadhani ya dakika sita Kama hajakamata anakubali kushindwa na kusubiria ama kutega mwingine.

Na wote hao nililokuambia Wana mbinu how to eat or kill baada ya kuwa ameshakamata prey wake.
Mfano cheetah anafanya suffocation ndio anaanzia kula zile sehemu laini Kama maini Figo etc zikiwa za Moto bado.
Njoo kwa puma anawinda kwa stalk the spinal kwanza.
🦅 naye anacheki prey akiwa juu mno angani then anashuka kwa spidi ya supa Sonic mnyama ama samaki alitemuona.


Pia Kuna wengine Kama fisi vultures hao unajua wanavyo survive kwa plan ama strategy gani...


Wao wakishindwa wanakubali sue hatukabali Mana rational inatuharibia.


So jamaa naye ana mbinu zake hujatulia hata amalizie alichofanya wewe ukaruka
Ni kama anajuta kuacha ile kazi ukimsoma between the lines.
Kila mtu amewahi kufanya maamuzi ya ovyo maishani mwake.
Kuacha kazi kisa ni porini kukimbilia mjini inaweza kuwa ni maamuzi yasiyo ya msingi
Anyway ngoja niishie hapo maana mi mwenyewe niliwahi kikataa kazi fulani nzuri kwa ujinga na utoto
 
Ni kitu nidhamu tu,nidhamu ikiwemo,fweza sii chochote sii lolote[emoji1]
Kaka naelewa kuwa pesa ni issue ya nidhamu.

Ila maisha ya mtanzania mpaka awe na nidhamu ya pesa sio suala kuamka ikawa ni mpaka pesa iwe imemtenda tayari mfano amewahi kuipata akafirisika , aliipata akaichezea hapo lazima nidhamu ya pesa ije.

Usisahau mashuleni hatufundishwi nidhamu ya pesa ila ni kazi zipi tuzipate ili tuipate hela then what? Ni kuila tu .

So simlaumu hata kidogo mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Ulichokosea ni kukusanya hela bila kuwa na malengo. Kama ungekuwa na malengo usingeacha kazi kizembe.

Kwa mimi ningeandaa business plan au say ujenzi na kisha ningeandaa kiasi ambacho natakiwa kuwa nacho ili business au lengo lisimame. Baada ya hapo ningeanza kununua vitu vyote vya hiyo business na baada ya kufanikiwa ndipo ningeacha kazi rasmi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kwani hapa kaja kuomba msaada au kuelezea tu? Kuna sehemu kajutia!!
 
Ni upumbavu sana ulichoandika kwanza punguza bangi itakuharibia maisha haiwezekani taasisi ikuamini ukatekeleze sheria kisha wewe uivunje kwa maslahi yako binafsi alafu uje ujitape mbele ya umma?? Eti nilikuwa nauwa tembo na faru kwa siri na kuuzia majangili alafu unategemea uendelee kuwa salama kisa unatumia ID fake hapana?? Unakesi ya kujibu mpaka hapa wewe ni mtuhumiwa!! Huwezi sema kuwa ulihusika kuchoma soko la kariakoo halafu jamii ikae Kimya wakati umesababisha hasara na maafa kwa vizazi vijavyo!!!!!!! Endelea kujitafakari

Kuna jambo lingine unaweza kujidanganya lakini sio kweli yaani hata kama una uhuru wa kujieleza kisha uje hapa useme blaa blaa mara una. Connection na Al shababu mara umetumiwa pesa na Islamic State uwatafutie watu wawaaajiri alafu utegemee haki yako ya kujieleza iendelee kuheshimiwa na wewe uendelee kuwa huru???? Ndio maana wazee wanasema vinaja siku hizi wanakwenda vyuoni kusomea UJINGA mara eti jitu zima na degree yake linatapeliwa sijui. Qnet, Kalindaa unasema Goshhh
cha wapi hicho mkuu maana sio cha arusha labda tarime huko
 
Back
Top Bottom