Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Nathibitisha hili, kuna pesa sana huku porini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂 mtt qumah kweli kwahio sahizi huna haja ya kaziSasa nina pesa porini nifanye nini?
Bob Mimi niko kazini. Niliacha kazi baada ya kupata kazi nyingine.kati ya wajinga duniani mmojawapo ni wewe.Kwanza unatoa siri pili milioni 48 unaona nyingi utaachaje kazi ajili ya milioni 48 hivi ulivyotoa hii siri unafikiri zikiisha utarudi tena kazini.
Unaonekana unatokea familia duni sana na huna shukrani utajiitaje yatima wazazi wako wakiwa hai kisa hawajakusaidia.
Sasa mimi kama mzazi wako nakuachia laana hutakaa uwe tajiri maisha yako yote na bahati uliyoipata haitarudia tena.
Kosa langu nini?We jamaa umeweweka taarifa zote hapa wanaweza kukutafuta na kukukamata mapema saanaa
AhahahahaUlifeli mzee ulitakiwa uipunguze hata 20 mil,ingekufikisha maldives au hata 30mil ingekufikisha northern pole ukazione dubu
Nilipata kazi nyingine mjini sema tu haina marupurupu😂😂😂😂😂😂😂 mtt qumah kweli kwahio sahizi huna haja ya kazi
Huna hata haja ya kujieleza. Kazi ilikuwa yako, uamuzi wa kuiacha ulikuwa wako. Achana na wajuaji pesa uchwara.Bob Mimi niko kazini. Niliacha kazi baada ya kupata kazi nyingine
Watu wa pori mnajua ninachoongea.Nathibitisha hili,kuna pesa sana huku porini
Nisamehe kiongozi.Huna hata haja ya kujieleza. Kazi ilikuwa yako, uamuzi wa kuiacha ulikuwa wako. Achana na wajuaji pesa uchwara.
Nimalizie kwa kusema wewe ni Mjinga sana. Unatoaje maelezo kuhusu wewe kupokea RUSHWA kwa uwazi hivi? Jinai haifi. Rekebisha huu upuuzi ulioufanya.
Kula rushwa ni jambo moja, kujitangaza kwa kuweka leads utakavyopatikana wewe mla rushwa ndo ujinga ninaoongelea.Nisamehe kiongozi.
Ila wewe huli rushwa?
Hii mambo ilimtokea jamaa yetu mmoja mwana sana. Tukiwa chuo dip alikuwa na stress sana za ada baadae akaanza kupoteza hata tumaini na shule sababu ya dhilki home. Maisha ya kuunga unga kula donei kwa wana. Bahati mbaya kuna lecturer mnoko akamkamata. Akasumbuliwa na kimeo mwishowe aliamua kwenda kujisajili chuo cha wildlife mweka kuanza upya cheti wakamtupa pasiansi.Hello
Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu.
Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB.
Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina wazazi wote ila hawakuwa na msaada kwangu). Nikajikuta nimekimbilia ajira ya TANAPA kama Askari wa wanyama (game ranger) kwa kutumia cheti cha JKT mujibu wa sheria.
Nikapangiwa kazi Kambi moja iko Porini kwenye hifadhi ya Serengeti karibu na uwanja wa ndege ambao unatumika kuleta watalii, sometimes hata wafanyakazi wa hotel zile nzuri nzuri za maporini huutumia kupanda ndege.
Sasa tulikuwa na shift ya mwezi kwenda kulinda hoteli zilizopo kwenye ile hidadhi.
Sasa nilipangiwa Four seasons hotel (Bilila) ikawa kazi kubwa ni kuchukua SMG yangu na kuwapa escort matajiri Wazungu kwenda kufanya sherehe zao maporini. Mara nyingi zilikuwa Sherehe za hharusi. Wengine walifungia hharusi angani ndani ya balloon wengine chini tu.
Sasa nilikuwa nawavizia saa 12 kasoro jioni nawapa taarifa kuwa muda umeisha wajiandae kurudi hotelini.
Ikitimia saa 12 kamili nawaambia time is over chukua chako twende.
Basi hapo napewa dolari nawapa time wamalizie sherehe zao za ulevi .
Sasa mkirudi hotelini wale Wazungu ni kama niliwatupia uchawi hivi kumbe ni neema tu za Mungu. Wakiniona wananipa much respect na kufinyiwa midola.
Nilikuwa nikimaliza 30 days ile posho yangu ya laki 6 naiona chamoto tu na karibu yote nilikuwa nawarushia ndugu na marafiki.
Nilikuwa natoka na milioni zaidi ya kumi kwa mwezi game likikubali.
Sasa nikawa na pesa nyingi, sina mke, sina mtoto, account ya ziada (ya siri ikawa ina milioni 48 ) ndani ya miaka 2.
Nikaacha kazi.
Hii ilikuwa kati ya 2013-2015.
Aisee hii nchi ni miongoni mwa nchi adimu Duniani koteHello

Dah noma sana mzee, rudi porini tu kazi ambayo haina mtipu ni kazi ya kibwege sana. Ndio maana washua wanakomalia per diems tu huko juu kwa vikao vya uongo na kweli tuNilipata kazi nyingine mjini sema tu haina marupurupu
Hio hela anasema ilikuwa kwenye acc ya siri. Ina maana main account ilikuwa na hela pia. Hawezi kuwa mjinga kwamba aliacha kazi bila kuwa na 100G kwenye account.Acheni kumzodoa jamaa 48m ni pesa ndefu sana alifanya maamuz sahihi,mlitaka auwawe na jangili wakati bank ana 48m?
Tena wanaobeza kuwa hii hela ni ndogo unakuta hata hawajawah kuwa na hela hyo
Kazi za porini ni krimu sana, huwez kukuta gameranger ana stress kama hawa polisi wa bongo.. kuna dogo alikuwa anabaniwa sana na T.O anapewa kazi zile mbovu wazungu waliochoka. Kuna siku akapewa huyo dingi ampeleke town sokoni, mzungu akataka duka la mawe ya tanzanite.Hii mambo ilimtokea jamaa yetu mmoja mwana sana. Tukiwa chuo dip alikuwa na stress sana za ada baadae akaanza kupoteza hata tumaini na shule sababu ya dhilki home. Maisha ya kuunga unga kula donei kwa wana. Bahati mbaya kuna lecturer mnoko akamkamata. Akasumbuliwa na kimeo mwishowe aliamua kwenda kujisajili chuo cha wildlife mweka kuanza upya cheti wakamtupa pasiansi.
Ukitaka kujua Mungu alivyo wa ajabu, jamaa kapiga kozi freshi kamaliza with flying colors mwili wake unambeba ni tall wa 6ft aisee. Kapiga live training za bunduki na michezo ya porini akatoboa wakachukuliwa 10 tu kwenye batch yao.
Si akaingia TANAPA mzee....😂😂😂 ndani ya mwaka tu life lilichange vibaya mno! Lexa alikuwa ni lifeist ambaye hakupata fursa tu toka tunasoma nae ni ana roho ya kizungu sana jamaa. Anakwambia sahizi naishi kama binadamu sitasahau wahuni mliishi freshi na mimi. Kala kamba ya maana anasukuma tako la nyani imebling kinyama hana wasiwasi. Week 2 pori week mbili yuko town anawachakaza akina mama tu. Wote aliokuwa anawatamani na wakamtosa kichuo chuo aliwafagia wote 😂😂😂.
Alipoipata fursa aliishi maisha yote aliokuwa anayatamani sasa 😂😂😂! Anakwambia sahizi mtu ambaye alikuwa anadharaulika kwenye familia na ukoo kwa ujumla vikao havihitimishwi bila yeye kuwepo. 😂