Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Nikiwa kazini
Screenshot_20221115-114508.jpg
 
Mafanikio yangu yanakuhusu nini?

Who are you?
Mafanikio yako mafanikio yetu,kama ulipata ukachezea kufaulu kwako kufaulu kwetu pia,hivyo kama yamejikita ni muda wa kutuliza akili ili isiingie kwenye lile kundi la kichaa mmoja kati ya watz 4.kwa mijini ya takwimu za wadau fulani,ilikuwa sijui twaweza wale🥱
 
Alooh kweli mzee, ma Ranger wana mkwanja yani hela sio ya wasiwasi kabisa. Ishu ya Riziki ni Mungu tu mzee kwa sababu ndani ya muda mchache unaweza kufunguliwa koki ya hela usielewe hata imekuwa kuwaje yani.

Utashanga mambo yana flow unakamilisha plan zako zote kwa wakati muafaka bila kukwama yani. Ni riziki tu Mungu anakunyooshea na hamna mtu wa kuzuia
Extrovert
Ishu ya Riziki ni Mungu tu mzee kwa sababu ndani ya muda mchache unaweza kufunguliwa koki ya hela usielewe hata imekuwa kuwaje yani.
 
Mkuu hivi Kwa wanaofanya internship TANAPA huwa Wana posho maana nilitaka niombe nafasi ya internship
 
Back
Top Bottom