Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Ni kama anajuta kuacha ile kazi ukimsoma between the lines.
Kila mtu amewahi kufanya maamuzi ya ovyo maishani mwake.
Kuacha kazi kisa ni porini kukimbilia mjini inaweza kuwa ni maamuzi yasiyo ya msingi
Anyway ngoja niishie hapo maana mi mwenyewe niliwahi kikataa kazi fulani nzuri kwa ujinga na utoto
 
Ni kitu nidhamu tu,nidhamu ikiwemo,fweza sii chochote sii lolote[emoji1]
Kaka naelewa kuwa pesa ni issue ya nidhamu.

Ila maisha ya mtanzania mpaka awe na nidhamu ya pesa sio suala kuamka ikawa ni mpaka pesa iwe imemtenda tayari mfano amewahi kuipata akafirisika , aliipata akaichezea hapo lazima nidhamu ya pesa ije.

Usisahau mashuleni hatufundishwi nidhamu ya pesa ila ni kazi zipi tuzipate ili tuipate hela then what? Ni kuila tu .

So simlaumu hata kidogo mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Kwani hapa kaja kuomba msaada au kuelezea tu? Kuna sehemu kajutia!!
 
cha wapi hicho mkuu maana sio cha arusha labda tarime huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…