Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

Mafanikio yangu yanakuhusu nini?

Who are you?
Mafanikio yako mafanikio yetu,kama ulipata ukachezea kufaulu kwako kufaulu kwetu pia,hivyo kama yamejikita ni muda wa kutuliza akili ili isiingie kwenye lile kundi la kichaa mmoja kati ya watz 4.kwa mijini ya takwimu za wadau fulani,ilikuwa sijui twaweza wale🄱
 
Extrovert
Ishu ya Riziki ni Mungu tu mzee kwa sababu ndani ya muda mchache unaweza kufunguliwa koki ya hela usielewe hata imekuwa kuwaje yani.
 
Mkuu hivi Kwa wanaofanya internship TANAPA huwa Wana posho maana nilitaka niombe nafasi ya internship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…