Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Hahahahahaaaaa
 
Duh pole aloo vp watoto ina maana hujigusi hata kutafuta njia ya kuwaona tena?
 
Ulivyo mtaja tu popoma Ndio umeharibu story yote.

1. Popoma hajawahi kufika dar tangu azaliwe.

2. Amezaliwa Bunda vijijini amekulia Bunda Mjini akasomea chuo cha Ualimu tarime. Sasa hivi anafundisha Mugetta Education Center huko Mugumu Serengeti.

# ila utoto raha unajitekenya tu mkuu.

# mwaka 2001 ukatusua viza ya Us kwenye interview ya KWANZA. Very interesting 🤣🤣🤣🤣
 
Kofi moja tu iwe sababu ya kuwa deported kama "Prohibited Immigrant", tena same day unatinga jela? Polisi waliokukamata ndiyo walifanya maamuzi ya kukupakia kwenye ndege bila ya kushirikisha immigration?
Inawezekana kabisa kwa vile pengine hakuwa hata na work permit kwa hivyo alijulikana kuwa ni illegal immigrant.

Illegal immigrant ukikamatwa kwa kitu cha kijinga tu unarudishwa nyumbani na hupewi hata nafasi ya kupita nyumbani kubeba vitu vyako.
 
Hiyo ni next available flight na ukitua bongo unafikia jela
 
Inawezekana kabisa kwa vile pengine hakuwa hata na work permit kwa hivyo alijulikana kuwa ni illegal immigrant.

Illegal immigrant ukikamatwa kwa kitu cha kijinga tu unarudishwa nyumbani na hupewi hata nafasi ya kupita nyumbani kubeba vitu vyako.
Siyo kweli. Huyu jamaa hakutiwa hatiani kwa lolote na alikuwa na familia. Kumpiga wife kofi moja siyo sababu ya kuwa deported bila kufikishwa mbele ya hakimu kwenye immigration court. Hata wale Wahamiaji Haramu wanaokamatwa kwa makosa ya traffic hufikishwa mbele ya hakimu, na hukaa rumande miezi mingi kabla ya hatma zao kuamuliwa. Isitoshe, Polisi hawana mamlaka ya kufanya deportation. Hiyo ni kazi ya ICE .
 
Ahaaa nipo huku Kizuramimba naendesha bodaboda
Kwa ambao hawajawah kusoma au kufika nje watajua ni chai. Nishaona wa Nigeria kibao wanalala Central Station hadi wapate mademu wa kuwabeba wapambane maisha yaende.
Nlishasema siwezi kwenda nje bila ramani maalumu....neverrrr. hakuna kitu kigumu kama kuwa kwenye nchi za watu halafu uwe homeless and paperless na zaidi jobless
 
Nimeandika kwa ufupi sana ila yule mama alijipanga kuna makandokando mengi nilikuwa nayo siwezi kuyaanika hapa,ukichanganya nilikuwa na student visa na sikuwahi kujoin chuo chochote
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio ndio mwenyekiti wetu wa operation kataa ndoa
Ndoa sio mbaya kitu wanachofeli watu wengi kwenye ndoa ni uchaguzi wa huyo mwenza. Mtu unamkuta kitabia na kifamilia alikotoka ni class D anataka kujichomeka kuoa mwanamke aliezaliwa na kukulia class A.. Hio ndoa haitakaa idumu; ndio maana mataifa ya wenzetu kuna classes huwezi kuivuka kwenda kuoa huko juu ingawaje nao sometimes ndoa zao siku hizi zina changamoto. Kama wewe ni class D unatakiwa uoe class G Au H huko toka kijijini. sasa siku hizi mtu kapata vipesa kidogo tu kaona Tako anataka ndoa... lazima uliwe hapo .
 
Hizi Classess India wanatingatia sana yaani kila mtu akizaliwa anajijua yuko social strata ipi.huwezi kumove besond your strata ,kwanza watakushangaa
 
Hizi Classess India wanatingatia sana yaani kila mtu akizaliwa anajijua yuko social strata ipi.huwezi kumove besond your strata ,kwanza watakushangaa
India wanazo sana hizi classes na ulaya zipo hizi, ndio maana ukiona mwafrika yupo kaoa mzungu ujue huyo mzungu wa lower classes. High classes kuolewa na kapuku mweusi mbeba mabox haipo hio, maana kwanza mtakutana wapi?? Sasa mbongo kakulia huko kazuramimba kaja Daslama mtu mzima kama baba Levo unaparamia mtoto aliekulia O'bay lazima watoto wa mjini watakusaidia tu na ndoa itakushinda. Ndoa ni kuangalia mtu mnaeendana nae, tena uwe umemzidi vitu vingi sana. Haya tuendelee na story yetu ya New York huko, huu mchezo wa kuwakimbia wabongo mamtoni upo sana. Mtu unawasiliana nae toka Dar ukishuka JFK unakuta hola ukipiga simu zinaenda voice mail..Tumezipitia hizi haahaahaa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…