Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Wapopo huwa hawatupani mkuu. Sisi ndiyo wajinga tunalostishana sasa sijui ni roho mbaya au ni vipi? Ni bora mtu umwambie mtu hali halisi kuliko kumdanganya wakati uwezo wa kumsadia huna.
Kweli kabisaa
 
Story nzuri na ina mafunzo kwa vijana wenye vision .

Pia hustle la abroad lina heshima kubwa endapo tu unafanikiwa lkn ukishindwa ndo dharau znakuwa nyingi kwa street.

Usikate tamaa mkuu,mwanamke usimchukie take their weakness as an opportunity for ur hustling.

Ina maana siku iz ni mzee wa nyeto tu?
 
Kha! HAHAHA! Witness naanza kupata wasiwasi na wewe sasa... mbona unaanzisha ubishi ambao hauna hata mantiki?!

Unawajua wazungu vizuri wewe?! Acha kabisa! Waonage hivyohivyo tu hawa nguruwe πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
Huwezi kumdanganya mzungu kitoto hivyo lazima wakupime na mzigo watakuomba tu,witness asijidanganye
 
Pole sana mkuu. Huyo Mudy White fala sana... Mimi niko Europe na nimeshasadia watu waliotoswa kama wewe. Jamaa walikuwa wanawa-promise mambo kibao wakishaingia wanawakimbia.
Mungu akuzidishie moyo mzuri na mwema na akubariki always!

Hopefully matunda yake unayaona kutoka kwa wale wanaokumbuka fadhilaπŸ‘ŠπŸΎ
 
Napiga mzigo nasepa,nikioa ijumaa jumatatu naacha ahaaa
 
Wabongo ndio tabia zetu,Mungu akubariki sana mkuu kwa
Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,watanzania ndio tulivyo,huwezi kuta watu from West Africa wanafanya ujinga huo
Kama huwa unasikiliza Hip-hop hasa za nyumbani Bongo Kuna ngoma moja ya Fid Q kuna mstari anasema "Sad-thruth... wabongo wengi hawapendani majuu"

Alimaanisha kitu
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeanza vizuri mwisho umeharibu sema salute sana Kwako πŸ˜…πŸ‘ŠπŸΎ
 
HEhehe! Ndo unavyofanyagwa hivyo Bi.nyani ngabu A.K.A Njabu ngabu

Watu kama wewe hata mkifa ardhi zinawakataa... mkizikwa mnatemewa baharini. Eti mnadai haki zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

shoga na lenyewe lina haki?!

Zumgymza facts wewe. Local State Police wana mamalaka ya kum deport Mhamiaji Haramu?
 
Kazi ya umughaka hiyo anahadithia hadi alivompindua msukule na kumpiga vibao vya matako,jamaa ameenda straight!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…