Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Wakimtafutia basha aishi naye sasa!! Asizuge
 
Kwenye maisha niliwah kuwazaga hili kwamba mzungu tunaokota sisi ni tia maji tia maji huko kwao, japo sisi maazo hututuma kwamba nimeoa mzungu sasa mimi na ukoo wangu tutaaga umasikini.
 
Wanaume wa kibongo mmajazana ujinga kwamba mwanamke hawezi kukupanda kichwani. Eti mnaambiana dawa ni kuwabutua tu. Sasa huna pa kulala na bado unamdunda mkeo anaekupa hifadhi. Hizo swaga zifanyeni bongo tu kwa mapoyoyo ona sasa umeenda huko wamekufurumusha.
 
Hujui kitu! Popoma alishawahi fanya kazi Jamii Forum kwa taarifa yako sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…