Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Hizi story za kuzamia zimenikumbusha jamaa tunafahamiana kiasi, kaenda States 2019 hapo kama daktari na hata stethoscope hawezi kuitaja achilia mbali kuijua.

Mwingine kasepa Canada mwaka jana, kufika inabidi ajifanye kakimbia vitendo vya unyanyapaa na ukatili kwa mashoga. Na mshkaji ni muislam safi, na hajui kitu kabisa kuhusu hizo mambo.
Wakimtafutia basha aishi naye sasa!! Asizuge
 
India wanazo sana hizi classes na ulaya zipo hizi, ndio maana ukiona mwafrika yupo kaoa mzungu ujue huyo mzungu wa lower classes. High classes kuolewa na kapuku mweusi mbeba mabox haipo hio, maana kwanza mtakutana wapi?? Sasa mbongo kakulia huko kazuramimba kaja Daslama mtu mzima kama baba Levo unaparamia mtoto aliekulia O'bay lazima watoto wa mjini watakusaidia tu na ndoa itakushinda. Ndoa ni kuangalia mtu mnaeendana nae, tena uwe umemzidi vitu vingi sana. Haya tuendelee na story yetu ya New York huko, huu mchezo wa kuwakimbia wabongo mamtoni upo sana. Mtu unawasiliana nae toka Dar ukishuka JFK unakuta hola ukipiga simu zinaenda voice mail..Tumezipitia hizi haahaahaa.
Kwenye maisha niliwah kuwazaga hili kwamba mzungu tunaokota sisi ni tia maji tia maji huko kwao, japo sisi maazo hututuma kwamba nimeoa mzungu sasa mimi na ukoo wangu tutaaga umasikini.
 
Wanaume wa kibongo mmajazana ujinga kwamba mwanamke hawezi kukupanda kichwani. Eti mnaambiana dawa ni kuwabutua tu. Sasa huna pa kulala na bado unamdunda mkeo anaekupa hifadhi. Hizo swaga zifanyeni bongo tu kwa mapoyoyo ona sasa umeenda huko wamekufurumusha.
 
Ulivyo mtaja tu popoma Ndio umeharibu story yote.



1. Popoma hajawahi kufika dar tangu azaliwe.


2. Amezaliwa Bunda vijijini amekulia Bunda Mjini akasomea chuo cha Ualimu tarime. Sasa hivi anafundisha Mugetta Education Center huko Mugumu Serengeti.

# ila utoto raha unajitekenya tu mkuu.

# mwaka 2001 ukatusua viza ya Us kwenye interview ya KWANZA. Very interesting [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujui kitu! Popoma alishawahi fanya kazi Jamii Forum kwa taarifa yako sasa!
 
Back
Top Bottom