India wanazo sana hizi classes na ulaya zipo hizi, ndio maana ukiona mwafrika yupo kaoa mzungu ujue huyo mzungu wa lower classes. High classes kuolewa na kapuku mweusi mbeba mabox haipo hio, maana kwanza mtakutana wapi?? Sasa mbongo kakulia huko kazuramimba kaja Daslama mtu mzima kama baba Levo unaparamia mtoto aliekulia O'bay lazima watoto wa mjini watakusaidia tu na ndoa itakushinda. Ndoa ni kuangalia mtu mnaeendana nae, tena uwe umemzidi vitu vingi sana. Haya tuendelee na story yetu ya New York huko, huu mchezo wa kuwakimbia wabongo mamtoni upo sana. Mtu unawasiliana nae toka Dar ukishuka JFK unakuta hola ukipiga simu zinaenda voice mail..Tumezipitia hizi haahaahaa.