Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😌...wadada wa kibongo someni hii kwa pupa nje mlete midomo mirefu.. utachezea kelebu na bongo sifukuzwi sababu ni nchi yangu.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😌...wadada wa kibongo someni hii kwa pupa nje mlete midomo mirefu.. utachezea kelebu na bongo sifukuzwi sababu ni nchi yangu.!
Kichwa yako ni ajabu sana we jamaa! Yaan kama sio mwanaume... au we ni bi-?! Maana hata mwanamke hawezi kuanzisha argument ya kishamba namna hiiWewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
For-real!Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
Haya maisha magumu sana kutoboa nchi za watu uwe na mtu akushike mkono au uwe na cash ya maanaWale homeless wa Philadelphia nikiwaona huwa nashangaa sana...afu wooote mateja *****
Nasema duuh hii ni marekani au naota[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Maisha ya huko si kama ya kwenu Afrika... ukikaa huko muda mchache uta-apply tabia na utajikuta automatically zipo damuni tayari... kwa mfano:- ego, kutokujali kuhusu ambacho hakikuhusu wala hakikusaidii, ubinafsi, swala la muda n.k...Hiyo summary yako ungejazia nyama kidogo.
Hapo chini mfano ungefafanua kidogo juu ya huyo jamaa yako wa Newyork aliyekukimbia ili watu waelewe ie hakuwahi kukutafuta tena ama na ww hukuangaika kumtafuta tena au vipi!?
Pili ungezungumzia swala la chuo. Mfano hata baada ya kupata vibarua bado pesa ilikuwa haitoshi kuingia chuo kulipa ada (tuition fee) ama ndio maisha uliamua kuyapeleka kivingine.
Tatu ungefafanua kidogo ulivyokutana na huyo mama wa kizungu mpaka mkawa wapenzi.
Mkuu hizi story hasa hizi za real life watu wanajifunza usichukulie simple simple.
Wapumbavu wa design yenu mnaishiaga kufa masikini na wala hamkuwahi kujaribu chochote! Toto linazaliwa linarithi umasikini wa BABA MJINGA WA DESIGN YAKO. kuwa na demu wa kizungu wewe unaona haiwezekani?! Au kwenda ulaya au Marekani unaona haiwezekanj?!Bwana wa kizungu au
U don't know anything kuhusu Majuu we punga!Kofi moja tu iwe sababu ya kuwa deported kama "Prohibited Immigrant", tena same day unatinga jela? Polisi waliokukamata ndiyo walifanya maamuzi ya kukupakia kwenye ndege bila ya kushirikisha immigration?
Usilijibu shoga hilo😀😅Watoto wa juzi mkiambiwa watu walizamia meli gadi ulaya hamuwezi kuelewa
Wabongo ndio tabia zetu,Mungu akubariki sana mkuu kwaPole sana mkuu. Huyo Mudy White fala sana... Mimi niko Europe na nimeshasadia watu waliotoswa kama wewe. Jamaa walikuwa wanawa-promise mambo kibao wakishaingia wanawakimbia.
Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,watanzania ndio tulivyo,huwezi kuta watu from West Africa wanafanya ujinga huoPole sana mkuu. Huyo Mudy White fala sana... Mimi niko Europe na nimeshasadia watu waliotoswa kama wewe. Jamaa walikuwa wanawa-promise mambo kibao wakishaingia wanawakimbia.
Unajifanya shoga Mara unapumuliwa kweli,sifanyi huo ujingaHii ya kujifanya shoga inalipa sana siku hizi mambele
Ningekuwa kidume tayari ningejigeuza cocastic nile bata Canada
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Vijanatz.comVyuo vya kata havikuwepo enzi hizo kwa kozi ya sheria kulikuwa na Udsn,Mzumbe na Tumaini tu,Udom haikwepo
Ila mimi sio jobless nilirudi na English na ujanja ujanja wa mbele siwezi kufa njaa
Je ukute jamaa ni mende kitendo cha kumwambia kuwa ww ni gay na matamanio yanamjia hapo hapo,Mara akuombe mzigo na hujawahi [emoji2]Wazungu wana heshima sana hawawezi kukutatua from nowhere....we ukiwambia mi ni gay mchezo umeisha, umeula tayari
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mbona story inaeleweka iyo, simple unasoma unaelewa.Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
Usijidanganye utafika huko ukisema we ni Shoga... one of my brotha lives in Sweden alinipa story siku moja tuko kwenye voice-call ya WhatsApp akaniambia kuna wajinga kadhaa wa kibongo wamefika wakadanganya wao wakimbizi wamekimbia kwa sababu wao ni gays wanataka kuuwawa... wakafanyiwa vipimo na mbali na vipimo wanakuwepo watu special wa kukujaribishia Dushe... tena Dushe kwelikweliHii ya kujifanya shoga inalipa sana siku hizi mambele
Ningekuwa kidume tayari ningejigeuza cocastic nile bata Canada
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wapopo huwa hawatupani mkuu. Sisi ndiyo wajinga tunalostishana sasa sijui ni roho mbaya au ni vipi? Ni bora mtu umwambie mtu hali halisi kuliko kumdanganya wakati uwezo wa kumsadia huna.Wabongo ndio tabia zetu,Mungu akubariki sana mkuu kwa
Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,watanzania ndio tulivyo,huwezi kuta watu from West Africa wanafanya ujinga huo
Kha! HAHAHA! Witness naanza kupata wasiwasi na wewe sasa... mbona unaanzisha ubishi ambao hauna hata mantiki?!Wazungu wana heshima sana hawawezi kukutatua from nowhere....we ukiwambia mi ni gay mchezo umeisha, umeula tayari
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Najua huwa wanapimwaUsijidanganye utafika huko ukisema we ni Shoga... one of my brotha lives in Sweden alinipa story siku moja tuko kwenye voice-call ya WhatsApp akaniambia kuna wajinga kadhaa wa kibongo wamefika wakadanganya wao wakimbizi wamekimbia kwa sababu wao ni gays wanataka kuuwawa... wakafanyiwa vipimo na mbali na vipimo wanakuwepo watu special wa kukujaribishia Dushe... tena Dushe kwelikweli
Mbona walisalimu amri! 😳😂😂😂
Wakarudishwa Bongo... tulikufa kucheka... kwahiyo ukiandaa kisingizio hakikisha ni kweli. Kama unafirwa make sure ni kweli hiyo michezo unayo na we kweli ni gay.
#nawasilisha