Sina mpango wa kuoa kanisani/msikiniti na sijawahi kuwaza wala kutamani.Idea yako ya mahakamani imeshakufa au bado ipo mkuu, nimesoma uzi lakini sjaelewa
Upo sawa, ila bado si mkeo mkuu. Hapo katikati akipata mwamba akamtolea mahari kabla yako ikapoelewa anabeba mnaanza mipango ya namna ya kumlea mtoto bila kumuudhi mumewe.Inawezekana.
Lengo ni utambulisho then mwezi wa 3/4 ndipo kukutana ili ndugu pande zote tujuane.
Kumbuka matarajio ya binti kujifungua ni mwezi wa 6.
So niliwaza baada ya hapo ndipo utaratibu mwingine ningeukamilisha.
Waeleze ukweli sasa, kwamba utaratibu ni huu.Sina mpango wa kuoa kanisani/msikiniti na sijawahi kuwaza wala kutamani.
Wazo ni Mahakamani, shida ni changamoto n- vikwazo ninavyoletewa na ni vyakushtukizana miezi mibaya.
Huyo jamaa nitampigia salute nyingi sana na mchango wa harusi nitampa maana atakua hana tofauti na wale wanaojitoaga mhanga πUpo sawa, ila bado si mkeo mkuu. Hapo katikati akipata mwamba akamtolea mahari kabla yako ikapoelewa anabeba mnaanza mipango ya namna ya kumlea mtoto bila kumuudhi mumewe.
Naheshimu pia lakini kitendo hichi ni kama wanafanya kwa kutaka kunikomoa.Mimi pia natokea migombani
Humbe na Humility...omba sana hivi vitu katika maisha yako. Wazazi wa mkeo.ni wazazi wako, sisi wa migombani tunaheshimu sana Vatoi....
Remember what I said to you. .Naheshimu pia lakini kitendo hichi ni kama wanafanya kwa kutaka kunikomoa.
Na ndio maana hata timetable nyingine nilizivunja ilimradi afike kwao tusiwakwaze wazee.
uliombwa huo mnduku na wakweNiwasikilize nini?? Kua specific Canbron!!
Kwahyo mkubwa wako akikuomba mnduku utamsikiliza na kumpa??
Kuna watu wanajilipua mkuu, na pesa unakuta wanazo, unaweza dhani ni masharti ya mganga.Huyo jamaa nitampigia salute nyingi sana na mchango wa harusi nitampa maana atakua hana tofauti na wale wanaojitoaga mhanga π
Alafu dunia ya leo waoaji ni wachache mzee.
Nenda katoe mahari ili ukae na mtoto wao kihalali coz hapo tu umeshafanya tofauti na maadili ya kitz... Ukitoa mahari huwa swala la ndoa itakua lini unasikilizwa wewe muoaji kwahiyo utawatajia na kuhusu Pete waambie unataka umvalishe siku hiyo hiyo ya kutoa mahari kwa maana ratiba zako haziko sawa so unataka kumaliza vyote siku hiyo ili libakie swala la ndoa tu.Wazee wangu nilishaongea nao na tulikubaliana shughuli iwe katikati ya mwezi wa 3/4 itakapoangukia sherehe za pasaka
Kuhusu kunisaidia kiuchumi hawako vizuri, lakini pia kwa upande wangu naweza nika force mambo kisha nikaja kukwamba mbeleni kwasababu last time tulienda kwenye ultrasound na EDD(tarehe yake ya kujifungua) ni katikati mwezi wa 6.
Wazee upande wapili according tu washenga inasemekana wamesema tarehe waliyoipanga ni FIXED haiwezi badilika.
Rudia kusoma thread yangu Mkuu.Huwezi amini nilidhani unamzuia kwaajili ya mimba kumbe unamzuia unaogopa utaambiwa upeleke mahari? π π
Ingekuwa ndio mimi ukweni kuna mambo hayo asee wangebaki na mtoto waoKuoa sio issue ya kupenda tuu, ni long time plan a risky one.
But we take precautions
Sio kama nimekataa Masta, issue ni huo muda walionipangia (Ni ndani ya siku 10) isitoshe hii ni january kupata nafasi kwa upande wangu, wazazi na ndugu ni changamoto.Nenda katoe mahari ili ukae na mtoto wao kihalali coz hapo tu umeshafanya tofauti na maadili ya kitz... Ukitoa mahari huwa swala la ndoa itakua lini unasikilizwa wewe muoaji kwahiyo utawatajia na kuhusu Pete waambie unataka umvalishe siku hiyo hiyo ya kutoa mahari kwa maana ratiba zako haziko sawa so unataka kumaliza vyote siku hiyo ili libakie swala la ndoa tu.