MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #181
Unaelewa ulichokiandika lakini? Swali la msingi, hao uliowataja ni wakatoliki?
Kwa mujibu wa Uzi wako, Rais au Makam wake lazima awe Mkatolik. Tuanzie hapo kwanza
Na unaposema walienda kujisalimisha, una ushahidi? Lakini cha msingi zaidi, MTU kwenda Vatican inamfanya awe Mkatoliki?
Rekebisha post yako vinginevyo itakua na mapungufu sana.
Wana madhambi yao waliyo yafanya katika uongozi wao ndio maana mwingine aliandika kitabu cha kuomba toba kabla hajafa sasa sijui huyu wa juzi juzi hapa kama alitubu au anasubiri kuwa kuni.Unafurahia na Kuwacheka Marais Wakatoliki waliowahi Kuongoza ( Kutawala ) Tanzania Kufa Wewe ulihakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa hutokufa na utaishi Milele?
Pumbavu.
Mkuu soma mwenyewe ulichokiandika hapa!!
Lete ushahidiHalafu viongozi wa hilo dhehebu la Vatican huwa na roho mbaya licha ya kumtaja Kristo na Mungu kila saa, Bora hata ya hao Waislamu
Hata Mimi najua hivyoBado sijakuelewa
Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..
Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Kama lina nguvu mbona hakuna amani awaleti upatanishi acheni zenu hakuna lolote mbn raisi wa marekani sio mkatoliki UK queen sio mkatoliki..???
Kinyume chake ni kweli, fanya home work yako vizuriAsilimia kubwa upojikita ukatoliki na umaskini huwa ni mkubwa mno fanya research!!
Sijaona Pointi yako hapo.Acha kulichafua kanisa na kuichafua serikali.
If an imbecile like me cannot understand an imbecile like you then you truly are an imbecileCan imbecile like you Understand me?
Wana madhambi yao waliyo yafanya katika uongozi wao ndio maana mwingine aliandika kitabu cha kuomba toba kabla hajafa sasa sijui huyu wa juzi juzi hapa kama alitubu au anasubiri kuwa kuni.
Hauna IQ ya Kuelewa nilichokiwasilisha.
YES
So does it justify you to like their deaths?
Oya hebu acha Kunipotezea muda okay?
Hivi ujinga ni congenital au acquired?
Matusi na mapovu ya nini; usijiingize kwa kundi la watu wasiokuwa na akili kwa majibu ya aina hii. Post yako haikuwa na ukristo bali ilikuwa ni ya ukatoliki. Hujatoa ushuhuda wowote kuonyesha kuwa Mkapa na Magufuli waliteuliwa kwa sababu ya ukatoliki wao. Kikwete alishatueleza ni kwa nini alimpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa urais, kwa waliokuwapo mwaka 1995 tunajua ni kwa nini Mkapa aliteuliwa kuwa mgombea. Sasa katiba inasema Mgombea akitoka bara, lazima mgombea mwenza atoke visiwani na vice versa. safari hii jukumu la kumpata makamu wa rais lilikuwa ni maamuzi ya Samia na CCM. Je wewe ni mmoja wa waliomshinikiza Samia amteue Mpango kwa sababu ni mkatoliki? Kama Mpango hafai kwa sababu ya ukatoliki wake wewe ulitaka ni nani ateuliwe?Pumbavu nimeongelea sana kuhusu Ukatoliki na Madhehebu mengine ya Kikristo na wala sina tatizo na Waislamu kwani najua Mwinyi, Kikwete na Samia ni Waislamu.
Naendelea Kusisitiza kama unajijua huna Akili ( hujabarikiwa nayo ) na Mwenyezi Mungu usiwe unafungua na Kusoma Threads za Generalist.