Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Unaelewa ulichokiandika lakini? Swali la msingi, hao uliowataja ni wakatoliki?
Kwa mujibu wa Uzi wako, Rais au Makam wake lazima awe Mkatolik. Tuanzie hapo kwanza

Na unaposema walienda kujisalimisha, una ushahidi? Lakini cha msingi zaidi, MTU kwenda Vatican inamfanya awe Mkatoliki?

Rekebisha post yako vinginevyo itakua na mapungufu sana.

Hauna IQ ya Kuelewa nilichokiwasilisha.
 
Unafurahia na Kuwacheka Marais Wakatoliki waliowahi Kuongoza ( Kutawala ) Tanzania Kufa Wewe ulihakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa hutokufa na utaishi Milele?

Pumbavu.
Wana madhambi yao waliyo yafanya katika uongozi wao ndio maana mwingine aliandika kitabu cha kuomba toba kabla hajafa sasa sijui huyu wa juzi juzi hapa kama alitubu au anasubiri kuwa kuni.
 
Hapo naona umepania kuwachota watu akili, wewe huna cha ukatoliki wala nini sijui - ni wazi una chuki binafsi na dhehebu la Kikatoliki, unayo yasema hapa umeyatunga ie hayana ukweli wowote.

Hivi unajuwa VATICAN ina status gani katika jumuhiya ya Kimataifa? Vitican ni Nchi na ina mabalozi wake Dunia nzima, hata hapa Tanzania yupo - hivyo Rais anapofanya ziara Vatican anakwenda kutembelea Nchi sio kwenda kumsujudu PAPA, msitake kuwapotosha watu na ajenda zenu za kidini - kazi kulalama kila siku eti hamtendewi haki - leo hii unajifanya mkatoliki unafikiri Watanzania hatuna akili za kubaini uongo/usanii wako.
 
Kama lina nguvu mbona hakuna amani awaleti upatanishi acheni zenu hakuna lolote mbn raisi wa marekani sio mkatoliki UK queen sio mkatoliki..???

Content na Context ya huu Uzi wangu hapa umezungumzia Ukatoliki na Urais wa Marekani na Malkia wa Uingereza?

Kuna Watu nikiwa nawaambieni hamna Akili ( Wapumbavu ) msiwe mnakataa au mnachukia kwani huwa nipo sahihi 100% tu.

Namtafuta mno aliye temper na Elimu ya Tanzania na Kuiharibu Kiasi kwamba sasa inazalisha Wapumbavu wengi kila Uchao.
 
Generalist ( alias ) Brainiac huwa naeleweka vyema na upesi sana na Brainiac Wenzangu kama Wewe na Wengineo baadhi hapa JamiiForums. Heko.
 

Wana madhambi yao waliyo yafanya katika uongozi wao ndio maana mwingine aliandika kitabu cha kuomba toba kabla hajafa sasa sijui huyu wa juzi juzi hapa kama alitubu au anasubiri kuwa kuni.

If so then does it justify you to enjoy their deaths as you've shown vividly in your previous nonsensical comment?
 
Wewe siyo Mkatoliki ...
Mkatoliki huwa hatambi kihivyo....huwezi kumkuta Mkatoliki akitamba hadharani eti sisi wakatoliki tuna nguvu Mara sijui sisi wasomi sijui Nini ...hakuna kitu Kama hicho...
 
Pumbavu nimeongelea sana kuhusu Ukatoliki na Madhehebu mengine ya Kikristo na wala sina tatizo na Waislamu kwani najua Mwinyi, Kikwete na Samia ni Waislamu.

Naendelea Kusisitiza kama unajijua huna Akili ( hujabarikiwa nayo ) na Mwenyezi Mungu usiwe unafungua na Kusoma Threads za Generalist.
Matusi na mapovu ya nini; usijiingize kwa kundi la watu wasiokuwa na akili kwa majibu ya aina hii. Post yako haikuwa na ukristo bali ilikuwa ni ya ukatoliki. Hujatoa ushuhuda wowote kuonyesha kuwa Mkapa na Magufuli waliteuliwa kwa sababu ya ukatoliki wao. Kikwete alishatueleza ni kwa nini alimpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa urais, kwa waliokuwapo mwaka 1995 tunajua ni kwa nini Mkapa aliteuliwa kuwa mgombea. Sasa katiba inasema Mgombea akitoka bara, lazima mgombea mwenza atoke visiwani na vice versa. safari hii jukumu la kumpata makamu wa rais lilikuwa ni maamuzi ya Samia na CCM. Je wewe ni mmoja wa waliomshinikiza Samia amteue Mpango kwa sababu ni mkatoliki? Kama Mpango hafai kwa sababu ya ukatoliki wake wewe ulitaka ni nani ateuliwe?

Swala la namna hii aliwahi kulitoa Lowassa mwaka 2015, na ndipo akahamaia CHADEMA, lakini je aliishiwa wapi?
 
Back
Top Bottom