Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Wenye Akili na Wafuatiliaji wa Masuala Mtambuka kama Wewe ndiyo mtanielewa vyema Generalist Mimi ila kwa wale Wapuuzi kamwe hawatoweza Kunielewa kabisa.
Tukuelewe vipi wakati unaandika uongo, kikwete na makamo wake hakukuwa na hata mmoja mkatoliki, samia na makamo wake hakuna hata mmoja mkatoliki, huko israel ndio walivunja rekodi hadi yesu walimuua
 
Mzee Mwinyi na hata Kikwete kwa Nyakati zao tofauti Walijisalimisha huko na hsta Ujumbe Maalum wa Papa kutoka Vatican ulitumwa Tanzania tena Ikulu kuja kuwaweka sawa na Kukubaliana.
Toka kwenye fikra za kusadikika mzee, haya katoliki inatawala dunia inakusaidia nini wewe mwenye dhiki hadi mdukuni kwako?
 
Kipindi cha kikwete na Gharib bilal yupi hapo alikuwa mkatoliki?

Fuatilia jinsi Utawala wake ulivyopata Changamoto nyingi kutoka Kanisa Katoliki hadi kila mara Hayati Rais Mkapa akawa anaingilia kuwaweka sawa. Msinilazimisha kwenda mbele ya hapa ila itoshe tu kusema kuwa Kanisa Katoliki ndilo lina Nguvu na Ushawishi mkubwa wa Kiutawala na Kisiasa nchini Tanzania.
 
Mijitu yenye udini ina niuziiiiiii, mtumikie Mungu wako kwa nafasi yako ,
 
Protestants kushika Nchi ni ngumu, madhehebu mengine na dini zitashika nyadhifa nyingi za juu bila tatizo.
Hata apo miaka ya nyuma wengi waliamini mwanamke kuwa rais ni ngumu lakin leo Tanzania inaongozwa na mwanamke hakuna anayejua kesho yake
 
Protestants kushika Nchi ni ngumu, madhehebu mengine na dini zitashika nyadhifa nyingi za juu bila tatizo.
Hata apo miaka ya nyuma wengi waliamini mwanamke kuwa rais ni ngumu lakin leo Tanzania inaongozwa na mwanamke hakuna anayejua kesho yake
 

Ni kawaida yangu Kueleweka na Watu Werevu na Makini kama Wewe Ndugu.

Angalia Mijuha inavyonipotezea muda.
 
Maybe alibadili coz mama yake mpaka ndugu zake tulikuwa tukisali nao Angrican, na si hivyo tu mdogo wake anayemfuata alikuwa askofu wa kanisa la agricani huku huku kigoma, belive me

Wewe ulimfahamu Mpango / Mipango?
 
Kwa hiyo mama ni mkatoliki...hivi shule hazijafunguliwa bado?

Watu wa IQ ndogo kama Wewe ndiyo mnasababisha Waafrika wote tunadharaulika.

Upesi sana nionyeshe ni wapi katika Thread Content yangu nimesema ( nimeandika ) Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Mkatoliki kama ulivyozusha Wewe hapa.

Jamani kama mnajijua kuwa mna Upumbavu wa Kurithishwa na Koo zenu tafadhali msiwe mnasoma Thread za Generalist ( alias ) Brainiac sawa?

Mnakera!!
 

Kuna sehemu nimekushikia Jiwe Kubwa la FATUMA na Kukulazimisha Uufungue na Uusome huu Uzi wangu?

Idiot.
 
Waabidu sanamu wanapatana na wachawi wa Gamboshi ndio maana
 
Ninachojua ni kwamba kumekuwa na mzunguko wa Catholic na Islam tu.

Nyerere-Catholic
Mwinyi-Islam
Mkapa-Catholic
Kikwete-Islam
Magufuli-Catholic
Samia-Islam
.....

Na ndicho pia nilichokikusudia sana hiki.
 
Ningeshangaa sana kama Mlutheri, Muanglikana na Watu wa TAG wangeupenda huu Uzi wangu ambao umepiga pale pale na sasa mnaweweseka tu huku mkiwa mmenuna ( mmefura ) kabisa. Poleni ila Sindano najua imewaingia.
Kennedy aliuliwa Marekani kutaka kuleta uhusiano wake na Papa kwa kuwa alikuwa Catholics..wajuba wakamwambia hatuabudu sanamu wakamuuwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…