Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Umesahau kikwete alikua anaenda sana vatican.. kuna gazeti moja lilishawahi kumuonesha akimbusu Papa mkonon.. unaelewa nini maana ya ishara ya kiongozi kumbusu Papa mkonon..
 
Baada ya kusoma comments zote kitu nunavhoweza kuvhangia NI
Kanisa katoliki Lina vitu vifuatavyo ambavyo vinaweza kuwa NI ushawishi na nguvu kwa watawala na n nchi

Lina viongoz wasomi wenye kuweza ku analyse Mambo
Lina wafuasi wengi wenye umoja
Limeji organise kiasi kwamba maamuzi kutoka juu yakitolewa ndani ya dk waumini wake wanaweza kupata taarifa na kutekeleza walichoamriwa
Lina viongoz wenye msimamo
Lina support kubwa kutoka vatcan
 
Kuna sehemu nimekushikia Jiwe Kubwa la FATUMA na Kukulazimisha Uufungue na Uusome huu Uzi wangu?

Idiot.
Ukienda huko, ujue mimi nilishatoka huko siku nyingi.

Kwa hiyo tulizana.

Mada yako hii haiwezi kuwa ya maana kwa kuongeza ukilaza zaidi ya uliomo ndani yake.
 

Werevu wa Kunielewa mpo Wachache.
 
Wanaweza kuwa nguvu n.k kutokana na kuwa wapo organise kuliko madhehebu mengine na kuwa na mipango ya muda mrefu.
Lakini la kuwa lazima kiongozi awe katoliki sio kweli hivyo Mlutheri anaweza au Muanglikana, sema Anglikana wapi wachache na unorganized, labda on individual level.
Mlutheri ili mradi hana character kama ya yule anaweza kupata
 
Utawala wa Chuma na udongo. Soma kuhusu ndoto ya mfalme Nebukadnezer na ufunuo wa Yohana utaelewa hicho unachokizungumza.
 
Nakumbuka enzi ya Jakaya Kikwete makamo wa Rais alikuwa Dr Shein baadae akaingia Billal sijui hapa ukatoliki uko wapi mkuu
 
Kinachojadiliwa kwenye bango hili ni nanfasi moja tu URAISI including na Makamu wake/hao uliowataja utajua mwenyewe
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?
 
Hakuna cha siri wala nn ni promo za kijinga
 
Nakumbuka enzi ya Jakaya Kikwete makamo wa Rais alikuwa Dr Shein baadae akaingia Billal sijui hapa ukatoliki uko wapi mkuu
Rais anapokua muislamu na anatokea bara ni ngumu Sana kupata mkristo/mkatoliki kutoka Zanzibar kuwa makamu wa rais.
Zanzibar wanatoa makamu wa rais ikiwa rais wa Muungano anatoka bara, Zanzibar asilimia 99 ni waislamu Kwa hiyo ni ngumu kuwa mkristo/mkatoliki makamu wa rais .anayetokea Zanzibar.
Hapo ndipo waziri mkuu huwa inatazamiwa atoke bara akiwa ni mkristo.
 
Kwani Mpango ni mkatoliki? Siyo Muanglican kweli? Kaka yake alikuwa askofu wa Anglican kule Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…