Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Mkuu malcolm Lumumba heshima kwako..

Natamani elimu uliyonayo tuisambaze Kwa watoto wengi humu na Tanzania nzima..

Umesahau kutaja madhambi ya wakatoliki
Kwa wapigania Uhuru wa Tanganyika..

Yako mengi Sana ikiwemo Ku influence mfumo wa elimu uliowasafisha...

Hata wakatoliki wengi kama kina Msekwa hawakuwepo kabisa katika harakati za kudai uhuru...Mwalimu alishirikiana na kina Kawawa na wengine but Uhuru ulivyopatikana Tu wakawa frontline ku influence
Inaonekana una chuki za wazi na ukatoliki, hebu tuambie hao waliokuwa mstari wa mbele kupigania huo uhuru??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Umepuyanga sana mzee, hivi wakati unaandika huu upupu hukushtuka tu kuwa Kikwete na Dr. Bilali sio Wakatoliki? Na walikuwa katika nafasi ulizotaja ya kuwa mmoja wapi ni lazima awe Mkatoliki?

Umekula maharage ya wapi mkuu mpaka umevimbiwa? Malizia pilau kwa shemeji yako ulale!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hata mimi nakataa siyo kweli
 
Wewe jamaa zwazwa sana, utakuwa na roho ya kichawi...maana siyo kwa kujibizana huku na kila mtu...naona unajificha kwenye ID nyingi sababu ya upopoma..
 
Wewe jamaa zwazwa sana, utakuwa na roho ya kichawi...maana siyo kwa kujibizana huku na kila mtu...naona unajificha kwenye ID nyingi sababu ya upopoma..

ID yangu ni Generalist ambayo kwa Kiingereza kingine ni All - Rounder ID ambayo nilikuwa naitumia awali.

Sababu kubwa ya kuja ( kubadili ) neno kutoka All - Rounder kwenda hili la sasa la Generalist ni kulifanya liwe fupi zaidi.

Hizo ID's zenu ( yenu ) nyingine sijui ya GENTAMYCINE siijui na Kwanza najaribu Kuitafuta hapa JF siioni labda kama Wewe ( nyie ) mmeiona nionyedheni tafadhali.

Kama mnakereka sana Member wa JF Kubadili ID yake pelekeni lawama zenu kwa Uongozi wa JF ili waondoe kile Kipengele chao Cha Mtu Kubadili ID au Jina lake hapa kama akitaka.

Nikiwa ninawadharau msiwe mnachukia. Na hakikisha unawasambazia Wapuuzi Wenzako wote mnaokereka Mimi Kujiita sasa Generalist badala ya All - Rounder wakati ni maneno yenye maana sawa ( hiyo hiyo ) tu.
 
Some things are better left unsaid

Watu wenye vidomo virefu kama wewe ni chanzo cha shida kubwa Sana sehemu nyingi

It is not smart of you kabisa
 
Ni wajinga tu ndiyo watabishana na wewe, kanisa Katoliki siyo tu kwamba linanguvu kwenye angle hiyo uliyotamka tu, bali lina shikilia uchumi wa dunia.

Katika siasa za Tanzania, Kama serikali inataka itawale bila kupigwa nyaraka Basi makamu wa Rais au Rais mwenyewe , basi mmoja wapo awe ni mkatoliki.

Rejeeni miaka 10 ya JK nyaraka zilitoka hasa,
1. Kwenye sakata la nani achinje kanisa lilitoa nyaraka kubariki wakristo tuwe na bucha zetu na ziandikwe jumbe za kikristo",

2 Kwenye sakata la katiba mpya kanisa liliikataa rasimu ya akina Samweli Sitta, likawaelekeza waumini wake wapige kura ya hapana, likaenda mbali zaidi mpaka likawataka wawe makini na aina ya swali litakavyokuwa limeandikwa.
3. Wakati wa mauaji ya raia wakati wa mh Jk kanisa Katoliki liliandika nyaraka Sana kwa serikali kuitaka ichukue hatua.
Sasa , je kwenye utawala wa Magufuli kanisa Katoliki lilitoa nyaraka ngapi??? je kila penye uovu lilikemea?? Jibu ni hapana, huyu alikuwa ni wao, wanafahamiana, wamemlea wao
 
Hoja zako ni zile zinazoitwa 'hoja zoazoa' - hoja za kuokoteza - zilizowekwa pamoja ili zionekane zina mantiki fulani, lakini in the real sense hakuna kitu. Hulijuia Kanisa Katoliki na kutembelea Basilica ya Vatican siyo evidence ya kulijua Kanisa Katoliki. Hapa unatulisha matango pori tu. Wanaotaka kuyala ngoja wayale kama wana njaa.
 
Huyu nae udini na kujifanya ukatoliki unaujuuua.....Hii Tanzania sio mkatoliki tu kila ndini inatambulika na kuheshimika ww toa udini wako hapa.
 
Vatican imekuwa chief executive wa dunia mpak pale Napoleon alipomkamata papa na kumfunga , hyo ikatoa mwanya Kwa makanisa ya kiprotesat kuinuka , Kwa sasa Vatican inajarbu kuregain power ,na inafanikiwa Kwa Kasi ya ajabu tangu Mussolin aipe nguvu ....
Papa yupo behind the scenes Kwa movement yyte inayoendelea duniani......
 
Mkuu unafahamu, Katoliki kwa utaratibu wao Askofu ni mkuu wa eneo husika

Pengo alikuwa anashambulia mamlaka ya Dar es Salaam ambalo ndio eneo Lake la utawala

Kumbuka Mamlaka ya Dar es Salaam
ndio kuna Ikulu
Askofu wa Songea anatawala Songea hivyo anashambulia mamlaka zake za jimbo Songea


Usiwachukulie Poa hao watu, Ukisikia alienda Vatican kusomea the sheria za kanisa usifikirie sheria za Africa

Kuna siri nzito sana
Vatican hawahawa ambao juzijuzi walikuwa wanaomba msaada
 
Nasikia kilichomfanya pengo kumpiga nyaraka JK ni kua pale Ikulu kiliwekwa kiti cha Pengo katika pre meeting asubuhi naye alikua akihudhuria. JK akawaambia waandaji kama kuna kiti cha Pengo na kiti cha Mufti lazima kiwepo hapo game ikachafuka kiti cha Pengo kikatolewa ndipo alipoanza Nyaraka kwa JK
 
Mbona mleta mada hajamtaja Malasusa wa KKKT ambaye naye ni Pengo number 2.

Ni watu tu wengine wanaamua kutumika, kama alivyotumika Cyprian Musiba.
Mkuu fuatilia haya mambo kama unadhani kuna haja ila kama huna haja ya kujua yaliyomo tulia tu...mambo mengi si kama tunavyoyaona
 
Kukuunga mkono unachokiongea, wanaoliogopa kanisa katoliki na kudhani ndilo linaweka viongozi wa kitaifa na kimataifa wengi hata sio wakatoliki au ni wakatoliki jina, kazi za wakatoliki ni far related from political sphere.
Si kweli
 
Back
Top Bottom