permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Inaonekana una chuki za wazi na ukatoliki, hebu tuambie hao waliokuwa mstari wa mbele kupigania huo uhuru??Mkuu malcolm Lumumba heshima kwako..
Natamani elimu uliyonayo tuisambaze Kwa watoto wengi humu na Tanzania nzima..
Umesahau kutaja madhambi ya wakatoliki
Kwa wapigania Uhuru wa Tanganyika..
Yako mengi Sana ikiwemo Ku influence mfumo wa elimu uliowasafisha...
Hata wakatoliki wengi kama kina Msekwa hawakuwepo kabisa katika harakati za kudai uhuru...Mwalimu alishirikiana na kina Kawawa na wengine but Uhuru ulivyopatikana Tu wakawa frontline ku influence
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app