Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Vatican imekuwa chief executive wa dunia mpak pale Napoleon alipomkamata papa na kumfunga , hyo ikatoa mwanya Kwa makanisa ya kiprotesat kuinuka , Kwa sasa Vatican inajarbu kuregain power ,na inafanikiwa Kwa Kasi ya ajabu tangu Mussolin aipe nguvu ....
Papa yupo behind the scenes Kwa movement yyte inayoendelea duniani......
Napoleon Bonaparte ameteka mapapa watatu wa Kanisa Katoliki mnamo Karne ya 18 na 19. Uprotestanti (The Reformation) umezaliwa mnamo karne ya 16 miaka 200 kabla ya Napoleon Bonaparte kuvamia Vatican na kumteka Papa.
 
Mkuu nakuombea Afya njema na Mungu akuepushe na majanga ya kila namna katika maisha yako. Umenifanya nipate elimu ya bure bure kutoka kwako.
 
Wakatoliki ni chanzo ya maovu dunia mzima! P....u..mbavu.....zao
 
Napoleon Bonaparte ameteka mapapa watatu wa Kanisa Katoliki mnamo Karne ya 18 na 19. Uprotestanti (The Reformation) umezaliwa mnamo karne ya 16 miaka 200 kabla ya Napoleon Bonaparte kuvamia Vatican na kumteka Papa.
Kama hutojali ungependa kutumegea kidogo kisa cha John Paul kupigwa risasi?
Kuna post moja uliwahi kumpinga jamaa juu ya Vatican/ papa John Paul kuhusika katika kuvunjika kwa USSR kwenye mada yako KWA NINI USSR ILIYOVUNJIKA ILIKUWA DHAIFU KULIKO URUSI YA SASA.
 
Mtoa mada yuko sahihi hata hivyo ameshindwa kutofautisha kati ya wakatoliki na Walei.

Walei hasa ndio wanaangoza utawala na Serikali nchini.

Uwe dhehebu lolote lkn kamati inayopendekeza teuzi lazima ishikwe na Walei.

Kwa ufupi nafasi zote nyeti zimeshikwa na walei.

Walei ni wanataaluma wa kikatoliki wanaofanya kazi ya Utume nje ya kanisa.

Na kazi kubwa ya utume ni kutawala kwa kanuni za imani husika.

Ukiangalia teuzi za Mama za makatibu wakuu na wakuu wa mamlaka utaona kabisa Mama aliletewa tu orodha nae akawapitisha.

Bali baada ya mhilimi wa NNE wa dola kuingilia kati (social media aka kigogo) ndio akatengia wenye sifa nje ya sifa

Sasa , je kwenye utawala wa Magufuli kanisa Katoliki lilitoa nyaraka ngapi??? je kila penye uovu lilikemea?? Jibu ni hapana, huyu alikuwa ni wao, wanafahamiana, wamemlea wao
Hebu tuwe fair jamani, hata miezi miwili haijapita tangu Baraza la Maaskofu Katoliki kupitia kwa Katibu Mkuu wake lilitoa waraka kuhusu kusisitiza waumini wake kutumia njia za kisayansi katika kukabiliana na Covd-19 jambo ambalo lilikuwa tofauti na msimamo wa JPM hadi kupelekea marehemu kutoa maneno makali alipokaribishwa kutoa salamu kanisani St. Peter's. Sasa iweje useme RC ilikuwa kimya? Huu uzi umekaa kiuchonganishi, na hata mleta uzi sio Mkatoliki ila amepretend tu ili kuamsha hisia
 
Irejee upya ile Comment yako utaelewa.
Kuna uwezekano mkubwa sana hizi dini kuchangia umaskini.

Sasa kusema hivyo kuna shida gani? Unafikiri kila anayecomment opposite na wewe ni wa kutoka dini/dhehebu tofauti na wewe?
Huu mjadala upo huru mtu anacomnent kile anachokifikiria.
 
Back
Top Bottom