Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Safi sana. Udini una maana gani???Huyu nae udini na kujifanya ukatoliki unaujuuua.....Hii Tanzania sio mkatoliki tu kila ndini inatambulika na kuheshimika ww toa udini wako hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Udini una maana gani???Huyu nae udini na kujifanya ukatoliki unaujuuua.....Hii Tanzania sio mkatoliki tu kila ndini inatambulika na kuheshimika ww toa udini wako hapa.
Napoleon Bonaparte ameteka mapapa watatu wa Kanisa Katoliki mnamo Karne ya 18 na 19. Uprotestanti (The Reformation) umezaliwa mnamo karne ya 16 miaka 200 kabla ya Napoleon Bonaparte kuvamia Vatican na kumteka Papa.Vatican imekuwa chief executive wa dunia mpak pale Napoleon alipomkamata papa na kumfunga , hyo ikatoa mwanya Kwa makanisa ya kiprotesat kuinuka , Kwa sasa Vatican inajarbu kuregain power ,na inafanikiwa Kwa Kasi ya ajabu tangu Mussolin aipe nguvu ....
Papa yupo behind the scenes Kwa movement yyte inayoendelea duniani......
Mkuu nakuombea Afya njema na Mungu akuepushe na majanga ya kila namna katika maisha yako. Umenifanya nipate elimu ya bure bure kutoka kwako.Napoleon Bonaparte ameteka mapapa watatu wa Kanisa Katoliki mnamo Karne ya 18 na 19. Uprotestanti (The Reformation) umezaliwa mnamo karne ya 16 miaka 200 kabla ya Napoleon Bonaparte kuvamia Vatican na kumteka Papa.
Wakatoliki ni chanzo ya maovu dunia mzima! P....u..mbavu.....zao
Kama hutojali ungependa kutumegea kidogo kisa cha John Paul kupigwa risasi?Napoleon Bonaparte ameteka mapapa watatu wa Kanisa Katoliki mnamo Karne ya 18 na 19. Uprotestanti (The Reformation) umezaliwa mnamo karne ya 16 miaka 200 kabla ya Napoleon Bonaparte kuvamia Vatican na kumteka Papa.
Unafiki na pumba za nyerere
Kuna uwezekano mkubwa sana hizi dini kuchangia umaskini.
HapanaImani uliyonayo sasa imekupa Utajiri?
Hebu tuwe fair jamani, hata miezi miwili haijapita tangu Baraza la Maaskofu Katoliki kupitia kwa Katibu Mkuu wake lilitoa waraka kuhusu kusisitiza waumini wake kutumia njia za kisayansi katika kukabiliana na Covd-19 jambo ambalo lilikuwa tofauti na msimamo wa JPM hadi kupelekea marehemu kutoa maneno makali alipokaribishwa kutoa salamu kanisani St. Peter's. Sasa iweje useme RC ilikuwa kimya? Huu uzi umekaa kiuchonganishi, na hata mleta uzi sio Mkatoliki ila amepretend tu ili kuamsha hisiaSasa , je kwenye utawala wa Magufuli kanisa Katoliki lilitoa nyaraka ngapi??? je kila penye uovu lilikemea?? Jibu ni hapana, huyu alikuwa ni wao, wanafahamiana, wamemlea wao
Hapana mkuu.
Nimedhihaki imani ya nani?Sasa Shobo zako zote hizi za Kudhihaki Imani za Wengine umezitoa wapi?
Tutamuombea huenda upumbavu ukapungua kichwaniUkiambiwa hapa una ujinga flan wa kurithi usioweza kukutoka unakuja juu.. ILA huo ndo uhalisia..
Nimedhihaki imani ya nani?
Kuna uwezekano mkubwa sana hizi dini kuchangia umaskini.Irejee upya ile Comment yako utaelewa.
Ndio maana unapigwa ban kila siku una mdomo mchafu , huna simile hata chembeTangia lini Pumbavu akawa na Ushahidi?