Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

Well said,lakini
Hapo kwenye deep state weka deep ccm ,ndiooo ,
 
Kweli utajiri upo sana nchini ila hatujui namna ya kutumia fursa
Kauli za kusema Walituchelewesha zilikuwa ni siasa tu
Sauti ilikuwa moja

Matunda na Mazao mengi yamejaa na kauli tulizisikia sana kuwa tutawauzia majirani chakula wakiwa na njaa
Ila sijawahi kusikia vibali vitoke sana ili watu wapeleke bidhaa zetu Ulaya na Middle East kwenye hela huko ili tupate za kigeni

Tunahitaji hela za nje kujenga nchi na sio kukusanya kodi za ndani tu

La mwisho Dual citizenship inahitaji sana kwa wazawa waliopo nje
Hili limeingelewa sana ila waameweka pamba na hakuna sababu za msingi zaidi ya kutokuangalia faida zake
 
Na sasa wakawa wanaitwa wanyonge, wakaambiwa wapnge vitu mpaka njia za miguu
Ili wavuruge utaratibu mzima wa mipango miji na kufanya kadhia kwa wapita njia huku wakihatarisha maisha yao... aaah na tuwaache tu.
 
Qq

Mkuu umeongea yote
 
THE END JUSTIFY THE MEANS
Mpendwa,
Watu wote wa shetani yaan; wauaji, wachawi/washirikina, majambazi, madhalimu/wakandamizaji na wote wenye hila, ndio hujitahidi kuhalalisha matendo yao maovu HIVYO. ETI ili mradi kapata alichokitaka, njia yoyote aliyoitumia inapata uhalali.
Lakini kichekesho kikubwa, huyo Mwendakuzimu alikuwa na ulinzi mkubwa haijawahi kutokea katika historia ya maraisi wa nchi hii. Aliwazidi hata Mobutu na Moi, kwa kuyaogopa yaleyale anayofanya na aliyohalalisha kwa binadamu watz wenzake.
Kwa kweli HII miaka mitano na nusu aliyokaa madarakani yafaa kukumbukwa kama kipindi cha giza kama ambavyo ulimwengu unavyokumbukwa kwa masikitiko, vita kuu ya kwanza na pili.
BAYA zaidi ni kuwa, shetani alifanikiwa kuwateka baadhi ya watz wakawa wanashangilia na kumsifu badala ya kuungana kukemea madhambi hayo makubwa mbele za Mungu. Hebu epuka kuwa mmoja wao. AMEN
 
Maelezo yako ni marefu japokuwa yanamezwa na jambo moja tu! UMEJAWA NA HISIA ZAIDI KULIKO UHALISIA.

Anza kutizama kwa jicho la tatu na tupilia mbali hisia.
 
Maelezo yako ni marefu japokuwa yanamezwa na jambo moja tu! UMEJAWA NA HISIA ZAIDI KULIKO UHALISIA.

Anza kutizama kwa jicho la tatu na tupilia mbali hisia.
Pole sana ndugu,
MIMI sina shaka KABISA na niliyoyaandika.
HUO ndio mtazamo kamili wa watu wasio na wema/utimilifu mioyoni mwao, labda kama huna uelewa wa ulichokuwa umeandika.
AMEN
 
Maelezo yako ni marefu japokuwa yanamezwa na jambo moja tu! UMEJAWA NA HISIA ZAIDI KULIKO UHALISIA.

Anza kutizama kwa jicho la tatu na tupilia mbali hisia.
Pole sana ndugu,
MIMI sina shaka KABISA na niliyoyaandika.
HUO ndio mtazamo kamili wa watu wasio na wema/utimilifu mioyoni mwao, labda kama huna uelewa wa ulichokuwa umeandika.
AMEN
 


πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Naunga mkono hoja inabidi tuanze kuwekeza kwenye early child cognitive brain development, vingenevyo maendeleo endelevu tusau
 
Nimemwelewa ndugu Heriel ameelezea vuzuri ili nchi iendelee ni lazima nchi iwekeze kwa watu maana yake ni kuwa na utawala wa sheria na haki za kibinadamu, demokrasia/kuwarudishia wananchi nguvu ya kuchagua viongozi wanaowataka na kuwawajibisha (Katiba mpya itahusika). La maana kuliko vyote ni kujenga institutions zenye nguvu na kuziachiwa nguvu za kijiamulia bila kuingiliwa mradi wafuate sheria, Mkapa ndie Rais bora kuliko wote baada ya Nyerere alieunda institutions nyingi zenye nguvu na kuvurugwa na viongozi waliomfuata mfano NSSF, PSSF, Bima za afya, na mambo mengi kama agencies nyingi za serikali nk. zillingiliwa na kufilisiwa na serikali zilizofuata baada ya Mkapa ndio matokeo ya sasa. Unakuwa na utawala unapita huoni walichokifanya ila walichokiharibu, kuingilia mahakama, Bunge na Serikali ya kibabe na kutesa watu.
 


Serikali utafute namna ya kuondoa uvyama Vyama. Naona Vijana na hata Wazee wengi wameathiriwa na UCCM na UCHADEMA
 
Kabla ya daraja la sasa hivi, kuna ndugu yangu mmoja aliwahi kupoteza mtoto katika foleni ya ubungo wakati akiwa anampeleka hospitali.

Jamaa ana pesa nzuri tu (maendeleo ya watu) lakini miundombinu mibovu (maendeleo ya vitu) ilifanya apoteze mtoto.
Mkuu inaonyesha hujamuelewa vizuri mtoa mada. Ujue maendeleo ya watu ndiyo maendeleo ya vitu na kamwe maendeleo ya vitu hayawezi kuwa maendeleo ya watu
Kila unachokiona duniani kilianzia kwenye akili ya mtu.
Kwa hiyo lazima tujenge akili kabla ya barabara nk. Ili mtu asilalamike ajira hakuna... Au mvua inaisha tu wamama wanabeba ndoo kutafuta maji.
Ndio tunaweza kumpelekea maji ya bomba, lakini kuna zaidi ya hilo bomba nk nk.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Tusijifananishe Marekani, wao walipotoka sisi ndio tunaanza,
Ukiisoma historia ya Marekani kipindi hicho cha miaka ya 1700 utaona Magufuli ni cha mtoto,
Wenzako walifafanya mpaka biashara ya kuuza watu,

Kama ni miundombinu walishamaliza kujenga, huwezi kwenda Marekani leo ukakuta wanaangaika sijui kujenga reli au mashule, yote walishamaliza,.

Hizo reli na vituo vyako vina miaka sio chini ya Mia,

Sisi ndio kipindi cha Magufuli tuliona mambo muhimu ya kitaifa yanaanza kufanyika,

Marekani sasa hivi ndio wanakula kuku kwa Mrija.

Maana yangu ni nini,
Ubabe lazima utumike kama wenyewe wamarekani walivyokuwa wababe.

Tukicheza cheza na kuchekeana maendeleo utakuwa kila siku unasilizia kwa wenzako
 
Kwwnye #3 umekuga penye,hii nchi kuwa na passport ni jambo LA kuringishia kabisa huku wenye akili timamu wameruhusu RAIA wao waende duniani ili walete $$ Kwa familia zao huku indirect nchi ikifaidika pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…