Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

Tz hatuna utajiri bali tuna rasilimali za asili nyingi. KUWA na rasilimali si kwamba wewe ni tajiri. (Ufafanuzi)
 
Hata mimi nilimwambisa sana akashupaza shingo.
 
Ukijiona una kichefuchefu usipapatike,

Huo Ni ujauzito aliokuachia mwendazake
 
Ukifanya maendeleo ya vitu utarahisisha maendeleo ya watu.

Kwa nchi kama Tanzania ilifaa sana kuongozwa kibabe maana tulifikia pabaya sana.


Kwa sisi tuliokuwa kutwa tunahangaika na ofisi za umma tuliweza kuona tofauti kabla yake, wakati wake na baada yake
 
Alikuwa mgonjwa sana watu walikuwa hawajui tu!! Ndio maana alikuwa anazungumzia kifo sana.
Alikuwa mgonjwa kuliko Lowassa aliyegombea urais 2015 na bado yupo hai leo?
 
Kwa Tanzania katiba sio tatizo,tatizo kubwa na watu bado ni wajinga pamoja na hii katuba mbovu mengi yamefanyika pasipo kuifata but sote tunaona ni sawa tumelala usingizi wa pono.
Mimi nashangaa naposikia kwamba wananchi wanataka katiba mpya hali ya kuwa katiba ya sasa iliyopo hawana uelewa nayo.
 
Shida wabongo tunapenda sana story za kusimuliwa mara ooh ukioa unapewa nyumba,kila mwisho wa mwezi unalipwa nk
Sasa bila kusimuliana ingebidi wote twende huko Libya, maana hata huyo uliwe quote nae anatusimulia hapo.
 
Kitakacho kera zaidi kwa utawala huu ni kuendeleza chaguzi za kibabe, kutekana, watu kuumizwa, kufa na hakuna hatua zinazochukuliwa.
Toka kwa Ulimboka huko hadi leo, haya mambo kutesana yapo tu siku zote.
 
Nawaza nao wazungu wangesema msipelekee misaada wale nyani wa africa maana wao ni mabeberu jpm aliwaita na wao wangemuita nyani daaa
Nadhani wazungu wana roho nzuri sana hutoa tu misaada ili wapate malipo kwa Mungu.
 
Kuchat ni matokeo ya teknolojia.
 
Kabla ya daraja la sasa hivi, kuna ndugu yangu mmoja aliwahi kupoteza mtoto katika foleni ya ubungo wakati akiwa anampeleka hospitali.

Jamaa ana pesa nzuri tu (maendeleo ya watu) lakini miundombinu mibovu (maendeleo ya vitu) ilifanya apoteze mtoto.
Kwa kuwa hakukuwa na maendeleo ya vitu, mtu akapoteza uhai! Bila maendeleo ya vitu hakuna mtu!
 


Upo sahihi.

Ila maendeleo ya kweli hujengwa akilini mwa mtu.
 

Maendeleo ni watu.
Kisha vinafuata Vitu.
 
Alete katiba mpya hayo mengine atuachie wenye akili zaidi tuyatekeleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…