Vyama vya siasa tz ni takataka kubwa sana kiongozi yoyote MZALENDO ni lazima naye atavifuta kwanza ....siasani kuna wapumbavu wengi sana ...mfumo mzima lazima ufumuliweKama ni hivyo mbona alivifungia vyama vya siasa visifanye siasa, au na vyenyewe vilikuwa sehemu ya ubadhilifu wa mali za umma? Hebu tuache upuuzi.
Kikwete mtu wa kushangaza sana, amekuwa waziri wa nje kwa miaka 10 akawa Rais kwa 10 mingine bado hajaleta somo lolote kwa Tanzania. Yaani mambo aliyojifunza akiwa waziri wa mambo ya nje ameshindwa kuyatekeleza akiwa Rais. Halafu kwa sasa anajifanya mshauri wa Samia, sijui anamshauri nini wakati yeye ameshindwa akiwa Rais!? Alitakiwa akae mbali sana na Ikulu kwa sababu uzoefu wake wa siasa za nje haujaisaidia Tanzania kabisa.Mafwele na Muliro unawaonea tu, hao ni mbwa tu wanaotumwa kung'ata na hata wakiondolewa watatumwa wengine. Wahusika wakuu wa uuaji nchini Tanzania ni Samia na Kikwete.
Kikwete ni fisadi kuu kwa sasa, hapo anachojali ni maslahi yatokanayo na ufisadi na ku-corrupt mfumo ili kumtengenezea njia Ridhiwani ya kuja kuongoza nchi.Kikwete mtu wa kushangaza sana, amekuwa waziri wa nje kwa miaka 10 akawa Rais kwa 10 mingine bado hajaleta somo lolote kwa Tanzania. Yaani mambo aliyojifunza akiwa waziri wa mambo ya nje ameshindwa kuyatekeleza akiwa Rais. Halafu kwa sasa anajifanya mshauri wa Samia, sijui anamshauri nini wakati yeye ameshindwa akiwa Rais!? Alitakiwa akae mbali sana na Ikulu kwa sababu uzoefu wake wa siasa za nje haujaisaidia Tanzania kabisa.
Mbona hii code ngumuAjifiche wapi juzi hapa katoka kumkurupua muhuni mwenzie aliedhurumu mtu hela ndefu.
Hela imerudishwa.
Ni vile yanatumikaga kwa ubaya kisiasa.
Karibu tuwashughulikie wahuni!Bado nitakuwa nyuma yako pia
Alikosea sana kurudi tz angeomba hata ukimbizi nchi yoyote!Wanamtandao wamemuua
Jamaa yupo mana Watu wa kazi ngumu za kiserikali walimuunganisha Mke yule wa kamishna flani mstaafu na jamaa akafanya yake Direct na mpunga ukarejeshwa.Mbona hii code ngumu
Ndugai ameugua kwa muda mrefu tu.... anyway Rip Ndugai.Bahati mbaya sana hajaona kuwa Magufuli kwa kiasi kikubwa ni mwasisi wa kinachoendelea leo. Kipindi cha Magufuli mimi nilikuwa nasema kila siku adui wa Magufuli ni CCM wenzake na siyo CHADEMA, ila wengi akiwemo Magufuli walilewa madaraka na hakuliona hili. NB: Ndugai aliuawa....
Na waliomuua Ben Sa8 wasemaje wewe mjane wa lile shetani lenu la Chato?Karma haina mwisho hata waliomuuwa Polepole karma inawasubiri
Mjane wa Marehemu shetani la Chato hukuwahi hata kuona ubaya wa shetani lenuMimba ya chato inakutesa