Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Hii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo. Hakuna cha roho wala majini. Ni psychology game.
 
Hii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo.
Movies za wenzetu zina maana. Hawafanyi tu. Mfano movie ya Tarot inahusu mchezo wa karata zenye nguvu ya utabiri. Issue inayozungumziwa mle ni real. Na ni mbaya ukikosea masharti
 
Hii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo. Hakuna cha roho wala majini. Ni psychology game.
Hiyo uliyo angalia ni movie, ingia YouTube uone video halisi za matumizi ya OUJiA
 
Aah sawa ila sasa yeye mtu wa mitungi hilo ndio tatizo.
Na wale mitungi hawapendi😂😂😂😂
Kumbe ni mtu wa mitungi? Sasa hilo ni tatizo!

Ila kama ana nia ya kuwaona mshauri aache mitungi kwa siku kadhaa ili aone trailer tu. 😁😁😁😁

Mwisho wa siku atachagua mwenyewe kusuka au kunyoa.
 
Mkuu, ni namna gani naweza kujiunga na hicho Chama chenu na je ni mambo yapi sintapaswa kuyafanya pindi nitakapokuwa mwanachama wenu, naomba kufahamu kama hutajali
Je unahitaji kujiunga na chama gani mkuu, lazima uwe na elimu Pana kuhusu hili. Kwa maana vyama vipo vingi.

hayo mengine utayajua ukiwa ndani ya chama utapewa utaratibu na kanuni na aina ya maisha unayo stahili kuishi,
 
Hicho chama hadi uingie ni lazima kuuza nafsi yako kwa mkuu wa giza?
 
😂😂😂😂😂 Mbona nimeanza kumfanyia mambo mkuu Hammaz !?
We muulize,na leo usiku namtupia nondo mkuu mzee wa Hallelujah!
We hujui kiarabu sasa😂😂😂😂😂.
Kama unajua sema nikurushie.
Tumekubaliana majini hayachagui lugha 😹😹😹
Hukuona mleta mada katumia kinge kuwakwepa vibwengo vya kiswahili??
 
Nasikia kuna chama kingine huko ebwanaa duh!! Nipeni info kichele utajiri mtamu kudadadekii, umasikini mbaya sana ni laana tabu tupu mpaka nzi wanafanya mapenzi kichwani kwako wtf.

Hallelujah!!!
 
Nasikia kuna chama kingine huko ebwanaa duh!! Nipeni info kichele utajiri mtamu kudadadekii, umasikini mbaya sana ni laana tabu tupu mpaka nzi wanafanya mapenzi kichwani kwako wtf.

Hallelujah!!!
Hakuna chama ambacho kinatoa utajiri, labda kwa waganga wa Ndagu na ulozi mwingine
 
Back
Top Bottom