Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Hii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo. Hakuna cha roho wala majini. Ni psychology game.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movies za wenzetu zina maana. Hawafanyi tu. Mfano movie ya Tarot inahusu mchezo wa karata zenye nguvu ya utabiri. Issue inayozungumziwa mle ni real. Na ni mbaya ukikosea mashartiHii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo.
Hiyo uliyo angalia ni movie, ingia YouTube uone video halisi za matumizi ya OUJiAHii mbona ni kama ile movie ya Talk to Me. Hizo huwa ni game tu za watoto na hizo/huo ubao huwa designed specifically kufanya hivyo. Hakuna cha roho wala majini. Ni psychology game.
Sahihi kabisa mkuu, haya mambo yapoStory yako iko real kabisa. The universe is real. Kwa ambao wameangalia movie za Insidious, Veronica na Talk To Me haya mambo yapo.
Mbadilishie mwandikie kwa Kiswahili atayatamka hivyo hivyo tu! 😀😀😀Kama anataka siku anialike kwake nimuitie😂😂😂😂😂😂.
Ila yeye kusoma kiarabu hajui sasa.
Aah sawa ila sasa yeye mtu wa mitungi hilo ndio tatizo.Mbadilishie mwandikie kwa Kiswahili atayatamka hivyo hivyo tu! 😀😀😀
Kumbe ni mtu wa mitungi? Sasa hilo ni tatizo!Aah sawa ila sasa yeye mtu wa mitungi hilo ndio tatizo.
Na wale mitungi hawapendi😂😂😂😂
Ila anaweza kuitiwa akamuona.Kumbe ni mtu wa mitungi? Sasa hilo ni tatizo!
Ila kama ana nia ya kuwaona mshauri aache mitungi kwa siku kadhaa ili aone trailer tu. 😁😁😁😁
Mwisho wa siku atachagua mwenyewe kusuka au kunyoa.
Je unahitaji kujiunga na chama gani mkuu, lazima uwe na elimu Pana kuhusu hili. Kwa maana vyama vipo vingi.Mkuu, ni namna gani naweza kujiunga na hicho Chama chenu na je ni mambo yapi sintapaswa kuyafanya pindi nitakapokuwa mwanachama wenu, naomba kufahamu kama hutajali
Hicho chama hadi uingie ni lazima kuuza nafsi yako kwa mkuu wa giza?Je unahitaji kujiunga na chama gani mkuu, lazima uwe na elimu Pana kuhusu hili. Kwa maana vyama vipo vingi.
hayo mengine utayajua ukiwa ndani ya chama utapewa utaratibu na kanuni na aina ya maisha unayo stahili kuishi,
Hapana sio lazima kuuza nafsi yako, watanzania wengi huishi kwa mtazamo hasi na kukaririshwa.Hicho chama hadi uingie ni lazima kuuza nafsi yako kwa mkuu wa giza?
😂😂😂😂😂 Mbona nimeanza kumfanyia mambo mkuu Hammaz !?Huyo muongo muongo toka amesema hamna lolote 😹😹😹
Mzee wa Hallelujah kuanzia kesho atakupa majibu.😂😂😂😂😂 Mbona nimeanza kumfanyia mambo mkuu Hammaz !?
We muulize,na leo usiku namtupia nondo mkuu mzee wa Hallelujah!
We hujui kiarabu sasa😂😂😂😂😂.
Kama unajua sema nikurushie.
Tumekubaliana majini hayachagui lugha 😹😹😹😂😂😂😂😂 Mbona nimeanza kumfanyia mambo mkuu Hammaz !?
We muulize,na leo usiku namtupia nondo mkuu mzee wa Hallelujah!
We hujui kiarabu sasa😂😂😂😂😂.
Kama unajua sema nikurushie.
Hakuna chama ambacho kinatoa utajiri, labda kwa waganga wa Ndagu na ulozi mwingineNasikia kuna chama kingine huko ebwanaa duh!! Nipeni info kichele utajiri mtamu kudadadekii, umasikini mbaya sana ni laana tabu tupu mpaka nzi wanafanya mapenzi kichwani kwako wtf.
Hallelujah!!!
Ubao unauzwa AmazonKuna mtu atapigwa hapa kwa gia ya kununua unao wa OUJIA 😂