Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #101
Kuna kosamtoto kwanza umelamba kidole sio poa kbsa
no,inasadifu tu we ni mdada wa aina gani.Kuna kosa
πππππ chizii wee, nacheka km mwehu hapaMahi nimeleta serum kutoka Korea pambe sanaa..!! Wahi kabla wenzio wa Buza hawajaushambulia mzigo..!! πΉπΉπΉ
πππππ Waja mna nn lakinii? Khaaahmtoto kwanza umelamba kidole sio poa kbsa
Ukisikia kimasihara..ndo hiiiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sasa Kwanini Unahofu Na Wanaokuzodoa Na Mizodoo Yao, Kipenzi...??
Mkuu wacha stereotypes....Huyu kama sio wa Buguruni kwa Mnyamani au Tandale kwa mfuga mbwa basi ni Wa Buza kwa Bibi Nyau.
Full stop
Wahini wateja mzigo kabla haujaisha..!! πΉπΉπΉπππππ chizii wee, nacheka km mwehu hapa
Uduguu hurumia mbavu zangu, khaaah
πΉπΉπΉKumbe nawe umeona hii
Sema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!View attachment 3343661
Kwanini Umebadilisha Ile Picha Ya Buchani??
NitarudiπππΏSema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!
Mtoto udongo wa Dubai mweupe peeh.. usiku haina haja ya kuwasha taa.. πΉπΉ
Subiri wanakuja, ntawasindikiza udugu upate okoto.Wahini wateja mzigo kabla haujaisha..!! πΉπΉπΉ
πππππ khaaaahSema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!
Mtoto udongo wa Dubai mweupe peeh.. usiku haina haja ya kuwasha taa.. πΉπΉ
π€£π€£π€£Wewe na yuniki flawa utofauti ni majina tu, ila uelekeo wa dish ni ule ule...
Wakuu punguzeni usumbufu pm kwa mrembo πΉπΉNitarudiπππΏ