Karibu tulale tumalizie usingiziπππShikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwaπππ mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnoooβ€οΈβ€οΈβ€οΈ
Karibu tulale tumalizie usingizi
Washtue mpk wa vingunguti, serum zangu nzuri sana rangi moja mwili mzima..!! πΉπΉπΉSubiri wanakuja, ntawasindikiza udugu upate okoto.
πππππ
Sure..!!Mamii...Unaona Hata Profaili Picha Toto Linavyojua Uma Dole....Sema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!
Mtoto udongo wa Dubai mweupe peeh.. usiku haina haja ya kuwasha taa.. πΉπΉ
Sina hiyo tabia, mimi huja wenyeweππΏπWakuu punguzeni usumbufu pm kwa mrembo πΉπΉ
Huyu anatabia za facebook ndio maana amekuja kusoma hadithi ,vichekesho na simulizi tuMchukue demu wako wa Facebook mnatuchosha..!! πΉπΉ
Nimesoma mara 3πKaribu tulale tumalizie usingiziπππ
Unaanza kukataa utanyimwa namba na mrembo πΉSina hiyo tabia, mimi huja wenyeweππΏπ
πΉπΉπΉHuyu anatabia za facebook ndio maana amekuja kusoma hadithi ,vichekesho na simulizi tu
πbora ninyimwe tuUnaanza kukataa utanyimwa namba na mrembo πΉ
na bado atachanganyikiwa maan humu kuna watu wamevurugwa totally ,sasa acha wampumzikieπΉπΉπΉ
Bullies.....Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Wahi fursa hiyo Mkuu πππUnawaza kutoka na mtu tu humu
Sema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!
Mtoto udongo wa Dubai mweupe peeh.. usiku haina haja ya kuwasha taa.. πΉπΉ
πππUzi ukishachangiwa na Lamomy lazima utembee
Ona sasa tupo page ya ngapi