Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Balaa sana kama movie vile hilo tukio lingetokea katika nchi zilizoendelea na likaripotiwa katika mamlaka wangekuja na repoti inayoeleweka ya hao Marehemu.

Inanikumbusha Series ya Hawaii Five O.
 
Daaah hiyo changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…