dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
jamaa kanifurahisha kweli kweli aiseeElectrical... Unacheka tuu acheni kuwapa watu kazi za ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa kanifurahisha kweli kweli aiseeElectrical... Unacheka tuu acheni kuwapa watu kazi za ajabu
Balaa sana kama movie vile hilo tukio lingetokea katika nchi zilizoendelea na likaripotiwa katika mamlaka wangekuja na repoti inayoeleweka ya hao Marehemu.Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Tuliambiwa kabla ya ujenzi tuzike mbuzi mzima mzima... Ilikua kawaida ila hatua ya pili baada ya finishing walileta mambo ya kutishia amani nikaacha ela tuuWahindi wamefanyaje?!
Mambo gani hayo tupeane uzoefu..kwa faida ya WENGITuliambiwa kabla ya ujenzi tuzike mbuzi mzima mzima... Ilikua kawaida ila hatua ya pili baada ya finishing walileta mambo ya kutishia amani nikaacha ela tuu
Fundi umeme..... Muache fundi umeme ila tuwe pamoja mafundi kwenye shida kama hizi leo kaona kaburi kesho akiona jeneza sijui itakuajejamaa kanifurahisha kweli kweli aisee
noma sana mzeeFundi umeme..... Muache fundi umeme ila tuwe pamoja mafundi kwenye shida kama hizi leo kaona kaburi kesho akiona jeneza sijui itakuaje
Daaah hiyo changamotoMafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Ndo hvo mkuu unapofanya kazi na watu unakutana na mikataba ya ajabu hivo sio kila kitu cha kuweka wazi.Mambo gani hayo tupeane uzoefu..kwa faida ya WENGI
kwa hofu niliokua nayo hata picha sjapiga...Picha iko wapi sasa?
Eeeeh mkuu ndo hvo life inaendaDaaah hiyo changamoto
Acha uchoyo, weka hapa pichaNinayo mimi,njoo PM
Ndo hiko ambacho watu wana feli aiseeeShauri yako usirudie Tena kusema unavyokuta kwanyumba zawatu .....fanya kilichokuleta
mkuu sijakosea ni kaburi..Kaburi ama jeneza