Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅Kaburi wewe acha kukaza komwe iloo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅Kaburi wewe acha kukaza komwe iloo
mkuu kuna vitu uwezi elewa hadi uvione kwa macho ujueNdiyo maana nimemuuliza mleta mada darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi
Huyu ni litutumbwe😅😅Nyuzi kama hiz tulizimisi sana mkuu ngoja nifate kiti
Ama kwa hakika hapa mleta mada ameniacha na maswali ya kutoshamkuu kuna vitu uwezi elewa hadi uvione kwa macho ujue
ha ha ha sio bundi wa godegode mkuu..Mkuu samahani umesema kaburi au kabundi? (Bundi mwenye afya mgogoro?)
Hpana mkuu kaona kaburi ...Ama kwa hakika hapa mleta mada ameniacha na maswali ya kutosha
We nae hivi una D mbili kweli wewe umeambiwa kaburi na unashindwa kuelewa khaaaa!!Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅
Mimi nimeelewa kaburi kwamaana kaona kama vile wakristo wanajengea wanavyosakafia na kuweka msalaba juu au waislam wanavyojenga kuwela alama na mashahid pande 2 kama pamezikwa mtu..Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅
Ewaa!!hapo sasa naona unaanza kuelekeaHpana mkuu kaona kaburi ...
Sema wewe unataka kutuachia maswali kuwa kaburi linakaaje juu sio
Anhaa ok.....😅😅😅We nae hivi una D mbili kweli wewe umeambiwa kaburi na unashindwa kuelewa khaaaa!!
Muulize yeye alitakaje ili tuliweke hilo kaburiWe nae hivi una D mbili kweli wewe umeambiwa kaburi na unashindwa kuelewa khaaaa!!
na ushukuru hukupiga kelele ilikuwa imeisha hiyoya leo nimeshindwa kuvumilia ndiomaana sjataja eneo.
Kaburi sio mpaka lichimbe hata like la Lazaro ilikua ni kusogeza jiwe tuNdiyo maana nimemuuliza mleta mada darini kuna ardhi ya kuchimba kaburi
So mtoa mda ni mtoto au hana akili ashindwe kujua hili ni kaburi au laaEwaa!!hapo sasa naona unaanza kuelekea