Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Taken it easy fanya just hutadhurika
 
Huyu hajaonankaburi kama asemavyo..Bali kaona jeneza.kasema ni box la pembe nne kubwa na limesimkwa msalaba..na nyumba ni very old means ni zile zina miaka 30-40.nahisi kizazi kimepokezana kurithi ila wa awali ndio wanajua hiko kilichopo huko juu, wamefanya siri.ila kizazi kadri kinavyoendelea hawajui Kuna Nini huko juu labda au ni wapangaji ndo wamelera fundi.

Ila waafrica sisi😔
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
We Jama acha uongo...kaburi kwenye Cealing?
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
kaburi na mchanga au?
 
Back
Top Bottom