tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Sasa ulikuwa unakataa nini kwamba hamkuiba kura? Kumbe nchi ilikuwa inaenda kwa 'wahuni' mwaka huu ndio maana mkaamua kuiba kura? Sasa nimekuelewa mkuu👏🤝. Unadhani huo wizi wenu utaleta manufaa kwa taifa zaidi ya kuchochea chuki na hatimaye kuiingiza nchi kwenye mauaji ya kimbari? Kumbuka hata Rwanda ilianza taratibu kama hivi na hatimaye ikaingia kwenye matatizo makubwa ya kihistoria.Nchi haiwezi kukabidhiwa kwa wahuni, Kama wameiba ni kwa manufaa ya taifa...hongera ziifikie serikali ya awamu ya tano.