- Thread starter
- #161
Mazingira yalinilazimu nikubali, kulikuwa na askari na nijaribu kuhoji nikaambiwa "" wewe Mwalimu wewe .........Kwanini ulikubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingira yalinilazimu nikubali, kulikuwa na askari na nijaribu kuhoji nikaambiwa "" wewe Mwalimu wewe .........Kwanini ulikubali?
Acha uboya wewe nani amekutisha? Nani amekulazimisha uamimi maoni yangu? Baki na maoni yako na mimi nibaki na yangu tusilazimishane. Kilichofanyika kipo wazi kwako na si kwangu na si lazima niamini kama wewe ulikuwa msimamizi namba 2 ukute umejipachika tu cheo. Kwenda zako huko. Ndo hivyo mmepigwa chini...hutaki JAMBA.
Wapi nimelazimisha we kuku?? Nionyeshe nilipokulazimishaKwani nani kawazuia kuendelea na umaiti wenu? lakini usitake kulazimisha watu kwamba hamjaiba kura......manyente wakubwa!
Sitoki.Shetani kakulia kichwani. Unaona wizi wa kura ni kutu cha kawaida sana. Wewe ni malaika wake. Shetani toka! Shetani toka! Shetani tokaaaa....
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Haki ya mtu haiwezi kupotea bure
Mazingira yalinilazimu nikubali, kulikuwa na askari na nijaribu kuhoji nikaambiwa "" wewe Mwalimu wewe .........
Ushindi wa KISHINDO au ushindi wa KISHIMBE?Nakuunga mkono ilikuwa ni balaa kuna sehemu Magufuli alishinda ndio kwa mfano amepata kula 100 hapo inaongezwa sifuri afisa elimu msaidizi wilaya ya Kaliua unajua ulichokifanya Mungu anawaona kwa kweli
Hilo bichwa limejaa vima na masimaka tuNi tabia ya walioshindwa kujenga conspiracy theories; hata Trump ameshindwa uchaguzi wakati akiwa rais, naye anatoa theories kama hizi. Ni jambo la kawaida sana kwa walioshindwa kudai wameibiwa kura. Kama uliyaona kwa nini usipeleke uashahidi mahakamani? Angalu Trump amekuwa anakwenda mahakani ambako anakutana na vigingi, tena wakati mwingine kutoka kwa majaji aliowateua yeye mwenyewe.
Sitoki.
Uchaguzi wa mwaka huu CCM mmeiba sana kama mazuzu. Kataa hii.Wapi nimelazimisha we kuku?? Nionyeshe nilipokulazimisha
Haya bwana, Mungu yupoHuna lolote ni machungu ya kushindwa uchaguzi, tuliwaambia kwamba huyo mgombea wenu ni raisi wa kwenye mitandao na siyo Wa Tanzania
la kwako lina lina mara mbili ya hapo!Hilo bichwa limejaa vima na masimaka tu
Nitaenda lakini ndo hivyo huwezi badili matokeo gubu limekujaa unataka kupasuka na huna ubavu wa kubadili lolote. Inauma sana nakuelewa!Jitayarishe kwenda kuzimu na Shetani wako.
majina hayanisumbui kabisa; kama yanakusumbua wewe chagua jina zuri. Kichuguu lenyewe siyo jina zuri lakini nimedumu nalio miaka 14 sasa hapa JF, kwa hiyo ukiniita Mpumbavu bado nitaishi nalo tu, kwani jina siyo reflection ya intellect ya mtu.Ukiitwa mpumbavu au msukule utasema umetukanwa!!?
Matokeo ya Urais yanahojiwa mahakama gani huko Tanzania!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi haiwezi kukabidhiwa kwa wahuni, Kama wameiba ni kwa manufaa ya taifa...hongera ziifikie serikali ya awamu ya tano.Uchaguzi wa mwaka huu CCM mmeiba sana kama mazuzu. Kataa hii.
Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.
Kwa wizi wa kura!"Uchaguzi umeishaa!"
Uchaguzi umeishaa!"
Uchaguzi umeishaa! "
Hakika CCM na wote walioshiriki katika ushennx huu lazima watalipia!Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.