Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Rais fake, Mwenye Hati ya U-Rais fake! Rais hewa, hakustahili kuwa hapo alipo na anajua moyoni kinachoendelea nchini kuwa hapendeki, pamoja na ndege zake. alishika watu wenye vyeti feki wakati na yeye ni fake vilevile!!

Dhambi ileile ina mtafuna mara dufu, angekuwa mpole tu wagawane gawane hayo Madaraka mambo yaishe, atazuzuliwa sana na wajao! kuliko alivowashushua watangulizi wake,,, kwake yeye itakuwa maradufu ndiyo sheria ya Historia.

Wanafiki hawaishagi Duniani mwenzenu anaugulia Udikteta na utapeli alioufanya nyie mna shangilia akienda ICC, mtaufyata km alivo fanyiwa Al Bashir! hutapanua domo kumtetea km .
 
Mnajali sana ajira/vibarua vyenu ndio maana mnawazodoa wapinzani.

Vyovyote usemavyo,haitabadirisha ukweli kwamba upinzani tz ni biashara za watu.

Wewe unatoka povu hapa mpaka unajikuta unamchukia mimi mganga njaa mwenzako,lakini mbowe anafikiria hawezi kukosa ruzuku,kisa wajinga wa jamii forums wanamshauri asipeleke wabunge viti maalumu.
 
vyovyote usemavyo,haitabadirisha ukweli kwamba upinzani tz ni biashara za watu.

wewe unatoka povu hapa mpaka unajikuta unamchukia mimi mganga njaa mwenzako,lakini mbowe anafikiria hawezi kukosa ruzuku,kisa wajinga wa jamii forums wanamshauri asipeleke wabunge viti maalumu.
Ukisema 'upinzani Tz ni biashara' unakosea.

Andika hivi 'Siasa Tz ni biashara' maana hata wanasiasa wa hicho chama chako nao pia wanafaidika.

Wanaoweza kumshauri Mbowe kuhusu kupeleka wabunge ni kamati kuu ya chama chake na sio hao ''wajinga wa jf" unaowafahamu wewe.
 
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.

Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.

Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Ndugu yangu ndio hivyo?
 
Kuna kituo kimoja jamaa waliingia wawili wakiwa na furushi na mguu wa kuku, wote tukanyamazishwa jamaa likasema kama huyapendi maisha yako nyenyua domo duuuh jamaa akatumbukiza furushi akasepa, hawa wapuuzi hawakujipanga kufanya uchaguzi na hawakuwa na connection namna ya kupata ushindi, pamoja na vurugu za hapa na pale na vitisho vya kwenye vituo bado tulitangaziwa matokeo ya mfukoni toka NEC Taifa, hovyo kwelikweli
 
Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?

Huo ushahidi atautoa ampe nani sasa wakati hakuna mwanya wa kuhoji matokeo ya kura za Urais mahakamani?

Najua kuwa sasa unaweza kuwa umeelewa kwanini wizi huu wa kijinga na wa mchana kweupe ulifanyika..

Wanaelewa ikitangazwa tu "ameshinda", hakuna chombo kingine kitakachoruhusiwa huhoji uhalali wa ushindi wake...!!

Sasa wewe unapodai ushahidi au uthibitisho wa vote rigging katika mazingira, hueleweki unakuwa na maana gani na ili iweje...!+
 
Si jamaa yenu alituambia this time mmeandaa organization ya mawakala nchi nzima.
 
Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Unayo mamlaka ya kukusanya ushahidi wakupe kwa ajili ya hatua zaidi? Kama huna basi kuwa msomaji. Siioni faida anayoipata akiongopa bali anafahamisha umma ilivyopatikana 84%.
Nashukuru mifumo yangu ya ufahamu imeridhia kuwa 2019 Tanzania hai kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa na 2020 haukufanyika uchaguzi mkuu wa rais wabunge na madiwani. Hata kwa mtutu sikubari kubadili msimamo
 
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.

Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.

Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Kwanini ulikubali?
 
Mkuu hongera. Ila chunga msidakwe. Mtachunwa Ngozi.
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.

Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.

Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
 
Ukisema 'upinzani Tz ni biashara' unakosea.

Andika hivi 'Siasa Tz ni biashara' maana hata wanasiasa wa hicho chama chako nao pia wanafaidika.

Wanaoweza kumshauri Mbowe kuhusu kupeleka wabunge ni kamati kuu ya chama chake na sio hao ''wajinga wa jf" unaowafahamu wewe.

nasema upinzani sababu wao ndio wamekuwa mstari wa mbele kudai wanaitetea tz.

hao ccm achana nao,tunawajua nje ndani kwamba ni matapeli.
 
Filamu tuliyoiita jina la uchaguzi mkuu imeshaisha.Na muongozaji kashaiingiza sokoni.ngoja tuone mauzo yake yatakuaje.Je itakua na mvuto au itakua filamu yakulazimishana kuipenda na kuitazama.Muda utatupa majibu.
 
Back
Top Bottom