antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Wakoloni, wanaotawala nchi kimabavu.. meaning, bila ridhaa ya wananchi walio wengiWana CCM nao ni wananchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakoloni, wanaotawala nchi kimabavu.. meaning, bila ridhaa ya wananchi walio wengiWana CCM nao ni wananchi!
Ukiitwa mpumbavu au msukule utasema umetukanwa!!?Ni tabia ya walioshindwa kujenga conspiracy theories; hata Trump ameshindwa uchaguzi wakati akiwa rais, naye anatoa theories kama hizi. Ni jambo la kawaida sana kwa walioshindwa kudai wameibiwa kura. Kama uliyaona kwa nini usipeleke uashahidi mahakamani? Angalu Trump amekuwa anakwenda mahakani ambako anakutana na vigingi, tena wakati mwingine kutoka kwa majaji aliowateua yeye mwenyewe.
Swali zuri "Halafu iwe nini?", nadhani ungemuuliza hili swali mleta mada.Halafu iwe nini? Watu wanaeleza walichokiona kwa experience yao, kama unajikuta TISS kafatilie lile begi la kura Boss.
Aisee, kwahiyo unataka athibitishe kwa kukuonyesha video ili uamini?! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Vijana wa zama hizi mnatisha sana
Justice wapi bwana mkubwa, Tanzania?! Justice nchi hii katika masuala ya siasa ni majina tu kama majina mengine, Innocent,Gasper,Rahim e.t.cSwali zuri "Halafu iwe nini?", nadhani ungemuuliza hili swali mleta mada.
Haisaidii tuu kusema niliona haya yakifanyika tena ukiwa JF! Je ni hatua zipi umechukua na kwa wakati gani?
Ukiniuliza mimi, nitaanza na shuhuda halafu ushahidi nikiridhika mchakato wa kupata justice unaanza.
Wewe ulitakaje kwani?
Teh teh umeandika kishankupe sana.Kuandama kudai haki zenu hamuwezi na hakuna lolote mnaloweza zaidi ya kuja kulalamika tu humu mitandaoni.
Kwani umeitwa kuja kusoma humu?Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Justice wapi bwana mkubwa, Tanzania?! Justice nchi hii katika masuala ya siasa ni majina tu kama majina mengine, Innocent,Gasper,Rahim e.t.c
Msaidie basi Tundu Lissu kupata hiyo Justice katika issue ya kupigwa risasi tu, walau hata uchunguzi uanze...
Hapa ni kususia tu mauchaguzi yote, kupeleka lawama kwa jumuiya ya kimataifa, kubadilisha vyama kutoka kuwa vya siasa typical na kuwa vya kimapinduzi, hali iwe ngumu kweli kweli mpaka tuongee lugha moja na MATAGA, meantime unga wa ugali kilo uuze 9000/- hivi.
Hivyo ndio mi nataka, tuwezeshwe...sio mi nakuja na uma, mwenzangu ana " spray silver".
Sawa dada.Teh teh umeandika kishankupe sana.
Usiende kichwa kichwa piga ramli kwanza haya Manyani ya Lumumba hayatabiriki! ndiyo chanzo cha sisi kulinganishwa na hayawani Nyani!!Nipo tayari, ila kiukweli msiniue tu.
Uliapishwa kuwa msimamizi wa uchaguzi. Haiingii akilini mwangu kwamba uliona maovu yanatendeka na wewe unakubali tu maagizo kinyume cha kiapo ulichofanya.Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Hayo mazingira yalikuwa magumu si rahisi kama unavyoongea .Uliapishwa kuwa msimamizi wa uchaguzi. Haiingii akilini mwangu kwamba uliona maovu yanatendeka na wewe unakubali tu maagizo kinyume cha kiapo ulichofanya. Watu kama wewe, kama kweli wapo, ndiyo wanaokwamisha demokrasia nchini. Bora ungekataa kujaza nafasi hiyo kama unajiona huwezi kukataa agizo ambalo linakinzana na ukweli wa mambo.
Kwa kuwa na watanzania wenye mentality kama yako basi Tanzania haitobadilika, tutabaki tu viongozi wakiiba na kuvimba vitambi na sisi wananch wa kawaida maisha yakizi kuwa magumu, lakini hey CCM oyeee!!Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Usishangae sana. Lipumba aliibiwa hadi kura yake, yaani alijipigia kura, lkn kwenye hesabu haikuonekana. The same applied kwa Selemani Bungala (Bwege) kule kilwa. Huu ulikuwa uchafuzi, sio uchaguzi.Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Watanzania wengine ni mazuzu kweli kweli....Uchaguzi umeisha wewe hujasikia? Leo ukitueleza upuuzi wako huu unadhani sisi ni UN? Nenda Mahakamani
Pumbavu wewe Ni Mahakama? Wewe ni credible investigative organ hadi upewe ushahidi?