Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Kituo nilichopigia kura hapa kibaha Lissu alikuwa na 278 Magu 43 matokeo yalobandikwa Lissu 8 magu 377
 
Wizi wa kura ulikuwa katika njia NNE nitazielezea zote, haukuwa uchaguzi ilikuwa ni dhuluma tu.
 
Jinsi wizi wa kura ulivyofanyika.

1.kwa kuingiza karatasi zilizopigwa kura tayari, njia hii ilifanyika sehemu za mijini, kura zilitangulizwa mapema hasubuhi, walioshiriki huu ujinga ni wasimamizi, asikari, na wasimamizi wasaidizi wa ngazi ya kata. Mawakala waliondolewa kwa kigezo kuwa msimamizi anaongea na wasimamizi wa vituo.

2.kwa wasimamizi ngazi za vituo kugeuka kuwa mawakala wa CCM, baada ya kupiga kura vitabu vilivyobaki waliagizwa kupiga kura za CCM na kuingiza ndani ya sanduku, wakala wa upinzani aliletewa zengwe kisha kuondolewa na wizi kufanyika.

3. Kubadili karatasi za matokeo, njia hii ilitumika hasa palipo na mawakala makini , wao walipewa nakala halisi za matokeo kisha matokeo yaliyopelekwa yalikuwa ni tofauti na Yale yalitoka vituoni.

Njia ni nyingi nitaendelea kuzileta hapa jukwaani ili wana jf waelewe dhuluma iliyofanyika.
 
Uzuri ni kwamba digiteta hatoboi 2021 lazima tumlie matanga! Afya yake imekuwa spana mkononi!
 
Ushahidi kuupata ni simple tu wawaulize walimu wote ndo waliokuwa wasimamizi. Hii kada ya ualimu ina laana kabisa
 
Ushahidi kuupata ni simple tu wawaulize walimu wote ndo waliokuwa wasimamizi. Hii kada ya ualimu ina laana kabisa
Hawa wala usiwalaumu, kilichotokea ilikuwa ni agizo kuna baadhi walikataa ila waliibiwa hata wao bila kujua, karatasi za matokeo zilibadilushwa kwa matokeo kutumwa yasio sahihi .
 
Duh
 
Sawa siku nikikuhitaji tafadhali usituangushe.
We tulia, haukufi!!

Na hii ni kwa wale wote wanaodhani wanaweza kuthibitisha, tafadhali muwe tayari.
Usiwape watu matumaini ya uongo, raisi alishatangazwa na kuapishwa, hata mikithibitisha ni kweli aliiba kura hamuwezi kumfanya chochote, matokeo ya uraisi yakishatangazwa hayahojiwi popote kwenye mahakama zetu.
 
Jifunze kutumia akili, Trump anatoa madai tu wakati wala hakwepo eneo la tukio, hapa wanazungumza ni hao hao waliokuwa wanasimamia uchaguzi.
 
Mkuu, kuna mashtaka nayaandaa kuhusu huo wizi wa kura unaolalamikiwa. Je uko tayari kusimama kuzimbani kusaidia kutoa ushahidi?
Kuiba kura siyo kosa la jinai, na uchaguzi wa rais hauhojiwi mahakamani. Ndio utuambie unaandaa mashtaka gani na dhidi ya nani?
 
Unahoji mahakamani wakati wananchi tumemkataa. Tulishasema CHADEMA kuingia ikulu never.
majina hayanisumbui kabisa; kama yanakusumbua wewe chagua jina zuri. Kichuguu lenyewe siyo jina zuri lakini nimedumu nalio miaka 14 sasa hapa JF, kwa hiyo ukiniita Mpumbavu bado nitaishi nalo tu, kwani jina siyo reflection ya intellect ya mtu.
 
Basi msilazimishe watu waamini kila lisemwalo, mtu akihoji anavurumishiwa matusi..si kila ushahidi unaowekwa mtandaoni ni ukweli, mtu yoyote anaweza kuzusha chochote.
Unapaswa kujifunza kwanza kabla ya kuwa mbishi.Ushahidi upo wa aina nyingi, ikijumuisha ushaidi wa kuona na hata kusikia. Hivyo ni mawazo potofu kudhania ushahidi ni lazima uwe ni nyaraka, picha, video etc. Mtu kuelezea kile alichokiona ni ushahidi tosha.
 
Nanibkakuambia hawana furaha ? Hivi kea akili yako ulidhani watanzania wapumbavu wamchague Lissu wamuache Magufuri ? Mtasubiri sana. Ikulu hawaingii vibaraka.
Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.
 
Alishindwa Lowasa sembuse huyo shoga. Ninyi ni wa kuburuzwa tu na hamna la kufanya. Kila kitu kinabuma, laani ya Dr. Slaa inawatafuna.
 
Jifunze kutumia akili, Trump anatoa madai tu wakati wala hakwepo eneo la tukio, hapa wanazungumza ni hao hao waliokuwa wanasimamia uchaguzi.
Kwenye social psychology kuna somo kuwa watu wanaotangulia kuwaambia wengine kwamba ni wapumbavu (kama trump alivyokuwa akiwasema marais waliotangulia) au hawajui kutumia akili zao; huwa ni watu wenye majeraha makubwa sana bongoni mwao na hutaka kila wakati wajionyeshe kuwa wako timamu hata kama hakuna haja ya kufanya hivyo. Matajiri wengi wenye majeraha ubongoni huwa ni watambaji sana hata kama kila mtu anatamabua utajiri wake. Maandiko yako ni ya aina ya watu hao; ama walitelekezwa na wazazi wao wangali wadogo, au wazazi wao walikuwa wanadharau sana wangali watoto, na mambo ya namna hiyo.
 
Usijaribu kudanganya watu kwa mambo ya uongo uongo. Kufungua shauri mahakamani siyo sababu ya matokeo kutokutangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…