Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Nilishawahi kusema matusi ya kwenye keyboard hajayengi na wala hayanisumbui kabisa; ni wapumbavu tu ndio wanaodhani kuwa kutukana ni ndio ushindi.Ukiitwa mpumbavu au msukule utasema umetukanwa!!?
Matokeo ya urais yanahojiwa mahakama gani huko Tanzania!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajali sana ajira/vibarua vyenu ndio maana mnawazodoa wapinzani.
Halafu wakishathibitisha itasaidia Nini!?Sawa siku nikikuhitaji tafadhali usituangushe.
We tulia, haukufi!!
Na hii ni kwa wale wote wanaodhani wanaweza kuthibitisha, tafadhali muwe tayari.
Ukisema 'upinzani Tz ni biashara' unakosea.vyovyote usemavyo,haitabadirisha ukweli kwamba upinzani tz ni biashara za watu.
wewe unatoka povu hapa mpaka unajikuta unamchukia mimi mganga njaa mwenzako,lakini mbowe anafikiria hawezi kukosa ruzuku,kisa wajinga wa jamii forums wanamshauri asipeleke wabunge viti maalumu.
Wewe ni km marehemu kifikra.Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Ndugu yangu ndio hivyo?Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Unayo mamlaka ya kukusanya ushahidi wakupe kwa ajili ya hatua zaidi? Kama huna basi kuwa msomaji. Siioni faida anayoipata akiongopa bali anafahamisha umma ilivyopatikana 84%.Unao ushahidi?
Tukikutaka utoe ushirikiano upo tayari?
Kwanini ulikubali?Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Kiswahili kigumu aisee!Ata huku Nansio ni ayo ayo
Chama Cha wanaojiuza atakataaje?Kwanini ulikubali?
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa Victoria, Tundu Antipas Lissu aliongoza kura katika kituo changu kwa kuapata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyotangazwa Magufuli 37O, Tundu Antipas Lissu kura 6 hii ilitoka na msimamizi msaidizi ngazi ya wilaya kutaka tutoe matokeo yake.
Hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Ukisema 'upinzani Tz ni biashara' unakosea.
Andika hivi 'Siasa Tz ni biashara' maana hata wanasiasa wa hicho chama chako nao pia wanafaidika.
Wanaoweza kumshauri Mbowe kuhusu kupeleka wabunge ni kamati kuu ya chama chake na sio hao ''wajinga wa jf" unaowafahamu wewe.