Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Bullshit..
Kama kawaida wabongo na tabia ya kutowajibika. Uliacha wizi ukafanyika ili uje kulalamika Jf ambako hamna anaeweza kukujua
 
Kumbe una akili nzur tu
 
Mimi pia nilikuwa msaidizi namba 2 kwenye kituo cha kupigia kura. Wasimamizi wote wa vituo waliitwa kabla ya uchaguzi na kupewa maelekezo ya kujaza matokeo ya bandia kwa lengo la kuisaidia CCM. Siku ya uchaguzi ilipowadia, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi (AROs) walipewa matokeo hewa kwa kila kituo na kuwapa wasimamizi wote wa vituo vya kupigia kura ili wajaze kwenye fomu za matokeo. Waliambiwa waache kujaza matokeo halisi na badala yake wajaze matokeo hayo feki waliyopewa. Ilisemekana kwamba hayo yalikuwa maagizo kutoka juu. Nilishangaa sana nilipoona wachungaji wanaitwa kumuombea mshindi hewa wakati anaapishwa. Kwa kuwa Mungu hadhihakiwi, nina imani atatenda muujiza utakaowaangamiza wote waliopanga hizi njama ovu. Kwanza tayari wameishalaaniwa.
 
Yame shuhudiwa mengi Nime simuliwa kisa Cha kusisimua Cha CCM

Kuna diwani alishtushwa alipo tangazwa mshindi wa udiwani katika kata
Yaan diwani yeye binafsi KWA kinywa chake amekiri kua hakua chaguo la watu na inasemekana
ANAOGOPA UHAI WAKE MAANA
Anasema Hawa WATU HAWAKUNI CHAGUA
wasije wakanimaliza
 
Basi msilazimishe watu waamini kila lisemwalo, mtu akihoji anavurumishiwa matusi..si kila ushahidi unaowekwa mtandaoni ni ukweli, mtu yoyote anaweza kuzusha chochote.
Basi kama wewe huamini, kunywa maji ukalale. Usilazimishe kila mtu asiamini. Kilichofanyika kipo wazi na kila mtu alishuhudia. Mimi nilikuwa msimamizi namba 2 wa kituo na nimeshuhudia kila kitu. Ikiwa hata mimi eye witness huniamini unataka nini sasa? Basi kamuamini basha wako. Usitutishe.
 
Hiki ndicho kilichofanyika nchi nzima. Ni misukule pekee wanaoweza kupinga ukweli huu. Hata mm kituo nilichosimamia kama msimamizi namba 2, wasimamizi wa vituo vyote waliletewa matokeo kutoka juu.
 
Ni mjinga pekee anayeamini matokeo yaliyotangazwa.Trump alikuwa sahihi alivyoita nchi zetu licha ya mapungufu yake.
 
CCM ni ukoo wa panyaβ€”babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.
 
Kilichofanyika Jimbo la kawe n Cha kusikitisha.. wasimamiz tumelipwa marar3 ya malipo halali.. Ninaushahidi wa kilichotokea. wasimamiz wa nec tuligeuzwa mawakala wa ccm. Siku ikifika nitauweka hadharani
 
Acha uboya wewe nani amekutisha? Nani amekulazimisha uamimi maoni yangu? Baki na maoni yako na mimi nibaki na yangu tusilazimishane. Kilichofanyika kipo wazi kwako na si kwangu na si lazima niamini kama wewe ulikuwa msimamizi namba 2 ukute umejipachika tu cheo. Kwenda zako huko. Ndo hivyo mmepigwa chini...hutaki JAMBA.
 
Kilichofanyika Jimbo la kawe n Cha kusikitisha.. wasimamiz tumelipwa marar3 ya malipo halali.. Ninaushahidi wa kilichotokea. wasimamiz wa nec tuligeuzwa mawakala wa ccm. Siku ikifika nitauweka hadharani
Kumbe njaa zenu zimewaponza. Mngesusia hayo malipo
 
Mpuuzi mkubwa.....mnafanya uzwazwa mchana kweupe halafu mnatulazimisha tuukubali ujinga wenu....maiti mkubwa wewe.....nenda kazikwe!
 
Mpuuzi mkubwa.....mnafanya uzwazwa mchana kweupe halafu mnatulazimisha tuukubali ujinga wenu....maiti mkubwa wewe.....nenda kazikwe!
Ndo hivyo kajinyonge... KAZI INAENDELEA
 
Ndo hivyo kajinyonge... KAZI INAENDELEA
Kwani nani kawazuia kuendelea na umaiti wenu? lakini usitake kulazimisha watu kwamba hamjaiba kura......manyente wakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…