Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Shetani kakulia kichwani. Unaona wizi wa kura ni kutu cha kawaida sana. Wewe ni malaika wake. Shetani toka! Shetani toka! Shetani tokaaaa....
 
Kwani nani kawazuia kuendelea na umaiti wenu? lakini usitake kulazimisha watu kwamba hamjaiba kura......manyente wakubwa!
Wapi nimelazimisha we kuku?? Nionyeshe nilipokulazimisha
 
Wewe ulijuaje ? Na kwa nini hukupinga ? Endelea kuota na JPM yuko Ikulu
 
Huna lolote ni machungu ya kushindwa uchaguzi, tuliwaambia kwamba huyo mgombea wenu ni raisi wa kwenye mitandao na siyo Wa Tanzania
Mazingira yalinilazimu nikubali, kulikuwa na askari na nijaribu kuhoji nikaambiwa "" wewe Mwalimu wewe .........
 
Nakuunga mkono ilikuwa ni balaa kuna sehemu Magufuli alishinda ndio kwa mfano amepata kula 100 hapo inaongezwa sifuri afisa elimu msaidizi wilaya ya Kaliua unajua ulichokifanya Mungu anawaona kwa kweli
Ushindi wa KISHINDO au ushindi wa KISHIMBE?
👊😅✌️
 
Hilo bichwa limejaa vima na masimaka tu
 
Jitayarishe kwenda kuzimu na Shetani wako.
Nitaenda lakini ndo hivyo huwezi badili matokeo gubu limekujaa unataka kupasuka na huna ubavu wa kubadili lolote. Inauma sana nakuelewa!
 
Ukiitwa mpumbavu au msukule utasema umetukanwa!!?
Matokeo ya Urais yanahojiwa mahakama gani huko Tanzania!?

Sent using Jamii Forums mobile app
majina hayanisumbui kabisa; kama yanakusumbua wewe chagua jina zuri. Kichuguu lenyewe siyo jina zuri lakini nimedumu nalio miaka 14 sasa hapa JF, kwa hiyo ukiniita Mpumbavu bado nitaishi nalo tu, kwani jina siyo reflection ya intellect ya mtu.
 
Uchaguzi wa mwaka huu CCM mmeiba sana kama mazuzu. Kataa hii.
Nchi haiwezi kukabidhiwa kwa wahuni, Kama wameiba ni kwa manufaa ya taifa...hongera ziifikie serikali ya awamu ya tano.
 
Siyo watu tu. Hapa tunaongelea Watanzania milioni 60. Wana laana kubwa sana.
Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.
 
Kumbe ndio maana Magu na wana CCM wenzie hawana furaha. Watu walifunga kuombea Uchaguzi. Hii kitu haitapita bure, kwa huyu MUNGU tunayemlilia kila siku. Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu.
Hakika CCM na wote walioshiriki katika ushennx huu lazima watalipia!
Malipo ni hapahapa Dunia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…