Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kunaviumbe aina kadhaa tupo navyo ambavyo havionekani na vinaweza kua na koneksheni na sisi.

Arsis anafafanua mbele huko.
 
Kimeshaanza kisa cha Arsis na mali za Wajerumani. Kimeanza juu hapo ndicho kinaendelea kwa sasa.
 
Kwa mtazamo wangu ibada ndio nyepesi kuliko zote. kwani ibada sio kitu cha kukitfuta au kulazimishwa, ni maisha yetu. Waislam tunaamini tunaishi ili tuabudu.

Arsis alinipa maana sana ya neno :kuabudu", itakuja mbele huko katika "vionjo vya Arsis".
Kaka ibada ni ngumu kaka..... Mimi nilipewa uradi wa kumtaja Mwenyezi Mungu mara 24000 kwa siku.
Hapo bado hatujaweka swala za sunna na faradh (mwaka mzima)

Ili nimalize uradi ilinibidi niwe nashinda msikitini siku nzima
(Kuna muda nilikuwa napelekwa itikaf msiktin siku 3 bila kutoka nje)
Na Kuna wakati nakaa mwezi mzima ndani
Kuna wakati nafunga miez 2 mfululizo

(Unahisi ni simple kaka?
 
Aisee ntakuja na kikapu changu huko nivune kamba wa kutosha, au arsis anasemaje?
 
Simba; Hio ngumu, pole sana. Itakua huo uradi alikupa katika watu wa Kadiria, wanaoitwa muridi. Wale masufi, sio ibada tu hizo, ni elimu ya kipekee. Arsis anawaelezea hao, natumai itafika wakati tutawasoma hapa.

Arsis ana mengi sana, ulivyonielezea nimeelewa ndugu yangu ulichokumbana nacho. Elimu hio Arsis anaileta kiwepesi sana mpaka utashangaa. Ukipenda kuelewa uliza tu, itakufanyia wepesi.
Simba.
 
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Nasubiri kwa unyenyekevu kabisa mwalim...... Mimi kweli nimepita kwenye twariqa hiyo

Dah kweli kabisa,,,, Kumbe na hao kawaelezea๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Nasubiri Sana hii
 
Arsis ni kiumbe wa ajabu sana, kuliko tunavyofikiria. Ndio maana ananishikilia sana nimuelezee mafundisho yake.

Hivi nimeanza tu, intro ya nilipoanzia mimi , sasa nimeingia intro ya Arsis alivyokutana na babu yangu. Tukitoka hapo ndio tutaingia "vionjo vya Arsis". hapo kuna mengi na matamu sana.
Simba.
 
B
Bora tu arsis akufundishe kuandika maana ni unachapia balaa mpaka mwanzo nikajua ni arsis ndio anayeandika
 
N
Ni hadithi hii mzee? Am real thing
 
Mimi ninachoweza kufanya ni kukuelekeza tiba ninazozifahamu tu. sina kilinge kama marehemu babu yangu.

Kwa ufupi, mimi sio mganga isipokua kuna tiba nazifahamu na mwenye kutibu ni Muumba wetu.
Natumaini unaweza kunisaidia kwenye jambo ila naomba sana kama unaamini kuwa roho unayotumia haipingani na Roho wa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.
 
Kuna watu wanasoma kama story halafu kunawengine tupo darasani๐Ÿค

Kwahyo ukiwa unaeleza kwenye mafunzo elezea kwa kina, maana kuna watu tunajifunza na kuingiza kwenye utendaji


Mfano juzi.... Baada ya kusoma uzi hapa, na mm nikaenda kuwaita hawa marohani niliorith kwa mzee wangu (nikapanda juu kwenye uwazi sehem ilotulia kwa mbaramwezi, si nikawaita bhana........... Maana nishawazoea kila siku lazima waje karibu muda wote nikiwa pekeangu wanapenda kuja

Sasa juzi nikawaita huku nawapiga beat,,,,, leo staki mje kimyakimya nataka mje muongee hapa au niwaone live๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Bwama weeeh si upepo ukaanza kuvuma pale,,,,,, nikaanza kuwaza kimoyomoyo "Leo yule jamaa wa Jf kaniponza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚"


Ila walikuja lakini sikuwaona wala hawakusema chochote.... Nikashuka zangu huyooooooo safari๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ