Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

masufi toka enz na enz wao ni watu wa kushinda miskitin na kufanya uradi. sasa ukipewa fadhailul amal na kadiria lazima uchemke mana yeye atakwambia utaje kitu fulan mara laki 1
 
Safi saana
 

Hata mimi nipo darasani..yaan najifunza mengi
 
Nimefuatilia story yako toka mwanzo kuna elimu kubwa hapa hasa kuhusu viumbe wengine ambao binadamu tunawachukulia poa lakini maisha yetu mengi yanaathiriwa na viumbe hivyo either in positive way or negative way.
Kwa ufupi nikuwa:-
1. Majini wapo wazuri na wabaya kama walivyo binadamu ila ulimwengu wao hauonekani kwa macho ya kawaida.
2. Majini wema wanaweza kutoa misaada kwa mtu hasa aliyekumbwa na majini wachafu hii kwa wasomaji wa ruqya wanalijua sana
3. Qur an ina nguvu kubwa sana isiyomithilika ila wengi katika waislamu wanaichukulia poa.
Mwisho nina maswali ndugu la kwanza embu muulize Arsis anayajua majina ya BARHATIYAH na je ni katika shirki ?
Swali la pili, Muulize Je ni kweli mafuta ya miski yanawaumiza majini wabaya?
 
Kwa mujibu wa imam shafii masufi ni watu wapumbavu
Wasomi wengi wa dini hasa Sunni wanawachukulia sufi kama watu wasio katika usahihi hii ni kutokana na mambo yao hasa wengi kujihusisha na mambo ya uganga ijapokuwa wapo masufi wanaelimu kubwa tuu na ni wachamungu kwelikweli.
Moja katika masufi wakubwa ni huyu Ahmad Al Buni yeye aliandika kitabu maarufu kiitwacho Shams al maarifa inadaiwa ni kitabu cha uganga na mambo ya talasimu.
 
masufi toka enz na enz wao ni watu wa kushinda miskitin na kufanya uradi. sasa ukipewa fadhailul amal na kadiria lazima uchemke mana yeye atakwambia utaje kitu fulan mara laki 1
Hahahaha. nawafahamu sana masufi, Kuna shangazi yangu, Mungu amrehem, alikua na tasbi yake ina shanga za kuhesabia 1000, zina kaa ndani ya kikapu, akianza uradi wake anavuta kikapu chake anakaa nacho pembeni anaanza vitu. Tulikua tunamtania sana utotoni na tasbih yake.

Kunapia rubani mmoja atc ni sufi, huyu tulikua tunakutana kwenye nyumba moja ya uradi hapo Ilala. masufi watu wa karibu sana kwangu, napenda sana nyiradi zao, Hao wa Ilala, wapo na mtaa wa Muhesa pia wapo na Sinza. Tariqa hio hio, kwa wiki wanahama hama tu. tena hao ndio napenda sana kikundi chao, mana wanapiga uradi huku wanapiga mirungi. hawana tatizo kabisa na gomba.

Sema hawa Dheikh wao, amefariki siku nyingi, nilikua napenda sana darsa zake na niliuliz habari kwa Arsis siku moja.

Arsis akanambia anamfahamu huyo Sheikh kupitia makhadim wake, alikua ana makhadim, Ndio jibu la Arsis. Huyo marehem alikua kazi yake ni kutoa elimu ya Kiislam tu na alikua hana makuu kama masufi wengine. Alikua very simple.
 
Masufi watakupotezea muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…