Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kwenye mtiririko wa hadithi yako sehemu ya 3 uliishia kusimulia umepelekwa na babu kuogeshwa maji chumvi ya bahari, ukavushwa nchi kavu na kuachwa kwenye madimbwi ya kamba mtoni.

Sasa baada ya hapo ukarukia hii uloweka muda si mrefu wahusika wakiwa ni wapishi wa visheti!

Ndonikasema hauunganishi simuliza yako, wadau hawawezi kuelewa.
Nikimaliza kuileta nitaipitia upya nitairekebisha makosa nitayoyaona na kuiweka pamoja.

Tuendelee sehemu ya pili.
 
Nilioyaona Nilipoingia Dar. 1

Ile kuingia jiji la gharama Dar, ndio nikajuwa kweli macho yamefunguka. Njiani nilikua natafakari sana kilichotokea Chalinze na nini kiliendelea baada ya sisi kuondoka, sijapata jibu la haraka. Nikadhamiria, tukifika nyumbani nimuite Arsis anieleze.

Kufika Kariakoo Dar, ikanijia sauti ya Arsis, ikinieleza "kua makini sana, sasa huku ndio kuna mengi sana utayaeshuhudia, kitu kilichokuponza pale Chalinze ni wale wanga walikua na uwezo wa kuiona pete yako. Kuanzia sasa tunaiwekea pazia, na wewe ukiingia sehemu ukiona watu sio wa kawaida igeuze pete, kwenye hicho kito chake kiwe ndani ya kiganja. Itasaidia, kutotambulika haraka kama una uwezo wa kuwaona. Lakini chunga sana utavyo "behave" ukiona chochote ambacho sio cha kawaida (alisema "behave" hivyo hivyo kwa Kingereza). Nikawa namjibu bila kutoa sauti kua nimeelewa.

Tukaingia Kariakoo, mitaa ya kati kabisa, mtaa wa Tandamti nadhani na Nyamwezi ile, nyuma ya kituo cha polisi ya Msimbazi. Mzee akatushusha, mama akasema nipeleke, tukiwa tayari sisi tutaende na traxi nyumbani. Tukaagana na mzee na Sister wangu wao wakaendelea na safari, mimi na mama tukashuka. Ile tunatembea njiani nikaanza kuona maajabu.

Nikaanza kuona watu wapo uchi kabisa, nikaanza kuona viumbe vya kiajabu ajabu, ambavyo sio binadam kabisa, lakini nikajua hata mama yangu havioni, kwani tulipishana navyo vyenyewe ndio vinatukweppa sisis alakini sisi tukawa tunatembe kama hakuna kitu, Kidogo nianz kuwakwepa lakini sauti ikanijia ikanambaia usiwakwepoe, huwei kugongana nao hao. Ukiwakwepa wataju unawaona wataanisha ugomvi.

Muhimu ilikua ni maajabu tu kwangu, mama akaingia maduka anayoyuataka pale mtaa wa lsikukuu na Tandamyti, kuna maduka makiubwa mawili matatu ya vyakula, alienda kununua avitakavyo mimi nikamwambia nakungija kwa pembeni hapa. Basi niloyashuhudia, kama mtu una roho ndogo unaweza ukatoka mbio. Kuna wateja waliokuja pale sio binadam kabisa na wao walikua wanaagiza vitu, lakini nina uhakika waliokua wanwahudumia na wateja wengine waliwaona kama binadam, mimi nilikua pete yangu nimeigeuza na kiganja nimekifunga isionekane kabisa.

Mama alipomaliza pale, tukaenda mbele kidogo kuna maduka ya vufungashio, mwenye mama alikua na biasshra zake na kina mama wengine. Akanunua anavyovitaka, tukaenda kiyuo cha taxi hapo hapo karibu tu, mwenye duka la vifungashiuo anaonesha anafahamiana sana na mama, akamwabia usijali mama vitakufata vitu vyako mpaka nyumbani, ukichelewa utavikuta vimeshafika. Huyo kijana ndio yule simba wako? Mama akamwabia umemsahau, jamaa wa dukani akasema amkua sasa anatisha, ulikua ukija ne hapa bado kabisa. Alikua wapi siku nyingi sijamuona? Mama akasema yupo, si unajua wakikua hawa hawataki kutoka na mama zao. Yule jamama akasema "wajinga hawa, hawajui maana ya soko na biashra". Mama akacheka, aksema huyo mtu wa spana na baba yake, yeye garo lako likiwa na shida mtafute. Jamaa akasema, tena itakua vizuri, mana mafundi wasumbufu sana. Mama akamwabia yupo na baba'ke gereji, babake anamsisitiz hataki mteja wake apewe usumbufu. Jamaa wa dukani, tutembelee simba, nipe zako, gari likikorofisha nikupigie. Nikampa namba tukaondoka zetu.

Tukapanda taci akamwambia mwenye taxi, nipitishe kw Issa hapo nichukue vitu vyangu. Huyu Issa ni maariufu sana duka lake la vyakula pale Kariakoo, ndipo nilipoona wateja wengine sio binaadam wanenda kununua vitu. Ka ufupi Kariakoo nzima ilijaa mambo ya ajabu ajabu, kuna watu wako uchi, kuna watu unawaona vilema kumbe sio watu. Kuna watu huoni kabisa sura zao, Kuna watu wamebeba watu wengine kama wanawatembeza lakini wengine hawawaoni. Yaani pale ni vurugu tupu, Kuna watu niwashuhudia wapo nje madukani, wakiwa uchi kabisa na wamekaa juu ya viti, tena maduka mengi tu. Nikaona watu wanauza bidhaa mtaani uchi kabisa. Kama wale kina mama wa Chalinze, tena wanawake kwa wanaume. Nikaona wanawake wanauza bidhaa uchi lakini ukiwatazama viuri unaona ni kama wanaume aliovaa kimjini wanafanya biashara. Mjjini wansema ni vurugi mechi.

Tulipoondoika kuelekea Ilala ndio nikaufaidi mtaa wa uhuru, kuanzia ile raundi abauti ya Uhuru mpaka tunaelekea Ilala ni vituko vitupu, watu wapo uchi kwa makundi, kuna watu wamekaa pale raundi abauti uchi wa nyama, hawana hata habari ya dunia, wenye juruka, wenye kutua. Niliona kitu kimoja cha ajabu mpaka nikata kustuka, ndani ya taxi. Niliona kuna watu wawili warefu wamevaa nguo sio za kaiwa kama sare fulani, lakini walikua wanatembea kiukakamavu huku wanakagua kila kitu wanachokiona, wakatazama sana taxi tulioipanda nikaona kama wamnesemezana kitu wakawa wanaifata taxi kama wameona kitu kisicho cha kawaida, pale pale ikaja sauiti ya Arsis ikanambia, usiogope hawawezi kuwafikia kabisa, wataishia kuwatazama tu. Nitakueleza zaidi kuuus hao unaowana baadae. Basi taxi yetu kila inapokwenda na wao wako pembeni wanatembea nyuma yake lakini hawaifikii, mwisho wake wakageuza wakarudi walipotoka, kama wamaumua hawawezi kuifikia.

Tukafika nyumbaniu salama salmini, mimi nikiwa hoi kwa mawazo. Nikaingia chumbani kwangu moja kwa moja, sikungoja kitu nikaingia kukoga, nikaslai. Ndio nikatoka nje nikachukua nanasi moja kubwa nikalimenya nikawa nalila peke yangu, likiua tamu kweli. Nikasema leo sili kitu, hili hili linatosha kabisa, nilipomaliza nikanawa nikaingia chumbani kujipumzisha kidigi nilikua nimechika zaidi kiakili kuliko kimwili.

Itaendelea.
 
Uzi ulikuwa unashuka vizuri ila hapa umezidisha

Kagera hadi Mtwara anakubeba pamoja na gari lako kwa dakika 3, 🤣🤣🤣,

hakuna haja ya kuweka mafuta kwenye gari,..

hii ngumu kumeza, inakataa kabisa..

nasoma uzi kama vile naangalia katuni

View attachment 3072158
Ndugu yangu, hilo la kusafiri, litafika wakati wake, utashangaa. Hii dunia ina mambo mengi sana ya ajabu. Nimeyashudia lakini naamini hayawezi kuwaingia akilini watu wengi sana. Fatilia huu kasa wa maisha yangu, ya upoande huu wa mambo ya ajabu ajabu, utapenda.

Huu mkasa sitaki kuchanganya na maisha yangu ya kawaida ya kila siku. Naelezea matukio ya kufunguliwa macho tu kwenye kisa hiki. Ni mengi sana., sijui niyapange vipi.
 
Inatokea post namba 146.

Leo nitawaletea kisa cha nilivyooneshwa shemu ya kumuita Arsis na kuongea nae kwa kina nikimuhitaji.

Siku moja usiku nimevizia watu wote wamelala nyumbani, nikaiweka bakora yangu mbele yangu, nikaanza kumuita mwenye bakora kwa jina lake alilonipa, siliweki hapa. Haijapita muda nikaona ka ma kivuli, ghafla nikasikia salam nikaona mtu kakaa kwenye kiti chumani kwangu. Nikamkubuka ndio niliuonana nae mapngoni huko Duga. Tukaulizana hali, ni mtu wa kawaida tu, tena kaja kavaa kimjini kabisa, shatoi na suruali na alikua kama wa umri wa miaka 50 hivi. Akanambia unasemaje bwana mkubwa, umeniita. Nikamwabia mwenye pete yangu hii alinambia yeye hawezi kuja hapa, nikitaka wa kuja nikuite wewe. Ndio nimekuita.
Jini; Sawa, nimekuelewa, unasemaje?
Mimi: nilikua nataka kuuliza?
Jini: Mimi niulize mambo yanayohusiana na na mambo ya mitishamba na tiba zingine kwa uchache, Kuhusu mambo ya kieleimu zingine yoite muulize mwenye hiyo pete.
Mimi: Sina swali kuhusu miti shamba kwa leo.
Jini: Nilikuwekea dawa kwenye mkoba wako kule pangoni, uliiona?
Mimi: Nikamwabia niliona vipande vya vijiti vikavu vimefungwa pamoja na kamba za miti, ndio hizo?
Jini: Ndio hizo, mbona huulizi za kazi gani?
Mimi: Haikunijia kabisa kuuliza, wacha niulize sasa hivi, vijiti vya nini vile?
Jini: Vile vijiti vya zamani sana, kwanza ulle mzizi hauliwi na mdudu yoyote duniani, vile vina miaka mingi sana. Vile sio vijiti tu, ile ni dawa ina kazi kubwa sana. Kwanza wewe inatakiwa ukate kipande kidogo sana kama kucha ya kidole chako utie kwenye chai au maji ya moto, wacha mpaka chai au maji yapoe kabisa, halafu yanwe uyamalize. Hiyo itakutoa uchovu na sumu sumu zote mwilini. Fanya hivyo ukipata nafasi.
Mimi: Sawa, lakini nilisikia inatoa harufu nzuri ya manukato.
Jini: Sawa kabisa, yale sio manukato, ni harufu yake, na haiishi ile harufu hata vijiti vile vikae daima, harufu itabaki vile vile. Shani yake Mungu hio. Vijiti hivyo vile vile vinatoa uchawi wpowote mtu akilishwa na pia vinatibu matatizo ya tumbo ya kina mama, Vile vile vilivyom kama kuna mwanamke anapoteza siku zake bila mpango, zinazidi au zinapungua, au anatokwa damu kwa wingi kuliko kawaida, au anaharivu haribu uja uzito. Ukimpa kama nilivyokuelekeza Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu anakua sawa kabisa. Imewasaidia wengi sana.

Kwa ufupi, wewe unatakiwa unywe, nyinyi mnakula kula hoivyo kwa hawa kina mama wanauza vyakula, wanaweka mamboi memngi kwenye vyakula, kila kama kuna chochote hakitabaki.

Matumizi yake mengine, ni kama nilivukueleza, lakini hauinywi, unaitia kwenye jagi hivi la maji ya moto, halagfu unaiacha ikae humo wiki moja, unakogea yale maji kwa kujipaka mwili mzima mpaka yaishe, usiyamwage chini, hayo maji yanathamni kubwa sana. Hiyo itakua ni kinga yako kwa muda mrefu sana, kwa uchache unaweza kufanya hivyo kila mika mitano, basi hakuna mchawi mchawi atakae kuona kwenye mitego yake.
Mimi; Mitego yake tena?
Jini; Ndio kijana, wachawi kabla ya kukuchawi, wanakutafuta kwa njia zao, wakisha kupata wakuwekea mtego wa kichawi, huwa wanachukua kivuli chako, wanakifanyia mambo yao halafu wanakurudishia unakua kwenye mtego wao wamekunasa, wanakufanyia wanachotaka. Lakini ukijipaka hii, hawakuoni kabisa na watakuogopa wakianza kukutafuta. Ingawa nafahamu wewe vabu yako alikukinga nayo hii kuanzia utotoni lakini si vibaya na wewe ukaijua. Na itunze sana hiyto miti, haipatikani isipokua kwangu tu.

Mimi; Sawa. Sasa mimi niliongea na mwenye pete akanambia nikitaka kuongea nae atanionesha wapi pa kukutana nae, hapo unanisaidia vipi?
Jini: hapo mpaka uongee na yeye mwenyewe, mimi siwezi kuingilia maongezi yenu kabisa, itakua namvunjia heshima, ni mkubwa wangu sana mwenye hio pete. Yeye anaweza kuongelea yangu yote na wewe. Ukitaka mimi niulize ya wale mabinti wawili, watumishi wako wa hio pete, naweza kukuitia, yule mmoja mdogo wakati wowote lakini ni vizuri nalo ukaongea yeye, wale hawatakiwi kuja bila kazi, na wapo sana na wewe huwaoni tu. Mimi sipo sana na wewe mpaka uniite au itakikane dawa, mimi ulinzi wangu kwako ni hiyo bakora na dawa ninazokupa tu. Hivi nimekuja kwa kua una bakora yangu na nimekabidhiwa kwako, lakini sio kaida yangu kuja kwa maswali yasiohusiana na mitishamba.
Mimi: Ahsante kwa kuja, kwaheri.
Jini: Usione tabu lakini kuniita, wewe ni bwana mkubwa wangu, mimi niko chini ya amri zako. Nawea kuondoka?
Mimi: sawa nenda tu, kwaheri.

Basi alipoondoka nikamuita Arsis kimoyoomoyo hajachukua hata dakika moja akaniuliza kichwani, unasemaje simba?
Mimi" Arsis wewe si ulinambia unajua nataka kukuuliza nini hata kama sijakuuliza?
Arsis: Ndio, haya kama upo tayari sasa hivi, twende nikakuoneshe. Usijali uo na mimi hakuna ataekuona. Haya twende.

Mimi; Kama mbali si nichukue gari?
Jini: Haya chukua ywende, mimi utanikuta ndani ya gari. Nikwamwambia poa ngoja niombe gari. Nikampigia simu mama, nikamwambia mama natoka gari lako.
Mama; Usiku huu mwanangu?
Mimi: mama usiwe na wasiwasi kuna kazi babu alinipa nikija niifanye, ndiuo nakwenda kuimalizia.
Mama: haya baba, huyu babu yako nae kazi za usiku, mnakwenda kuwanga?
Mimi: Huku nacheka, ndio baba mkwe wako, anaifundisha kuwanga.
Mama: Yatawashinda. Usichelewe kurudi.
Mimi; poa, nikatoka, mlinzi akanifungulia hti. Ile naingia tu ndani ya gari nilipokuwa natoka getini, Sautri ya Arsis ikanijia, Akanambia tqebde viwanja vya bunge lenu kule mjini kabisa. Nikamuuliza kule njia ya Ikulu. Akasema ndio, wewe twende, ukifika gtakwambia gari uwache wapi.

Nikaenda mpaka barabara ya bunge, sauti ikanambia usisimame twende mpaka hospita ile ya wajerumani, nyie siku hizi mnaita oshen rodi. Ingiza gari kwenye parking ushuke takuelekeza unaelekea wapi. Hakuna ataekuuliza wala kukuzuwia.

Nikaenda mpoaka oshen road kuna parking kubwa tum palikua kiya kabisa mpaka panaytisha, sijakuta hata mlinzi nikawa nasukia sauti za mawimbi tu baharini. Sauti ikaja ikanambia haya fanya kama unakwenda hiyo nyumba mbele yako lakini kabla hujafika utaona njia ndogo inaenda kulia, ifate hio mpaka utakuta mbeke huko mawe mawe ndio hapo utakua umefika, Ukifika niite tu usiogope hakuna atakae kuona wewe wala mimi. Kweli nikaenda kama alivyonielekeza nikajiona kama naenda Ikulu kwa nyuma lakini kabla sijafika nyavu za ikulum, naziona kwa mbali nikaona kuna kama mawe mawe na kiwanja kizuri, pako kimya kabisa lakini taa za mjini, naziona taa za hispita naziona kwa mabali, kama mita 200 hivi. Nikaita palem kama dakika moja tu, Arsis akaingia, simuoni kama kawaida.

aRSIS; Naam, vipi hali yako?
Mimi: Salama,huku umepajuaje?
Arsis: Hapo mbele kidogo kuna mlango wa kuendea dunia nyingine, wewe huwezi kuuona, hakuna mtu anaeuona hata akiwa mchawi vipi.
Mimi; Dunia nyingine?
Arsis: Ndio, kuna dunia saba, hii tuliopo sasa hivi ni ya kwanza, zingine zinakaa viumbe wengine, si niliwahi kukwambia?
Mimi; Kweli ulinambia lakini sikuzingatia.
Arsis: Unakumbuka nilikwambia ukiniita kuongea na mimi uchukue hizi simu uwe unarekodi kila kitu, ili ukisahau ujikumbushe?
Mimi: Nakumbuka:.
Arsis; Haya: Fanya hivyo, usiogope mimi siwezi kuonekana, itasikika sauti yangu tu, na hakuna hapa anaetusikia wala kutuona nimeweka pazia.

Nikatayarisha simu yangu nikaiweka ikawa ina rikodi na kupiga picha nikaiengesha vizuri kwenyue jiwe moja nikanza kuongea nae.
Mimi; Kila nikiongea na wewe maswali yanazidi sana, sijui nianzie wapi. Wewe si ulisema unajua mimi nataka kuuliza nini? Anza kunijibuninachotaka kuuliza.

Arsis akacheka, akasema utakomaa tu, hakuna neno. Wakati naongea na simu nikaona kama vizuli halafu simu yangu ikaanguka kwa pale pale juu ya jiwe.
Arsis; Iweke sawa tu usiogope watotowa kijini hao wanachea cheza.
Mimi; Watotto wa kijini? mbina siwaoni na mimi nimefunguliwa macho?
Arsis akacheka, akanambia hawa huwezi kuwaona upoo na mimi. Usijali tuendelee. Wewe simba unataka kuuliza kuhusu dunia saba. Nikueeleze kwa uchache?
Mimi; nieleze.
Arsis; Ondoa fikra nyingi kwa sasa hivi, usiwe na haraka ya kujua mengi kwa wakati mmoja. Dunia zipo saba, ya kwanza ni hii yetu, ya pili wanaishi juju wa majuju (Gog Magog), ya tatu wanaishi majini. Ya nne wanaishi wanyama wakubwa sana ambao hapa duniani waliondoshwa wote. Ya tano wanaishi Ramadiyin. Umewahi kuwasikia Ramadiyin?
Mimi; Hapana, nadhani niliwasikia kwako mara moja tu.
Arsis: Inawezekana, lakini mimi naamini umeshawasikia lakini hujatia maanani. Hilo la siku nyingine. Kuhusu dunia ya tano. Dunia ya sita na ya saba, sina "authoirity" ya kuziongelea, kwa hiyo usiulie chochote kuhusu hizo.

Mimi : Ya nne umesem kuna wanyama?
Arsis: ndiyo kuna wanyama, wale mnaowasoma kuwa wametoweka duniani kama kina Godzila na Mammoth na wengine kama hao. Huko ni dunia ya vitu vikubwa vikubwa tu.

Arsis; hahahahaa, uliza tu usiogope, unauliza mimi ninajuaje na vipi uamini kama ni ukweli? au sivyo ulivyotaka kuuliza?
Mimi; Ndivyo nilivyotaka kuuliza. Sasa mimi naona hakuna sababu ya kujliza, wewe unajuwa fikra zangu, sifahamu vipi?
Arsis; Ni elimu tu, utaielewa kidogo kidogo. Mimi kwa sasa nina miaka inazidi elfu tano. Si ulitaka kuuliza hivyo?
Mimi: Ndiyo, unanifanya nisiulize kitu.
Arsis; Raha ya maongezi uulize, nilikua nataka uelewe kua naelewa ninachokwambi na sina sababu kukudanganya.
Mimi: Wewe ni jini au binadam au ni kiumbe wa aina gani?
Arsis: Mimi kwa sasa hivi ni mtu, lakini chukulia vyovyote upendavyo kwa kua mimi naweza kua vyovyote vile.
Mimi: Huo uwezo wa kua chochote unautoa wapi?
Arsis: Ni elimu anayotujaalia Muumba wetu. alieniumba mimi ndiye aliyeumba kila kiumbe na kila kitu ulimwenguni.
Mimi: Dunia ipi kubwa katika ulizonitajia?

Itaendelea.
 
Mleta mada kaeleza mambo mengi makubwa ila juu juu (siwezi sema kakosea maana target yake ni kufikisha ujumbe kuhusu alichokiona baada ya kufunguka macho, na alhamdulillah ujumbe umefika,,,, japo utata umebaki mwingi kwenye vichwa vya watu)

Ngoja nisawazishe eneo dogo hapa kwajinsi ninavyoelewa!!
Mada kubwa mezani ni SPIRITUAL AWAKENING

Viumbe wa kiroho... Ni viumbe wote ambao hawaonekani kwa macho ya kawaida (malaika, majin n.k kila mtu anawafaham kwa mujibu wa imani yake) viumbe Hawa huwa na connection kwa watu maalum pekee

Watu maalum ni hawa 👉 Manabii na mitume, wachamungu sana, waganga wa kichawi na watu waliopendelewa

Ili uwe kwenye special group lazima uwe connected na source of power yoyote kati ya hizi
A. Mungu
B. Ibiris

Sasa viumbe wa kiroho wao pia wapo makundi mawili tu.... Kutokana na uanachama wao kweny hizo source of power (hapo either awe upande wa Mungu au Shetani🤝

Sasa hao special group pia wananamna yao ya kuwasiliana na hao viumbe.....
Baadhi ni hisia, ndoto, telepathy na kuona

(Hii njia ya kuona ndio njia ya juu zaidi tuseme ndio maqam ya mwisho.... Sasa huwa unaanza kwa kupanda daraja
Utaanza njia ya hisia, ndoto, telepathy mwisho utaona🤝

Mleta mada yupo kwenye special group upande wa watu waliopendelewa... Maana hajafata process wala hajaandaliwa ila karushwa daraja moja kwa moja

(Kwa imani ya kiislam huwa Kuna watu wanazaliwa wakiwa n mawalii wa Mwenyezi Mungu,,,,, kitu ambacho n nadra sana mtu kukipata

Au mfano mtu ufanye ibada mpk uwe nabii😁😁😁🏃
Ngum sana, nabii huzaliwa akiwa tayar ni nabii

(Dah mambo ya kiroho huwa yanamaelezo mengi sana...... Ila ukiweza kuwasiliana na viumbe wa kiroho hii Dunia umeiweza🤝
Njaa kwako sahau, kuonewa kwako sahau, kukataliwa kwako sahau,,, hii ni Siri ambayo wazungu wanaitumia sana

Ushuhuda:
Baba yangu alikuwa na uwezo wa kwenda kwenye mlima wowote au mto mkubwa, akifika anawaita watawala wa huo mto au mlima wanakuja live anawaeleza anataka nn kutoka kweny himaya yao halafu wakielewana kazi kwisha
(Anaenda kweny kaburi la mtu aliyekufa anamuamsha anaongea nae akimaliza anarudi kulala..... (Najua hapa ntaonekana muongo)
Anazama kweny maji anatoka mkavu bila kuloana
Anaweza kuchukua ile sarafu ya zaman inayotafutwa kila kona
SIMBA MBILI au Rupia (akafanya yake akamtoa yule Simba na king George wakakaa na kuanza mazungumzo

Alikuwa na uwezo wa ajabu sana.....

Note: source yake ya Power haikuwa GOD
(Kwenye hii Dunia ukitaka kuwa mtu hatari we chagua njia moja upite hiyo kikamilifu utaona balaa lake.... Kama n Mungu swali sana acha dhambi kwa ukamilifu wake utaona utavyokuwa hatari

Kama n upande wa shetwani... Roga sana, usisite kutoa mtu kafara Yani kuwa nyambisi haswaa utaona ibiris atavyokupenda😂

Fanya juu chini upate mapenzi either ya Mungu au Ibiris.... Usikubali kukaa katikati maana utakuwa mtumwa
"Fanya juu chini upate mapenzi either ya Mungu au Ibiris.... Usikubali kukaa katikati maana utakuwa mtumwa" hapa nakazia sana
 
Inatokea post namba 46.

Leo nitawaletea kisa cha nilivyooneshwa shemu ya kumita Arsis na kuongea nae kwa kina nikimuhoitaji.

Siku moja usiku nimevizia watu wote wamelala nyumbani, nikaiweka bakora yangu mbele yangu, nikaanza kumuita mwenye bakora kwa jina lake alilonipa, siliweki hapa. Haijapita muda nikaona ka ma kivuli, ghafla nikasikia salam nikaona mtu kakaa kwenye kiti chumani kwangu. Nikamkubuka ndio niliuonana nae mapngoni huko Duga. Tukaulizana hali, ni mtu wa kawaida tu, tena kaja kavaa kimjini kabisa, shatoi na suruali na alikua kama wa umri wa miaka 50 hivi. Akanambia unasemaje bwana mkubwa, umeniita. Nikamwabia mwenye pete yangu hii alinambia yeye hawezi kuja hapa, nikitaka wa kuja nikuite wewe. Ndio nimekuita.
Jini; Sawa, nimekuelewa, unasemaje?
Mimi: nilikua nataka kuuliza?
Jini: Mimi niulize mambo yanayohusiana na na mambo ya mitishamba na tiba zingine kwa uchache, Kuhusu mambo ya kieleimu zingine yoite muulize mwenye hiyo pete.
Mimi: Sina swali kuhusu miti shamba kwa leo.
Jini: Nilikuwekea dawa kwenye mkoba wako kule pangoni, uliiona?
Mimi: Nikamwabia niliona vipande vya vijiti vikavu vimefungwa pamoja na kamba za miti, ndio hizo?
Jini: Ndio hizo, mbona huulizi za kazi gani?
Mimi: Haikunijia kabisa kuuliza, wacha niulize sasa hivi, vijiti vya nini vile?
Jini: Vile vijiti vya zamani sana, kwanza ulle mzizi hauliwi na mdudu yoyote duniani, vile vina miaka mingi sana. Vile sio vijiti tu, ile ni dawa ina kazi kubwa sana. Kwanza wewe inatakiwa ukate kipande kidogo sana kama kucha ya kidole chako utie kwenye chai au maji ya moto, wacha mpaka chai au maji yapoe kabisa, halafu yanwe uyamalize. Hiyo itakutoa uchovu na sumu sumu zote mwilini. Fanya hivyo ukipata nafasi.
Mimi: Sawa, lakini nilisikia inatoa harufu nzuri ya manukato.
Jini: Sawa kabisa, yale sio manukato, ni harufu yake, na haiishi ile harufu hata vijiti vile vikae daima, harufu itabaki vile vile. Shani yake Mungu hio. Vijiti hivyo vile vile vinatoa uchawi wpowote mtu akilishwa na pia vinatibu matatizo ya tumbo ya kina mama, Vile vile vilivyom kama kuna mwanamke anapoteza siku zake bila mpango, zinazidi au zinapungua, au anatokwa damu kwa wingi kuliko kawaida, au anaharivu haribu uja uzito. Ukimpa kama nilivyokuelekeza Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu anakua sawa kabisa. Imewasaidia wengi sana.

Kwa ufupi, wewe unatakiwa unywe, nyinyi mnakula kula hoivyo kwa hawa kina mama wanauza vyakula, wanaweka mamboi memngi kwenye vyakula, kila kama kuna chochote hakitabaki.

Matumizi yake mengine, ni kama nilivukueleza, lakini hauinywi, unaitia kwenye jagi hivi la maji ya moto, halagfu unaiacha ikae humo wiki moja, unakogea yale maji kwa kujipaka mwili mzima mpaka yaishe, usiyamwage chini, hayo maji yanathamni kubwa sana. Hiyo itakua ni kinga yako kwa muda mrefu sana, kwa uchache unaweza kufanya hivyo kila mika mitano, basi hakuna mchawi mchawi atakae kuona kwenye mitego yake.
Mimi; Mitego yake tena?
Jini; Ndio kijana, wachawi kabla ya kukuchawi, wanakutafuta kwa njia zao, wakisha kupata wakuwekea mtego wa kichawi, huwa wanachukua kivuli chako, wanakifanyia mambo yao halafu wanakurudishia unakua kwenye mtego wao wamekunasa, wanakufanyia wanachotaka. Lakini ukijipaka hii, hawakuoni kabisa na watakuogopa wakianza kukutafuta. Ingawa nafahamu wewe vabu yako alikukinga nayo hii kuanzia utotoni lakini si vibaya na wewe ukaijua. Na itunze sana hiyto miti, haipatikani isipokua kwangu tu.

Mimi; Sawa. Sasa mimi niliongea na mwenye pete akanambia nikitaka kuongea nae atanionesha wapi pa kukutana nae, hapo unanisaidia vipi?
Jini: hapo mpaka uongee na yeye mwenyewe, mimi siwezi kuingilia maongezi yenu kabisa, itakua namvunjia heshima, ni mkubwa wangu sana mwenye hio pete. Yeye anaweza kuongelea yangu yote na wewe. Ukitaka mimi niulize ya wale mabinti wawili, watumishi wako wa hio pete, naweza kukuitia, yule mmoja mdogo wakati wowote lakini ni vizuri nalo ukaongea yeye, wale hawatakiwi kuja bila kazi, na wapo sana na wewe huwaoni tu. Mimi sipo sana na wewe mpaka uniite au itakikane dawa, mimi ulinzi wangu kwako ni hiyo bakora na dawa ninazokupa tu. Hivi nimekuja kwa kua una bakora yangu na nimekabidhiwa kwako, lakini sio kaida yangu kuja kwa maswali yasiohusiana na mitishamba.
Mimi: Ahsante kwa kuja, kwaheri.
Jini: Usione tabu lakini kuniita, wewe ni bwana mkubwa wangu, mimi niko chini ya amri zako. Nawea kuondoka?
Mimi: sawa nenda tu, kwaheri.

Basi alipoondoka nikamuita Arsis kimoyoomoyo hajachukua hata dakika moja akaniuliza kichwani, unasemaje simba?
Mimi" Arsis wewe si ulinambia unajua nataka kukuuliza nini hata kama sijakuuliza?
Arsis: Ndio, haya kama upo tayari sasa hivi, twende nikakuoneshe. Usijali uo na mimi hakuna ataekuona. Haya twende.

Mimi; Kama mbali si nichukue gari?
Jini: Haya chukua ywende, mimi utanikuta ndani ya gari. Nikwamwambia poa ngoja niombe gari. Nikampigia simu mama, nikamwambia mama natoka gari lako.
Mama; Usiku huu mwanangu?
Mimi: mama usiwe na wasiwasi kuna kazi babu alinipa nikija niifanye, ndiuo nakwenda kuimalizia.
Mama: haya baba, huyu babu yako nae kazi za usiku, mnakwenda kuwanga?
Mimi: Huku nacheka, ndio baba mkwe wako, anaifundisha kuwanga.
Mama: Yatawashinda. Usichelewe kurudi.
Mimi; poa, nikatoka, mlinzi akanifungulia hti. Ile naingia tu ndani ya gari nilipokuwa natoka getini, Sautri ya Arsis ikanijia, Akanambia tqebde viwanja vya bunge lenu kule mjini kabisa. Nikamuuliza kule njia ya Ikulu. Akasema ndio, wewe twende, ukifika gtakwambia gari uwache wapi.

Nikaenda mpaka barabara ya bunge, sauti ikanambia usisimame twende mpaka hospita ile ya wajerumani, nyie siku hizi mnaita oshen rodi. Ingiza gari kwenye parking ushuke takuelekeza unaelekea wapi. Hakuna ataekuuliza wala kukuzuwia.

Nikaenda mpoaka oshen road kuna parking kubwa tum palikua kiya kabisa mpaka panaytisha, sijakuta hata mlinzi nikawa nasukia sauti za mawimbi tu baharini. Sauti ikaja ikanambia haya fanya kama unakwenda hiyo nyumba mbele yako lakini kabla hujafika utaona njia ndogo inaenda kulia, ifate hio mpaka utakuta mbeke huko mawe mawe ndio hapo utakua umefika, Ukifika niite tu usiogope hakuna atakae kuona wewe wala mimi. Kweli nikaenda kama alivyonielekeza nikajiona kama naenda Ikulu kwa nyuma lakini kabla sijafika nyavu za ikulum, naziona kwa mbali nikaona kuna kama mawe mawe na kiwanja kizuri, pako kimya kabisa lakini taa za mjini, naziona taa za hispita naziona kwa mabali, kama mita 200 hivi. Nikaita palem kama dakika moja tu, Arsis akaingia, simuoni kama kawaida.

aRSIS; Naam, vipi hali yako?
Mimi: Salama,huku umepajuaje?
Arsis: Hapo mbele kidogo kuna mlango wa kuendea dunia nyingine, wewe huwezi kuuona, hakuna mtu anaeuona hata akiwa mchawi vipi.
Mimi; Dunia nyingine?
Arsis: Ndio, kuna dunia saba, hii tuliopo sasa hivi ni ya kwanza, zingine zinakaa viumbe wengine, si niliwahi kukwambia?
Mimi; Kweli ulinambia lakini sikuzingatia.
Arsis: Unakumbuka nilikwambia ukiniita kuongea na mimi uchukue hizi simu uwe unarekodi kila kitu, ili ukisahau ujikumbushe?
Mimi: Nakumbuka:.
Arsis; Haya: Fanya hivyo, usiogope mimi siwezi kuonekana, itasikika sauti yangu tu, na hakuna hapa anaetusikia wala kutuona nimeweka pazia.

Nikatayarisha simu yangu nikaiweka ikawa ina rikodi na kupiga picha nikaiengesha vizuri kwenyue jiwe moja nikanza kuongea nae.
Mimi; Kila nikiongea na wewe maswali yanazidi sana, sijui nianzie wapi. Wewe si ulisema unajua mimi nataka kuuliza nini? Anza kunijibuninachotaka kuuliza.

Arsis akacheka, akasema utakomaa tu, hakuna neno. Wakati naongea na simu nikaona kama vizuli halafu simu yangu ikaanguka kwa pale pale juu ya jiwe.
Arsis; Iweke sawa tu usiogope watotowa kijini hao wanachea cheza.
Mimi; Watotto wa kijini? mbina siwaoni na mimi nimefunguliwa macho?
Arsis akacheka, akanambia hawa huwezi kuwaona upoo na mimi. Usijali tuendelee. Wewe simba unataka kuuliza kuhusu dunia saba. Nikueeleze kwa uchache?
Mimi; nieleze.
Arsis; Ondoa fikra nyingi kwa sasa hivi, usiwe na haraka ya kujua mengi kwa wakati mmoja. Dunia zipo saba, ya kwanza ni hii yetu, ya pili wanaishi juju wa majuju (Gog Magog), ya tatu wanaishi majini. Ya nne wanaishi wanyama wakubwa sana ambao hapa duniani waliondoshwa wote. Ya tano wanaishi Ramadiyin. Umewahi kuwasikia Ramadiyin?
Mimi; Hapana, nadhani niliwasikia kwako mara moja tu.
Arsis: Inawezekana, lakini mimi naamini umeshawasikia lakini hujatia maanani. Hilo la siku nyingine. Kuhusu dunia ya tano. Dunia ya sita na ya saba, sina "authoirity" ya kuziongelea, kwa hiyo usiulie chochote kuhusu hizo.

Mimi : Ya nne umesem kuna wanyama?
Arsis: ndiyo kuna wanyama, wale mnaowasoma kuwa wametoweka duniani kama kina Godzila na Mammoth na wengine kama hao. Huko ni dunia ya vitu vikubwa vikubwa tu.

Arsis; hahahahaa, uliza tu usiogope, unauliza mimi ninajuaje na vipi uamini kama ni ukweli? au sivyo ulivyotaka kuuliza?
Mimi; Ndivyo nilivyotaka kuuliza. Sasa mimi naona hakuna sababu ya kujliza, wewe unajuwa fikra zangu, sifahamu vipi?
Arsis; Ni elimu tu, utaielewa kidogo kidogo. Mimi kwa sasa nina miaka inazidi elfu tano. Si ulitaka kuuliza hivyo?
Mimi: Ndiyo, unanifanya nisiulize kitu.
Arsis; Raha ya maongezi uulize, nilikua nataka uelewe kua naelewa ninachokwambi na sina sababu kukudanganya.
Mimi: Wewe ni jini au binadam au ni kiumbe wa aina gani?
Arsis: Mimi kwa sasa hivi ni mtu, lakini chukulia vyovyote upendavyo kwa kua mimi naweza kua vypypte vile.
Mimi: Huo uwezo wa kua chochote unaotoa wapi?
Arsis: Ni elimu anayotujaalia Muumba wtu. aliniumba mimi ndiye aliyeumba kila kiumbe na kila tu ulimwenguni.
Mimi: Dunia ipi kubwa katika ulizonitajia?

Itaendelea.
Inatokea post namba 147.

Arsis; Akacheka sana, dunia karibia zote zipo sawa, zinatofautiana vilivyomo tu.
Mimi: hizo dunia zinajumuisha pepo na moto?
Arsis: Sina ujuzi na pepo na moto zaidi ya nnavyovozisoma kwenye vitabu vya dini.
Mimi; Na wewe unasoma vitabu vya dini?
Arsis; Mimi nimeisoma Taurati, Injili na Qur'an. Qur'an nimeihifadhi, mwanzo mpaka mwisho. Nimeoma soma na vitabu vingine vingi vya imani tofauti za kibinadam. Kama Bagavad gita, upanishad, sidarta na vingine vingi tu.
Mimi; hivyo vingine sijawahi hata kuvisikia.
Arsis; Mimi napenda kusoma.
Mimi: Wewe dini gani?

Arsis: Sitaki kua fitina, mimi ni kiumbe wa Mwenyezi Mungu, nafata yalio mema kwenye kitabu chochote cha ukweli.
Mimi: Unajuaje ukweli au uongo wa kitabu?
Arsis: hakuna asiejua ukweli na uongo. Kama haujui ukweli na uongo huyo anajidanganya mwenyewe tu.

Mimi; Arsis leo inabidi tuagane, mimi nimechoka na nilisema nilipewa kazi na babu imebidi niifanye.

Arsis: Hujasema uongo, hii ni kazi moja kubwa sana aliokupa babu yako, leo umeanza kuitimiza. Babu yako anataka uwe na elimu kubwa, leo umeianza hio elimu.

Mimi: Sasa kwaheri, nikitaka kukuita nifanye kama ;leo?
Arsis: Ukitaka elimu inabidi uje hapa kwa leo, uniite muda wowote kuanzia baada ya sala ya usiku. Usijali, ukija hapa unaweza kuniita kifikra tu, sio lazima utoe sauti. Usiwe na wasiwasi hapa hakuoni mtu kabisa.
Mimi; Na nikiwa nashida ya kukuita kwengine?
Arsis; Usiwe na shaka, ukiniita nitakuja na hata kama hukuniita nitakuja nitafahamu ukinihitaji, lakini leo tumeongea kiasi hapa hauoni tofauti na nikiongea kichwani kwako?

Mimi; Nimeona tofauti kubwa sana, hakuna uzito kichwani.

Arsis; Sawa kabisa, ndio maana siwezi kuongea na wewe kwa muda mrefu, ikibidi niongee na wewe utaota, inakua huubebi uzito kama unavyoniita kuongea na wewe. Halafu subiri dakika tatu tu. Kaa chini hapo mchangani weka mikono yako mbele yako hapo kwenye majani, nataka kuitengeneza hiyo pete usihangaike kuigeuza geuza. Ivue iweke mbele yako kama futi moja kutoka mikono yako.

Nikafanya kama alivyotaka, baada ya kama dakika mbili, ile pete ikasogea pale ilipokuwepo ikaja kidoleni kwangu ukajivisha yenyewe. Nikashangaa sana.

Arsis: Unashangaa nini, na mimi nipo japa ndio niliekuvalisha hio pete? Sasa huna haja yua kuigeuza, hata wachawi au majinni wengine hawawezi kukumbuka baada ya muda sio mref wakiitazma. Itakua ni urembo tu ukiivaa. Usisahau, ukiivua usiiache nje hata dakika moja, itie ndani ya ule mkebe wake. Sawa?
Mimi; Sawa, ahsante. Kwaheri.

Itaendelea.
 
Back
Top Bottom