- Thread starter
- #241
Arsis, ukimuu;iza siasa hakujibu moja kwa moja kwa siasa za sasa duniani, anakupeleka kwenye historia za kale sana ulinganishe mwenyewe. Kuna siku nilimuuliza kwani i anasema hivy? Akanambia soma visa vya mitume utazielewa tawala za kidunia na utaelewa ni nani ndio mtawala wa kweli.Muulize arsis hivi hii CCM itatoka madalakani Kwa anavyo ona yeye au tuendelee kuwatumikia wabakaji???#
Umenikumbusha kitu. Nikimaliza kisa anachonipa Yusuf alivyokutana na mzee wangu, niytaanza pots nitazoziita vionjo vya Arsis, hivyo vitajumuisha magunzo yake na maswali na majibu yake anvy0jibu anapoulizwa na watu wengine. Arsis huwa anajibu maswali mengi ya watu. Ukiwa na swali la kumuuliza uliza tu, tutaliweka jibu kwenye "vionjo vya Arsis" Kama alishawahi kujibu swali linalofanana na lako nitaweka wazi.
Simba.