Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Eeeeehhh bwana eeeeeeeeeeehhh!!.
Mzee ni nomaa.
Mimi nimezoea kuviona hiv vikamba vya mjini hiv aisee vidogo hata kidole cha pete havifiki
Na hao wapo, wapo mpka wale qadogo kabisa wanaitwa uduvi. Wako mbegu tofauti tofauti, kuna wadogo hao uduvi qapo aina mbili ninazozijua, wapo kamba wakiwa wadogo na wapo ambao ndio kimo chao wameshapevuka hawakui zaidi hapo. Shani yake Muumba wetu.
 
Inaendelea kutokea post namba 1.

Babu akatupokea pale, tukakumbatiana kwa futraha, mara na bibi nae akaja aliposikia nimefika, akanambia "aah, sasa mume wangu ndio kaingia, sio hiki kizee, sina habari nacho tena". na yeye bibi akanikumbatia akanipiga mabusu ya ngubu ya shavuni, akanambia twende ndni mume wangu, nimekutayarishia chumba chako.

Nyumba ya babu yangu ilikua ni kubwa sana kwa maisha ya kijijini, inavyumba self contain vitatu, umeme utafikiri upo mjini. maana umeme umepita hapo hapo kijijini kwao, wenyewe wanasema huu unakwenda Kenya, unagtikea Hale. Kwa ufupi hauhisi kabisa kama upo kijijini mpaka utoke nje ya bma lake. babu alikua na nyumba hiyo yake kubwa na nyingine ndogo ndogo z vyumba viwili auj kimoja zimetapakaa pote kumzunguka. Nyingi zilikua za kufikia wageni wanaokuja kwa matatizo yao kwa babu yangu, babu alikua mganga wa jadi, tena anaesifika kweli. Kwake hapakosi wageni, mpaka mawaziri utawakuta huko. Kila mmoja na shida yake.

Babu toka nimefika alikua haniwachi peke yangu, ana nyumba moja ipo karibu na kwake hiyo mwenyewe ndio ofisi yake, ina chumba kizuri tu, cha kufanyia shughuli za ke na wageni wake, na kama ina baraza kubwa ndipo wanapoisubiri wageni wanaokuja kumuona, na ina vumba viwili vidogo ndani, mwenyewe anavoiita "operation rooms". Babu alikua anaongea na kuandika Kingereza na Kijerumani kwa ufasaha kabisa. Kabla ya kaumua kurudi kuishi kijijini alikua ni fundi mekanika, tena fireman, wa idara ya vifaa na magari ya serikali hapo tanga. Alikua ni mtua anaejulikana sana Tanga na anaheshimika sana. Ni mcheshi sana, kutwa anatabasamu, akikasirika humjui kabisa, wewe kutwa kucha unamuona ni mtu wa furaha tu.

Itaendelea.
chai
 
nimesoma hio episode ya kwanza naona mavigiza
Jitahidi mbele patamu sana. Ukikimbilia mbele hutaelewa, bora uende nayo mdogo mdogo hivyo na habari za kula pilau, kamba mara wakuchemshwa, wakubanikwa na kulala pangoni huku babu akishinda kwake na kuja mara moja kwa siku kumtembelea simba Corazon Espinado 😀😀😀
 
Haya mambo yanafikirisha sana....ukiweka pembeni imani zetu hizi unagundua kuna vitu vingi sana ni kama tulikaririshwa na watangulizi wetu.
Yaani nikisoma ya Arsis na nikichanganya na imani yangu nabaki dilemma aisee. Ila Acha twende mbele tutachambua na kujifunza zaidi. Mpaka sasa kuna mapya ambayo nimeyapata na najaribu kulinganisha na elimu ya sayansi ya anga naona kuna muingiliano kiasi na simulizi za sijui nimwite kijana au mzee wetu Arsis kupitia bwana mkubwa Corazon Espinado
 
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.

Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Nitashangaa sana jini kujua kwa undani wa habari za YESU Kristo.!
 
Cha kushangaza ni nini hapo wakati hata Biblia katika kitabu cha Yakobo kuna sehemu inasema "Hata mapepo wanamjua Yesu na litajapwo hutetemeka"
Labda kama kuna utofauti kati ya majini na mapepo. I stand to be corrected
Yaan afadhal umeongea,haya jambo la pili Yesu rehema na amani ziwe juu yake aliwatoa watu mapepo na kukimbilia kwa ngurue,je majini wasinge mjua Yesu je wangekimbia?

Ndio maana nami nikamuuliza je utashangaa nini?
 
Jambo lingine kuna mtu sikutaka kuanzisha nae ligi,alipinga au anakataa kutokuwepo kwa majini wakristo.

Iko hivi binadamu ndio kiongozi wa hii dunia,hivyo mitume na manabii wote walikuwa wanadamu na sio majini,maana yake ni kwamba majini walisikia ujumbe wa Mungu kupitia mwanadamu na wao kazi yao ni kusikia na kufuata amri za Mungu

Kwahiyo kwa kila nabii walimsikia na lufuata ujumbe wake,hivyo walifuata mafundisho yake na kifuata hukumu zake,je walio mfuata Yesu walikuwa nani?

Na baada ya kuja Mtume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake,walisikia qur'aan na mafunzo ya Mtume na kufuata uislamu,kama njia sahihi ya kumwabudu Mungu mmoja,je cha kushangaza ni nini?

Ni viumbe wa aina mbili tu majini na watu watahukumiwa siku ya kiyama na kuingia peponi au motoni

Viumbe wengine wote watahukumiwa,kisha baada ya hukumu kupita na kila mmoja kupata haki yake,itahukumiwa wageuke kuwa mchanga period
 
Kingine majini wote wanajua kiongozi wa dunia hii ni mwanadamu,kwahiyo wanatuogopa sana,unaambiwa hata jini mkubwa anaweza kumuogopa mtoto wa kibinadamu kama atajiamini kwakuwa nature iko hivyo

Mfano kama mimi na wewe tunavyomwogopa simba au chui,hata mtoto wa simba ukimuona unaweza kukimbia

Hawa viumbe hawana mamlaka juu ya mwanadamu,sijui tunafeli wapi
 
Jitahidi mbele patamu sana. Ukikimbilia mbele hutaelewa, bora uende nayo mdogo mdogo hivyo na habari za kula pilau, kamba mara wakuchemshwa, wakubanikwa na kulala pangoni huku babu akishinda kwake na kuja mara moja kwa siku kumtembelea simba Corazon Espinado 😀😀😀
Kisa kitamu na ana improve, hata mimi nimepunguza siasa za kupigana mawe huko nimekuja kuchukua ujuzi wa ziyada.
 
Kingine majini wote wanajua kiongozi wa dunia hii ni mwanadamu,kwahiyo wanatuogopa sana,unaambiwa hata jini mkubwa anaweza kumuogopa mtoto wa kibinadamu kama atajiamini kwakuwa nature iko hivyo

Mfano kama mimi na wewe tunavyomwogopa simba au chui,hata mtoto wa simba ukimuona unaweza kukimbia

Hawa viumbe hawana mamlaka juu ya mwanadamu,sijui tunafeli wapi
Huo ni ukweli usiopingika, mimi naamni sisi ni 100% bora ingawa Arsis nimesoma anasema kuna viumbe wa dunia nyingine wapo 12 tu.

Dah hao wa kufikirika.

Corazon Espinado ongea na Arsis atujazie nyama ya hao viumbe wanaoitwa "Ramadiyin", nimepekuwa mtandao wote sijakutana nao hao. Ngoja niendelee kuwatafuta kwa kutenguwa "code" za maana ya majina. Sijapata kitu, isipokuwa kitu cha karibu ninachokipata ni Ramadhan, kuwa kwa Kiarabu asili yake ni jina la msimu wa joto kali.
 
Kiukwel kabisa arsis si wa kumuamini asilimia mia moja,kama utakumbuka vizur alisema amesoma taurat,injili,zabur na qur'an,,sasa na hivyo ndo asili ya elimu juu ya mambo mengi

Upande wa pili anakuja kutuambia kuwa Bikira Maria hakuwa bikira alipo mzaa Yesu rehema na amani ziwe juu yake

Hapa unajiuliza,je huyu mwamba ana ufahamu gani?

Jibu lake lingine kuwa yeye ni mtu au anaweza kuwa chochote,kuwa chochote ni sahihi kwakuwa majini wanauwezo huo

Ila arsis ni jini period,,kwahiyo nasisitiza sana huyu tumsome lkn si wa kumuweka maanani asilimia mia
 
Kiukwel kabisa arsis si wa kumuamini asilimia mia moja,kama utakumbuka vizur alisema amesoma taurat,injili,zabur na qur'an,,sasa na hivyo ndo asili ya elimu juu ya mambo mengi

Upande wa pili anakuja kutuambia kiwa Bikira Maria hakuwa bikira alipo mzaa Yesu rehema na amani ziwe juu yake

Hapa unajiuliza,je huyu mwamba ana ufahamu gani?

Jibu lake lingine kuwa yeye ni mtu au anaweza kuwa chochote,kuwa chochote ni sahihi kwakuwa majini wanauwezo huo

Ila arsis ni jini period,,kwahiyo nasisitiza sana huyu tumsome lkn si wa kuweka maanani asilimia mia
Hilo la Yesu binafsi niliwahi kumsikiya msomi wa Kipalestina, namfatilia sana huyu kwa kuwa anaongea lecture zake kwa Kingereza kizuri na anafundisha. yupo kwenye mtandao. Na hivi juzi sijuwi jana, ndiyo nimemuona Arsis akilileta kivingine. Sema kanusa tu, hatupi vitu kwa kina, sifahamu Arsis anabana bana au Corazon Espinado anatubania vitu. Tafadhali simba kamba, usome uzi kwenye link hiyo ya chini hapo ili Arsis au wewe mtujazie manyama. Tuwekee kamba wale wanene wanene kabisa.

Hilo mimi niliwahi kuandika humu JF, nikakosa watu wa kupasha moto uzi. Pitieni hapa:

https://www.jamiiforums.com/threads...ni-hata-waislam-wengi-hawayajui-haya.2227017/
 
Sufism na Shirk ni ndugu.... anyway

Hizo swala zenu mnazo Swali na Babu yako ni Habaan Manthura(Vumbi tupu)

Shirki inabatilisha Aa'mali

Kwaiyo broo umechagua kuingia Jahanam milele kwa kuchagua njia ya Masheytwan ??
Hapa mimi itabidi unielimishe zaidi. Mimi ni Muislam, Sufism shirk yake ni ipi wakati jina "sufi" linaashiria wepesi na usafi wa kuwa karibu na Allah.

Tupe ilm na ushahidi siyo kurusha tuhuma.

Mimi ni Muislam nisiyekuwa na dhehebu isipokuwa Uislam tu, naamini sufism" siyo dhehebu bali ni lugha tu ikimaanisha njia za wenye kuabudu(tariqa t ibadi). Madhehebu ni yale yenye kufata majina ya watu kama Ukristo.

Mtazamo wangu huo.
 
Back
Top Bottom