- Thread starter
- #661
Sheikh, mbona hunipi ruksa? Nikujulishe alionambia Arsis.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheikh, mbona hunipi ruksa? Nikujulishe alionambia Arsis.
Unaonesha una ujuzi wa majini, tupe elimu tufaidike.Wapo wa German na wengine yaani kila race wapo sema Africa wengi wa kiarabu naona walikuja na waarabu enzi za utumwa.
Ha! Hivi hujanisoma humu kua pale ndio lango la kwenda dunia zingine? Na pale jirani ndio kituo cha kukutana na Arsis?Mwambie uyo mwamba aka mchape makofi namba moja pale magogoni .
Inakuja au niikatize ilipoishia niilete baadae tuendelee kipande kingine?Tuendelee na story
Nilikua sijaiona hii ruksa.You are very warmly wellcomed
Sina kandokando zotote za kuogopa habari zangu.
Na aziseme hapa namruhusu.
Mimi nakunywa bia tu na kuilea familia yangu.
Sio mtu wa mademu wala dili za kudhulumu watu.
Na sio mchawi
Naona hao wa kutaka damu ni wachawi, Arsis hajawahi hata kuguzia hilo au kutaka chcochote na hapatani kabisa na binadam na majinni wachawi.Arsis ni Jinn tena mkubwa mzee maana jinn anavyokuwa mzee ndio anazidi kuwa na nguvu pia anaonekana licha ya nguvu ana elimu na ilmu.
Ila ni muongo kusema yeye anaqeza kuwa chochote kawaida ya making wengi ni waongo hawapendi kusema ukweli kila kitu haswa jina lake asli yake sababu wanaogopa kutumikishwa na mwanandamu, Mwanadamu ana nguvu sana ni khalifa, Ila jinn anamuogopa sana Mwenyeezi Mungu kuliko sie wanadamu na ukiwa Mcha Mungu ndio kabisa wanakuogopa.
Majinn wanapenda sana ubinadamu wanapenda sana kila kitu cha mwanandamu japo wana uwezo Ila hawawezi kitu kuchukua bila idhini ya mwanadamu mfano jinn anataka damu kwanini asikamate mwenyewe akamfyonza jibu ni hawezi mpaka mwanadamu ampe go ahead.
Jamani moderators wamehusika.Kwa hiyo Corazon kawa Arsis? Kuna Mod kahusika au ndio umebadili jina mwenyewe?
Kuyaona au kuwa nayo hayana umuhimu.Ivi kama unaishi na una afya njema na mambo yako yanaenda...hayo mambo ya mauzauza yana faida gani ukishayaona?
Nauliza tu.
Nani kaandika kuhusu "ngariba?Yesu ni cheo sio jina la mtu, Sikumbuki ni kitabu gani katika biblia kinamzungumzia Yesu mwingine aliyekua Ngariba.. nautafuta huo mstari nitarudi
Yah Isa namfahamu na dukani kwake mtu ni shazi muda wote na maneno yanayozungumzwa juu yake ni mengi ila haigeuzi hii str kuwa si kambaTukapanda taci akamwambia mwenye taxi, nipitishe kw Issa hapo nichukue vitu vyangu. Huyu Issa ni maariufu sana duka lake la vyakula pale Kariakoo
Kiasi nawafahamu hupiga nao story sio wangu lakini wa kaka yangu yeye mi mtu wa tiba so huongea nao wakiwa kichwani bila kupanda unakuta najua naona nae yeye kumbe watu wake na hunijia sana ndotoni kama kuna jambo.Unaonesha una ujuzi wa majini, tupe elimu tufaidike.
Ila majinn vyakula vyao mifupa damu 😁 awe mchawi asiwe mchawi.Naona hao wa kutaka damu ni wachawi, Arsis hajawahi hata kuguzia hilo au kutaka chcochote na hapatani kabisa na binadam na majinni wachawi.
Sijaelewa kitu Qareen mara wareen alafu Qaree Duu Elimu zenu kiboko.Kuyaona au kuwa nayo hayana umuhimu.
Kwangu mimi nahukulia ni kama marafiki alionoiwachia nao babu yangu.
Mimi naamini, kila binaadam ana Qareen (karina) wake, hata wewe unawako, lakini ni wa aina ipi? Mara nyingi ma Wareen huwa on the background hawajioneshi kabisa.
Kuna vionjo vya Qaree siku za mbele tutaviona. Hii ni elimu kubwa sana, Mwenyezi Mungu kawapa watu wachache sana na kwa uchache sana wa elimu hio. Binafsi sijaitafuta, sijaisomea, siijui kbaisa lakini wapo hao viumbe wakifanya shughuli zao naonekana mimi "superstar".
Hivyo vitu vipi, kisa cha Nabii suleimna kina mengi, kisa cha Nabii Musa kina Mja wa mwenyewai Mungu aliekuwa na akili sana. Wote hao hawaawatafuta wao. Ni shani yake Muumba wetu.
Unajua kuhusu pete ya Mfalme Suleiman?
Muulize Arsis kama Binadamu wanaweza kuoana na majini?Arsis haiingilii mada, ispookua anasema "sio mwandishi mzuri, jitahidi kusoma namna ya uandishi".