Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.
Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.
Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.
Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.
Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.
Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?