Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.

Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.

Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.

Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.

Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.

Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?
 
Naunga mkono hoja.

Arsis njoo yutupe majibu yanayoeleweka.
 
Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
 
Hukuelewa, kasome vizuri ni jini mkubwa sana na mwenye mamlaka makubwa na pete yake majini wengi wanapiona wana weweseka.
 
Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
Hilo ni kweli kabisa, nimelisoma.

Binafsi naamini ni jinni kwa kuwa haonekani ala hajioneshi.

Katika visa vya majinni na uchawi, nimekipenda sana hiki cha Arsis na ndicho nakifatilia kwa kina kabisa.

Ingawa ana nyodo huyo. Sijuwi sasa mwenye nyodo ni Simba au Arsis, lakini nakifatilia.
 
Ukirudi soma na mimi comment yangu,Kama kuna dawa ya chango linanitesa kweli linatembea kabisa kama mtoto tumboni na li feel ndo sababu naweza nikakaa hata miezi nisione period au nikafululiza ona nmeenda hospital had nimechoka sijapona nimekunywa dawa mbali mbali za asili wapi bado linanitesa
 
Sisi sote ni majini humu kwa sababu hatujulikani.Arsis atakuwa ni jini kwa sababu na yeye hatumjui na wala hatumuoni.Arsis na Simba mkitulia tupe muendelezo huu uzi unatoa maarifa kwa wengi.
 
Uliza tu usichokielewa.
Namsalimia arsis mwambie nafurahia na kufatilia darasa lake ! Ila naomba kuuliza hivi ni kweli mtume Muhammad ,alimuoa Bi Aisha akiwa na miaka sita? Kama ni kweli naomba ufafanuzi wa kimazingira kipindi hicho,kidini,kisayansi, lingine hii ndoa naona Kama inanipotezea muda nataka kuacha mke je? Una lipi la kunishauri?
 
Hakuna haja ya ushahidi wa mazingira, Huo ni ukweli kabisa.

Kumbuka, Kiislam mtu anaweza kuolewa umri wowote kwa ridhaa ya walii wake, ambae mara nyingi huwa ni wazazi wake wa kuumeni. Lakini ndoa haitimii (wanakuwa hawajaoana) mpaka msichana atimize kua mwanamke kamili anaeweza kuingiliwa kimwili na akubali yeye mwenyewe kuolewa na fulani. Ndipo inakuwa wameoana.

Hayo yote yalitimia kwa Bi Aisha.
 
Ukirudi soma na mimi comment yangu,Kama kuna dawa ya chango linanitesa kweli linatembea kabisa kama mtoto tumboni na li feel ndo sababu naweza nikakaa hata miezi nisione period au nikafululiza ona nmeenda hospital had nimechoka sijapona nimekunywa dawa mbali mbali za asili wapi bado linanitesa
Dawa yako nyepesi sana. Kula majani ya mpera, au yasage unywe juisi yake.

Fanya hiyo kwa siku 21 kisha utuletee jibu.
 
Hilo ni kweli kabisa, nimelisoma.

Binafsi naamini ni jinni kwa kuwa haonekani ala hajioneshi.

Katika visa vya majinni na uchawi, nimekipenda sana hiki cha Arsis na ndicho nakifatilia kwa kina kabisa.

Ingawa ana nyodo huyo. Sijuwi sasa mwenye nyodo ni Simba au Arsis, lakini nakifatilia.
Ahsante sana kwa kunifatilia. Unajuwa wewe ni star JF, kufatiliwa na mtu maarufu kama wewe si jambo dogo.

Labda nikufahamishe kua nimekusoma sana wewe ndio ukanifanya nijiunge JF, napenda unavyojibu maswali yako, kwa kiwango kikubwa sana nimejifunza kupitia wewe. Sema punguza ukali tu.

Tuko pamoja.
 
Mimi swali langu bado ni lipi jina la ALLAH ambalo ni ismul adhwam.?
Mara ya mwisho nakumbuka uliniambia sio jina kama jina bali ni code flani ya mawasiliano.
Ngoja nipitie comment za nyuma nione tuliishia wapi.
Sikiliza Lidafo, nilikupa zoezi la kufanya sijui liliishia wapi lakini elimu uitakayo inaitwa "ladoun" imetajwa katika Qur'an, sehemu kadhaa.

Kwa bahati mbaya, sio elimu ambayo unajifundisha moja kwa moja au kuna mtu atakae kufundisha. Ni elimu inayotoka kwa Allah pekee, na yeye kuchagua wa kumpa.

Wewe unachotakiwa kufanya ni kuzidisha kusoma, kila fursa unayoipata, soma kila kitu kutoka kwa kila mtu na omba sana dua ya Allah akuzidishie elimu. Ukikuta boksi lisome, ukikuta pakti ya maziwa isome, ukiona mti usome, ukiona mnyama msome.

Ukitaka niielezee zaidi, nitaielezea mpaka jina lake linavyojulikana kwa maulamaa wengine.
 
Kwa nilivofahamu mimi,Arsis kajipambanua kama kiumbe katika viumbe wa Allah,hajawahi jitangaza kama jini.Isipokuwa amejenga urafiki na Jini bakora na babu yake Simba kwa sababu walisaidia kumtoa kifungoni.
Kweli kabisa.
 
Huyu ARSIS amejipambanua ni moja ya JINI mwenye nguvu na uwezo usioshindwa na jambo lolote isipokuwa Mungu. Kwa wema alio nao kwanini ASIZUIE maovu yanaoyotoke kwenye jamii zetu,Random bila kusubili kuitwa.

Alisema yeye ni Jini mwema, mwenye mapenzi mema, siyo mchawi/Mwanga.

Na anaona Mengi maovu kwenye jamii zetu, kwanini kwa uwezo wake asubiri kuzuia case chache nbadala ya kufanya hilo likawa ni jukumu lake la hiyari,kuangamiza na kuondoa uovu wote kwa uwezo wake wote.

Yani anafanya case chache na very isolated, lakini anadai dunia ina uovu mwingi. Yeye haonekani, hadhuriki, hana maslahi yoyote kwa chochote afanyacho, ahitaji pesa.

Sasa swali langu kwanini kwa kutumia jeshi lake la majini WEMA kama akina mzee Bakora na wamama hao wawili wasibebe jukumu hilo bila kuitwa, yani wazuie na waangamize majini maovu yote popote yalipo, au popote wakutanapo nayo?.

Nimeona incidents kadhaa au nyingi, anaokoa mtu anawaacha waovu waende zao, kwanini wasipate huku au kuangamizwa kabisa?
Hatuyawezi yote, ukiona kuna vita vinavyoonekana elewa pia kuna vita visivyoonekana. Tunajitahidi kadiri ya uwezo wetu aliotujaalia Allah.

Kikubwa ni wewe binadam, kufanya mema na kuepukana na maovu.

Soma sana. usiwe na mipaka katika kusoma isipokuwa elewa mipaka ya mema na maovu.

Nafsi yako itakueleza hili ovu,ukishajua ni ovu, lisome kupingana nalo, kama unaweza lizuwie kwa mkono wako, ukishindwa lizuwie kwa mdomo wako, ukishindwa lizuwie kwa kulichukia.

Tuko pamoja.
 
"washamwingiza" vipi kuwa mchawi? Hapa tuffanunulie Arsis.
Kuingizwa kua mchawi, kama mmekisoma kisa cha Unguja, mtanielewa.

Mtu anaingizwa kua mchawi kwa aina nne au tano kuu. Moja anarithishwa na walezi wake, ndio kawaida yao. Pili anaingia kwa kupenda na kuutafduta mwenyewe. Tatu, anaingia uchawi kwa kurubuniwa kidogo kidogo, na ndugum jamaa au rafiki au mganga wake, mpaka linakua jambo la kawaida kwake. Mpaka inafikia anaufanya yeye sasa ule uchawi kwa kiwango fulani, akiushiriki sana anakua mpaka yeye ni kuhani katika makuhani ya uchawi.

Njia ya nne, hii haitokei sana lakini ipo, huwa anachaguliwa na wachawi wenyewe wa kibinadam au wa kijini, kisha yanatumiwa majini ya kichawi kumuingiza kwenye uchawi.

Njia ya tano, ni pale mtu anapoununua mwenyewe uchawi. Hii inaendana na njia ya pili hapo juu.
 
Back
Top Bottom